Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


isheronline shop Est: 2020 - 4/10/2020 7:25:19 AM
nauza saa za smart karibun sana

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/10/2020 3:26:16 AM
MAFUTA YA ALIZETI Mzigo upo wa kutosha kwa msimu huu wa Pasaka, Bei ya OFA ni 18,000/ Tu kwa Lita 5. Hauna haja yakuchelewa Tupigie sasa +255683625140 Tutakuletea popote.

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/10/2020 2:08:47 AM
OFA OFA OFA, Katika msimu huu wa Pasaka Tunatoa punguzo kwa Mafuta yetu Bora kabisa ya Alizeti Kutoka Singida. Sasa utanunua kwa 18,000/ Tu kwa Lita 5 badala ya 20,000/ Tuchek kupitia +255683625140 Instagram @mafuta_singida

agripina_decor Est: 2020 - 4/9/2020 9:42:17 PM
Wallpaper za pamba @agripina_decor 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 4/9/2020 9:40:41 PM
0677371469 wallpaper za pamba

Dr Benson Est: 2020 - 4/9/2020 9:38:23 PM
0672870950

agripina_decor Est: 2020 - 4/9/2020 9:37:06 PM
Zulia,safi 0677371469 @agripina_decor

Dr Benson Est: 2020 - 4/9/2020 9:35:01 PM
kwa wakazi wa dar je una tatizo la kukosaa choo kwa MDA mrefu na mafutaa kugandianaa kwenye utumbo mpana na kusababisha kunenepeana na unahitaji kuondoaaa sumu mwilini hasa na inafufuaa cell kudhibiti saratani ya kizazi au kitaalamu cancer njo wastaap +255672870950

Msd sleepers Est: 2020 - 4/9/2020 9:11:08 PM
Karibu ujiptie ya kwako #0714874526

Msd sleepers Est: 2020 - 4/9/2020 9:10:02 PM
Karibu ujipatie sleepers nzuri katika msimu huu wa sikukuu

Neideas Est: 2015 - 4/9/2020 8:59:20 PM
Shop our new arrivals this Easter!! Tumeingiza mzigo mpya katika msimu huu wa sikukuku. Please call/whatsup 0784857101 for more information!!

Weghtloss_C9 Est: 2008 - 4/9/2020 7:25:04 PM
Tuna Program ya Kupunguza uzito, Salama kabisa kiafya, Sio Dawa ni Virutubisho vya Chakula, Utatumia kwa kipindi cha Siku 9. Itakupa nafasi ya kupunguza kwanzia Kilo 3 mpaka Kilo 9 wengine hupungua hata zaidi. Kwa maelezo zaidi juu ya hii bidhaa tunaweza kuwasiliana DM/whatsapp call/ text:0688745693

Weghtloss_C9 Est: 2008 - 4/9/2020 7:24:15 PM
Tuna Program ya Kupunguza uzito, Salama kabisa kiafya, Sio Dawa ni Virutubisho vya Chakula, Utatumia kwa kipindi cha Siku 9. Itakupa nafasi ya kupunguza kwanzia Kilo 3 mpaka Kilo 9 wengine hupungua hata zaidi. Kwa maelezo zaidi juu ya hii bidhaa tunaweza kuwasiliana DM/whatsapp call/ text:0688745693

Weghtloss_C9 Est: 2008 - 4/9/2020 7:23:32 PM
Tuna Program ya Kupunguza uzito, Salama kabisa kiafya, Sio Dawa ni Virutubisho vya Chakula, Utatumia kwa kipindi cha Siku 9. Itakupa nafasi ya kupunguza kwanzia Kilo 3 mpaka Kilo 9 wengine hupungua hata zaidi. Kwa maelezo zaidi juu ya hii bidhaa tunaweza kuwasiliana DM/whatsapp call/ text:0688745693

Weghtloss_C9 Est: 2008 - 4/9/2020 7:22:37 PM
Tuna Program ya Kupunguza uzito, Salama kabisa kiafya, Sio Dawa ni Virutubisho vya Chakula, Utatumia kwa kipindi cha Siku 9. Itakupa nafasi ya kupunguza kwanzia Kilo 3 mpaka Kilo 9 wengine hupungua hata zaidi. Kwa maelezo zaidi juu ya hii bidhaa tunaweza kuwasiliana DM/whatsapp call/ text:0688745693

Health_weightconsultanttz Est: 2007 - 4/9/2020 9:42:56 AM
health_weightconsultanttz inayo program maalum kwa ajili ya kupunguza uzito kitambi, manyama uzembe kwa njia sahihi na Salama. program inafanya yafuatayo 1. Inaburn mafuta mwilini 2. Inasafisha taka zote mwilini (sumu) 3. Inapunguza hamu ya kula ovyo program zipo za Aina yote kwa kina: * mama wanaonyonyesha * wanandoa * maharusi * .. yeyote anaehitaji kupungua uzito * sio dawa Wala haina chemicali yoyote ile* Imesheheni virutumbisho na mafunzo program imehakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka ya mapato na vyakula Imejumuisha AFYA kwa ujumla wafate/ follow up health_weightconsultanttz au fanya mawasiliano kwa kupiga 0748318008 au Whatsapping 0755324799 kwa maelekezo zaidi. karibuni! afya kwa wote

aymar makeup Est: 2018 - 4/9/2020 7:38:20 AM
karibu kwa huduma ya makeup tunapatikana sinza makaburini karibu na wistaz hotel..kwa mawasiliano whatsapp or call 0719620559

