Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
tunapatikana city center Dar es salaam
karibu electro world kwa wakzi wa Dar es salaam kwa mahitaji ya electronic brand ya BRUHM kwa bei ya jumla nicheck 0692495602
DELL laptop brand - DELL INSPIRON 15 3000 series processor - Core i5 RAM - 4GB HDD - 500GB INTEL HD GRAPHICS DVD ROM HDMI port display - 15.6 good condition bei ~ 450,000= whatsapp/sms/call - 0713 133 109 - 0757 404 763 LOCATION_Saeed_computer_lab MBUYUNI NJIA YA TEGETA
DELL laptop brand - DELL INSPIRON 15 3000 series processor - Core i5 RAM - 4GB HDD - 500GB INTEL HD GRAPHICS DVD ROM HDMI port display - 15.6 good condition bei ~ 450,000= whatsapp/sms/call - 0713 133 109 - 0757 404 763 LOCATION_Saeed_computer_lab MBUYUNI NJIA YA TEGETA
ORAIMO SMART WATCH Price 120,000/=
TECNO Camon12 price Tsh 340,000//= 1 year + 1 month warranty
Silcon back case price 15,000/=
ATOUCH, kIds tablet price Tsh 150,000/=
Samsung A10s Price Tsh 310,000/= 2 years warranty
Hatua za kufuata ili uweze kulist biashara yako kwenye mfumo wetu. Kwa msaada zaidi tupigie kupitia 0755648280. Huduma hii ni bure.
unabet kila siku mkeka wako unachanika!?usijali tumekufikia sasa.bet nasisi kwa odds zauakika kila wakat msimu mzima tuma ujumbe whts app 0762036958 ukianza naneno Explore Dar kisha utapatiwa muongozo sahihi na namna yakujiunga,,karibu
Ratchet ICT Solutions provides a wide range of services from, Networking, Database, CCTV, Alarm System, Intercom, Electric Fence, GPS Systems, Time and Attendance/Biometric Fingerprints and ICT Consultant Services. Innovating IT With Excellence
furaha yetu nikuona ukifanikiwa nasiyo kupoteza kila siku...achana na Odds kubwa mdau bet odds kuanzia 5+ tosha sana.karibu ubet pamoja nasisi kwaodds chache na zauakika wakila siku.0762036958 tutumie ujumbe whts app ukijitambulisha wap uliona tangazo letu.kumbuka kuniunga ni sh elf10 tu
Valentine’s Day season Sale -perfume -follow page yetu ya instagram @flodionz kujua mengi
Raw honey fior sale
Raw honey for sale
Biashara kidigitali zaidi ...
Unabet kila siku mkeka wako unachanika!!?usijali tupo hapa kwaajili yako⚽?⚽Tufollow on Instagram ?@Ods_zauakika Au tutumie ujumbe wako whts app ?0762036958 ukijitambulisha sehemu ulipoona tangazo letu?
1056 eggs incubator price 1500,000 Tsh +255717523626 call/whatsapp
Tunauza vitenge original toka kigoma kwa bei ya 35000 tsh havipauki wala kuchuja Tunapatikana Buguruni kwa Mnyamani kituo cha relini Mawasiliano 0718 90 20 22
Incubator full automatic Mayai 264 bei 750,000 Tsh 0717523626 call/whatsapp
L shape sofaset kwa bei poa kabisa karibuni, 0653848995
Kitanda na drawers zake 100% pure wood,karibuni sana
Leather sofaset kwa bei poa kabisa
karibu ujipatie kingamuzi cha dstv full set yani kingamuzi na dish lake popote ulipo bei ni elfu 99,000 popote ulipo dar es salaam tunakuletea pia ufundi ni juu yetu. utapata ofa ya kifurushi cha compact kwa mwezi mzima pia ukilipia elfu 19,000 kwa mwezi utapata kifurushi cha elfu 44,000 wahi sasa nipigie 0677423349
He, unatatizo la chunusi, harara, mba, sugu,weusi kwapan, mapajani michiriz?? njoo Whatsapp utatue tatizo lako acha kuteseka na kuhangaika kuharibu ngozi yako ushauri Ni bure 0787049001
Bath and body works Mists in stock
AFYA MTAJI WAKO WA KWANZA? Je unafahamu madhara ya mafuta katika mwili wako? Maradhi ya Pressure (B.P), Shinikizo la Damu, uzito mkubwa kupitiliza, kisukari na mengineyo ni baadhi ya maradhi hatari zaidi Duniani kwa sasa. Kulingana na ripoti za madaktari, uchunguzi unasema kwamba moja kati ya sababu ni matumizi makubwa ya mafuta mwilini, na asilimia kubwa ya watu hutumia aina ya mafuta ambayo huganda mwilini na hatimae kuwasababishia maradhi hayo. Hivyo ili kuepuka maradhi haya tunashauriwa kutumia aina za Mafuta yasiyoganda katika miili yetu ikiwemo Mafuta ya Alizeti, Mawese, Mafuta ya karanga, Nazi na mengineyo. Hivyo jali afya yako kwa kutumia Mafuta safi kabisa ya Alizeti kutoka Singida Tanzania. Wasiliana nasi kupitia +255745671619 | +255683625140 tutakuletea popote Dar es salaam.
Karibu tutatue ttz lako la kiafya, vidonda vya tumbo, presha, kisukari, nk
Wasiliana nasi 0786880043
Karibu tukuhudumie, kwa huduma za usafi officeni na nyumbani kwako. Kwetu usafi ni afya
Tunakodisha muziki & Djs kwa Shughuli aina zote Muziki wetu ni mzuri na wakisasa
Karibu upate pazia za kisasa
#Biashara yako inahitajika kujulikana kila kona ya jiji letu la #Dar es salaam. #WeWillHelpYouGetThere
Mafuta ya mnyonyo bado yanapatikana kimara suka kwa jumla na rejareja. 0745379674 hukuza na kujaza nywele Huondoa mba na miwasho Huimarisha mifupa na kutibu chango Huondoa mvi na kuzuia kukatika kwa nywele.... Mafuta halisi hayajachanganywa na kitu chochote bei 10000 jumla 7500 kuanzia 6 derivery 2000 kwa dar... Fursa mkononi mwako.
We design products to change the lives of the world’s 2 billion off-grid consumers who use dim, dangerous kerosene lamps for light at night. Buy a Sun King today and let’s bring honest, affordable energy to homes around the world
Nauza asali mbichi kutoka tabora Ltre 1 Tsh 10,000 Ltre 2 Tsh 20,000 Litre 3 Tsh 30,000 Litre 4 Tsh 40,000 Litre 5 Tsh 480,000 Mawasiliano 0743 788 246 /0767 777 2687 Napatikana Yombo abiola temeke Dsm karibuni sana. Kula asali ni kuweza kupata uwezo wa kwenda haja kubwa,Kusaidia kupona vitonda vya tumbo,Kusaidia kuondoa pressure mwilini na Kusaidia kupuzuza kisukali mwilini.
Karibu ujipatie mziki & MC, mapambo, chakula, keki, video shooting, still picture, projectors, magari ya maharusi
Habari njema kwa Watanzania wote sasa unaweza kuokoa muda kwa kutumia Maharage Smart ambayo ni bora kwa afya zetu pia ni masafi na hayana uchafu wowote. Hakuna kuchambua tena.
Happy new year #DaresSalaam.