Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


agripina_decor Est: 2020 - 10/3/2020 8:13:59 AM
8000 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 10/3/2020 8:12:31 AM
0677371469

Health_weightconsultanttz Est: 2007 - 10/3/2020 3:56:38 AM
Ni muhimu Sana kujua mwili wako unataka Nini, kama vile gari hutaka service vivyo hivyo iwe na kwenye miili yetu. upe mwili wako kile unachostahili. @imarisha afya yako@kua na hakika na afya yako. lisha mwili wako na virutumbisho kuondokana na changamoto mbali mbali za kiafya

Furniture Est: 2018 - 10/2/2020 1:30:10 PM
5*6 __750$laki 6*6__850$laki

Georges Agri service Est: 2020 - 10/1/2020 10:36:34 PM
Georges Agri Service ni wauuzaji wa nafaka kama mchele,maharage,mafuta ya alizeti NK kwa Jumla na Rejareja

Sabrapaperflowers Est: 2019 - 10/1/2020 8:20:33 AM
hellooow my customers welcome to my beutiful paperflowers &decor.....just do one thing watsup me or call me and give me ur order then l will take care of everything .....for more information pls contact me 0752058898...or email me sabrapaperflowers94@gmail.com...karibun

Chamgongo Aluminium work shop Est: 2020 - 10/1/2020 4:13:50 AM
kwa sh 1,000,000 unajipatia kabati la nguo kama ilo nicheki kwa No 0659557284

Chamgongo Aluminium work shop Est: 2020 - 10/1/2020 4:11:33 AM
kwa sh 650,000 Tu kabati la vyombo la Aluminium nicheki kwa No 0659557284

Chamgongo Aluminium work shop Est: 2020 - 10/1/2020 4:06:47 AM
kwa mahitaji ya Madirisha ya Aluminium Futi 5 kwa 5 ni 230,000 0659557284

Borehole drilling and hydrogeopysical survey Est: 2019 - 10/1/2020 2:23:09 AM
Tunachimba visima virefu na vifupi TANZANIA Pia punguzo 30%>-=J=w=w kwenye . 1.Utafiti wa upatinaji wa maji=w=

Sabrapaperflowers Est: 2019 - 9/30/2020 3:22:07 AM
awwww karibu kwa sabra paperflowers &design....nikufanyie decor ya maua ambayo yanatengenezwa kwa karatasi iwe saloon, nyumban,na hata kwa dressing table yako ili iwe ya kipekee sio hivyo tu hata ofisin kwako pia call or watsp 0752058898 .....na usisahau yale mambo ya kuninginiza yan( wall hanging) yote yapo...karibun.

Furniture za chuma Est: 2011 - 9/29/2020 11:12:37 PM
geti safi kwa Bei nafuu wasiliana nami v/0784505158

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:28:46 PM
0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:27:58 PM
Nai nai kwa 14,000 tuu Karibu augize na sisi kwa bei ya jumla 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:27:00 PM
Handbag kwa 35,000 tuu 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:25:38 PM
Karibu ujipatie Clutch kwa bei Rahis 18,000 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:24:51 PM
Clutch kama hizi jipatie kwa bei 18,000 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:23:55 PM
Karibu pafyum zote tatu jipatie kwa 14,000tuu 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 9/29/2020 8:23:01 PM
Karibu uagize na sisi mzigo kwa bei Rahisi KabiSaaa 0677371469

Eve wear Est: 2020 - 9/29/2020 7:50:48 PM
Karibu upate nguo za kike na kiume kwa bei nafuu sana..delivery ipo na mkoani tunatuma...karibuni sana

Elijah King Est: 2016 - 9/29/2020 6:13:59 PM
Airpods pro 180,000/=

Mery -online-business Est: 2017 - 9/28/2020 10:06:38 PM
Wallet nzur zipo DUKANI Za WADADA 8500 rejareja 6500jumla anzia PC 10 Piga 0715068380