MBIRU LOGISTICS COMPANY LIMITED Est: 2020 - 4/9/2020 6:04:00 AM
HABARI ZA LEO, KAMA UNAUHITAJI WA BIMA KWA AJILI YA GARI LAKO, BAJAJI , BODA BODA, NYUMBA,AFYA/MAISHA AU KIFO TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI UTAPATA KWA BEI NAFUU SANA NA NI UHAKIKA 100% KARIBU SANA. MAWASILIANO 0718164496 / 0752164496 / 0629192032

Original perfumes Market Est: 2019 - 4/9/2020 1:53:35 AM
Karibuni! Tunauza aina zote za perfumes original Mikoani na popote tunatuma

NeyarLongrich Beuty&Suppliments Est: 1986 - 4/9/2020 1:38:15 AM
Karibuni wateja wetu kwa wenye matatizo ya Hedhi,Uvimbe,mzunguko wako kutokwa sawa,harufu sehemu za siri na kutokushika ujauzito suluhisho lipo piga 0684749177

NeyarLongrich Beuty&Suppliments Est: 1986 - 4/9/2020 1:37:45 AM
karibu upate suluhisho la asili la PID,Uti,fungus,changamoto ya uzazi nk tutafute 0783841347

fredi Furniture Est: 2020 - 4/9/2020 12:54:54 AM
tunatengeneza pia sitend za mauwa kwa bei pw 0673039863 kwa muhitaji

fredi Furniture Est: 2020 - 4/9/2020 12:53:14 AM
pata show cas tv kwa bei pow sana kalibuni kwa muhitaji 0673039863 WhatsApp

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/9/2020 12:46:46 AM
EASTER OFFER Katika msimu huu wa Sikukuu Tunakupa Offer ya punguzo maalum Katika Mafuta Yetu ya Alizeti Kutoka Singida kwa 18,000/ Tu. Wahi sasa ofa hii ni ya muda maalum. +255683625140 Tupo Kigamboni Dar es salaam, Mzigo wako utakufikia popote ulipo ukiwa salama kabisa.

NAA ONLINE SHOPPING Est: 2020 - 4/8/2020 11:31:14 PM
Madera kutoka India yenye ukubwa na nimazuri Sana kwa bei poa ya tsh 25,000 tu na Yana cotton %100 pia popote utaletewa bure kwa mkoa wa dsm , mikoani tunatuma kwa makubaliano mawasiliano 0718164496 / 0752164496 / 0629192032

hajoh collection Est: 2019 - 4/8/2020 10:49:39 PM
subwoofer nzuri kabisa ambayo inatumia blotooth, memory,flash pia Ina fm na kuhusu mziki ndipo mahari pake karibu utaipata kwa sh 75000 tu tunafanya delivery buree kwa dar mikoani tunatuma 0625628413

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/8/2020 10:47:02 PM
JIANDAE KUSHINDA MITIHANI YA TAIFA. Kitabu bora kwa wanafunzi wa shule za msingi darasa la 5,6,7 wanaojiandaa kufanya mitihani ya Taifa. Kina mitihani yote ya Taifa kuanzia 1998-2018 Masomo yote, Majibu na Kanuni zote za Hisabati. Kitamsaidia kufanya mazoezi bunafsi na atafaulu Vizuri. Wasiliana nasi. 0683625140 Tupo kariakoo DSM

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 8:14:26 PM
Pata mazulia safi kutoka kwetu kwa bei nafuu 0677371469 @agripina_decor

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 8:12:55 PM
Zulia la nyasi linapatikana kwa bei nafuu Tupo kariakoo uhuru street oppposite na china plaza 0677371469 @agripina_decor on instagram

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 7:59:25 PM
Pendzesha sitng room yako kwa wallpaper kali from us Tunabandika kwa bei nafuu 0677371469 @agripina_decor on instagram

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 7:57:05 PM
Wallpaper kalii from us we send in and out Tunafanya kile mteja wetu anapenda karibu 0677371469 @agripina_decor on instagram

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 7:53:50 PM
Pendezesha office yako au nyumba yako kwa wallpaper za kijanja kutoka kwetu Tunabandika kwa bei nafuu wasilina nasi 0677371469 @agripina_decor on instagram

agripina_decor Est: 2020 - 4/8/2020 7:51:37 PM
karibu tukapatie wallpaper za kijanja kutoka kwetu kwa bei nafuu wasilina nasi 0677371469 @agripina_decor on instagram

nihla ally mtumba grade one Est: 2020 - 4/8/2020 4:33:11 AM
karbuni blauz za mtumba grade one bei ni 9000 karibu whatsap 0656655052 tunafanya derevery kwa gharama ya mteja karibuniii

sokobora Est: 2018 - 4/8/2020 3:49:07 AM
Tefal 1.7liter 2400 watts plastic removable anti scale filter

sokobora Est: 2018 - 4/8/2020 3:45:35 AM
DTL-800 Delta Washing machine 8Kg, Automatic, Top load

Abby Jr ferniture Est: 2020 - 4/7/2020 11:14:14 PM
Abby Jr ferniture ni mafundi bingwa wa utengenezaji wa ferniture za kisasa. Tunauza na kutengeneza pia tunalipea makabati,dress,vitanda,meza za chakula,masofa nk.

AFRIASTUTE LIMITED Est: 2017 - 4/7/2020 11:06:59 PM
ESTATE AGENCY. Ni wattalamu wa kupangisha na kuuza vyumba, ofisi, kiwanja, duka, nk

AFRIASTUTE LIMITED Est: 2017 - 4/7/2020 11:05:29 PM
FIRE EXTINGUISHERS ZA KISASA. tuna throw type na spray time. Haziihitaji service na zinadumu hadi miaka 5