Mery -online-business Est: 2017 - 9/28/2020 10:03:53 PM
Karibu hand bags set kwa sh 21000 kwa oda Mwisho was Oda trh 15/10 Wasap 0715068380 Karibu UPATE link ya group

Mery -online-business Est: 2017 - 9/28/2020 9:56:14 PM
Karibu hand bags set kwa sh 20000 kwa oda Mwisho was Oda trh 15/10 Wasap 0715068380 Karibu UPATE link ya group

DSTV Est: 2020 - 9/28/2020 8:06:11 PM
JIPATIE KINGAMUZI CHA DSTV UPATE OFFA WAHI SASA KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0692230095 0679262063

Sabrapaperflowers Est: 2019 - 9/28/2020 1:18:56 AM
watsup my dears customers karibun kwa sabrapaperflowers ujipatie mambo ya kutengeneza kwa karatas za rangi yaan (paperflowers) ya kila aina ....naweza fanya kwa dressing table yako ya nyumban ama saloon ili ionekane ya mvuto zaid ....na hata nyumban kama chumban ama hata sebulen kwako nitahakikisha panakua =

Automobile carwash Est: 2020 - 9/27/2020 2:26:57 AM
hii ni mashine pia nzuri sana katika shughuli za kukaushia ma carpet, yaan mteja kazi yake hailali bei yake ni nzuri sana Na mashine ni mpya haijawai tumika kabisa bei ni 650000 Serious buyer anaitajika 0692317297

Automobile carwash Est: 2020 - 9/27/2020 2:23:42 AM
mashine hii ya Car Wash pressure washer easy power heavy duty ni mashine nzuri sana na yenye nguvu sana. naiuza kwa bei nzuri kwa maana mashine ya Car wash hii bdo ni mpya na ipo katika usalama mzuri sana imetumika muda wa miezi mi 2tuu bei yake ni 1000000(million 1) serious buyer anaitajika karibuni 0692317297/0657517062 .

Elijah King Est: 2016 - 9/26/2020 11:11:50 PM
Macbook air 11 inches , intel core i5 , SSD 128gb Tshs.1,200,000/=

Elijah King Est: 2016 - 9/26/2020 11:10:24 PM
Iphone 6 plus 64gb Full box 480,000/=

Elijah King Est: 2016 - 9/26/2020 11:08:03 PM
Iphone 8 plus 64 gb Fully boxed and brand new Tshs. 950,000/=

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 9/24/2020 9:18:41 PM
Kwa vitanda vizuri Sana wasiliana nasi tupigie 0716771053/0686785485..

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 9/24/2020 9:10:07 PM
KWA VITANDA VYA KISASA WASILIANA NASI KWA NAMBA 0716771053/0686785485

Hassan Maalim Est: 2014 - 9/24/2020 8:59:34 PM
Oppo A92 Storage 128G ram 8 bei 700.000/= call 0782101612..

Hassan Maalim Est: 2014 - 9/24/2020 8:56:35 PM
Galaxy A11 storage 32G ram 2 battery 4000 mAh bei 310.000/= mawasiliano 0782101612..

karibuni dukani kwetu kwa maitaji spare au kutengezewa gari yako .kwamasiano ya fundi pg 0717035247maitaji ya dukani kwetu pg0746667199karibu sana

Mifuko & t-shirt printing Est: 2018 - 9/24/2020 2:20:30 AM
tuna printing t-shirt kwa bei nafuu karibu... 0787373207

Mifuko & t-shirt printing Est: 2018 - 9/24/2020 2:18:29 AM
karibu tukutengenezee Logo kwa gharama nafuu.. 0787373207

Mifuko & t-shirt printing Est: 2018 - 9/24/2020 2:16:55 AM
karibu tukutengenezee bango kwa gharama nafuu call..0787373207

Mifuko & t-shirt printing Est: 2018 - 9/24/2020 2:15:32 AM
karibu tukutengenezee mabango ya Wakala kwa bei nafuu.