Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


Night dress Est: 2020 - 9/6/2020 12:45:30 AM
Jumatatu free delivery kwa dar

Furniture za chuma Est: 2011 - 9/5/2020 8:20:53 PM
jipatie sturi Safi kwa bei ya tsh 25,000

1700 kwa 1600kg

1700 hadi 1600Kg promotion

Oscar Outfits Est: 2019 - 9/5/2020 7:41:05 AM
wauzaji wa mavazi ya kiume yenye ubora tunafanya delivery mikoa yote

Gypsum decoration Est: 2020 - 9/5/2020 5:36:44 AM
gypsum decoration

NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION Est: 2017 - 9/4/2020 7:47:08 PM
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo

NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION Est: 2017 - 9/4/2020 7:46:25 PM
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo

NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION Est: 2017 - 9/4/2020 7:45:59 PM
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo

kilosa real estate agent Est: 2020 - 9/4/2020 7:35:10 PM
Tunauza na kukopesha viwanja vilivyopimwa kigamboni Ungindoni sqm1=40,000/=ila bei inazungimzika.call 0657326842. Viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo fery kigamboni au Tuongoma,Mita50 ukitokea Barabara kubwa ya lami.kilomita 9 ukitokea ferry kilomita12 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni. Vimepimwa kuanzia sqm 245,sqm300,sqm400,sqm500,sqm600,sqm700,sqm1000.BEI kuanzia milioni9,milioni10,milioni15na kuendelea. Uzuri wa viwanja hivi,vipo jirani na Barabara ya lami na huduma muhimu zote zipo,umeme,shule,hosipitali na Nyumba za ibada. kwa maelezo zaidi piga /whatsap 0657326842.

Afya ni mtaji Est: 2020 - 9/4/2020 7:09:22 PM
*Garlic Allium Complex* Ni mkusanyiko wa aina zaidi ya tano za vitunguu ambao umewekwa kwenye mfumo wa vidonge. Inasaidia kukabiliana na *fungus* na *UTI sugu*. Pia inaboresha afya ya moyo na kupunguza cholesterol. *GARLIC ALLIUM* ni kirutubisho kilichotokana na jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa _Allium Sativum._ Jamii hii ilianza kutumika katika Mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa ni *Viungo* katika mboga na *Tiba.* GARLIC ALLIUM HUTIBU/HUKINGA MAGONJWA Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika *GARLIC ALLIUM* -Inatibu U.TI sugu na fungus sugu ikishirikiana na virutubisho vingine kama Zinc na Vitamin E -Huondoa sumu mwilini -Husafisha tumbo -Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) -Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine -Huzuia kuhara damu (Dysentery) -Huondoa Gesi tumboni -Hutibu msokoto wa tumbo -Hutibu Typhoid -Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi -Hutibu mafua na malaria -Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB) -Hutibu kipindupindu -Hutibu upele ikishirikiana na virutubisho vingine kama Nafaka kamili ya Soya, brown rice, Ngano, Dona n.k -Huvunjavunja mawe katika figo (Kidney stones) -Hutibu mba kichwani -Huimarisha utendaji kazi wa ubongo. -Huzuia meno kungooka na kutuliza maumivu -Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume) kwa kushirikiana na virutubisho vingine vya kubalansi homon -Hutibu maumivu ya kichwa na kizunguzungu. -Hutibu shinikizo la juu la damu na kuzuia saratani/kansa kwa kushirikiana na virutubisho vingine pia -Husaidia kutibu kisukari ikishirikiana na virutubisho vingine -Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi ikishirikiana na virutubisho vingine vinavyotokana na mboga mboga na matunda...

Culture and accessories Est: 2017 - 9/4/2020 5:47:50 PM
Njoo upendeze na Mimi kwa Bei rahisi Sana tunapatikana mbagala kizuyani

Bests Cars Tanzania Est: 2020 - 9/4/2020 10:25:18 AM
BMW for Sale.

Multipurpose items Est: 2020 - 9/4/2020 8:57:05 AM
Karibu Janesha Electric Appliances Store ujipatie Smoothie Blender kwa 35,000 tuu. Napatikana Kimara Dar Delivery ipo kwa Dar Mikoani natuma kwa uaminifu Karibuni sana Ntafurahi kuwahudumia 0755173413 whatsapp

VIPODOZI ASILI Est: 2020 - 9/3/2020 6:35:09 AM
S.T.A VITAMIN E SERUM #NI MAFUTA YA MAJI MAALUMU KWA AJILI YA NGOZI# 1.Yanalainisha ngozi na kuondoa mikunjo 2.Yanaondoa #Madoa, #Magaga miguuni, #Weusi wa makwapani, #Weusi mapaja, #Makovu ya chunusi #Sugu zinazosababishwa na matumizi ya baadhi ya vipodozi vikali 3.Yanatakatisha ngozi bila kuchubua hivyo kufanya ngozi yako kuwa na rangi moja mwili mzima. #BEI YAKE NI TSH 8,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO VITAMIN E SERUM NDIO HABARI YA MJINI. WASILIANA KWA Namba 0713145135 WhatsApp 0684901331 NI MWENDO WA KUDAMSHI TU=

chupi_nzuri_center Est: 2017 - 9/2/2020 10:18:25 PM
Chupi ni 62,000 dozen!!!ni highwest na zina material mazuri saaana....zinabana tumbo.

VIPODOZI ASILI Est: 2020 - 9/2/2020 9:49:47 PM
STEAMING KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCT HUU NI MCHANGANYIKO WA KITUNGUU, MBEGU ZA MNYONYO NA MZAITUNI FAIDA ZAKE

VIPODOZI ASILI Est: 2020 - 9/2/2020 9:48:10 PM
RED ONION SHAMPOO ( hair shampoo) FAIDA BAADA YA KUTUMIA =INywele zitalainika na kungaa =INywele zitajaa =IKuzuia nywele kukatika hovyo =IInaimarisha nywele na kufungua vitundu vya ngozi (hair pores ) ili ziweze kukua vizuri. =IKuondoa miwasho na mba kichwani. <:<:<:<:<:<:<: UNAJIPATIA KWA SH.7,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO TUPIGIE SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331

VIPODOZI ASILI Est: 2020 - 9/2/2020 9:45:38 PM
JIPATIE SABUNI YA KAHAWA KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCTS Inaondoa chunusi Inaondoa Madoa Usoni Inasafisha Ngozi Inaondoa Ngozi Iliyokufa (Dead Skin) Inarutubisha Ngozi Iliyoungua Na Jua Inalainisha Ngozi Inapunguza mafuta usoni KARIBU UHUDUMIWE KWA SH.6,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO TUPIGIE SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331

VIPODOZI ASILI Est: 2020 - 9/2/2020 9:44:10 PM
COFFEE FACE & BODY SCRUB........... KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCT Ni Scrub ya asili kabisa iliyotengenezwa kwa vitu asilia vyenye uwezo wa kuondoa matatizo ya ngozi bila kujali aina ya ngozi. FAIDA ZA SCRUB YA KAHAWA Hutakatisha sehemu zilizojificha kama vile kwapa, mapajani na shingoni Huondoa michirizi Huondoa seli zilizokufa Husaidia ngozi kupumua vizuri Hungarisha na kukufanya uteleze (haichubui) Huondoa mikunjo kwenye ngozi Hupunguza mafuta na kukuacha murua Huondoa sugu kwenye magoti na vidoleni Humsaidia alieathirika na vipodozi vikali Huondoa vipele vilivyo kwenye makalio MATUMIZI Fanya scrub angalau kwa wiki mara 2 kwa kuchukua kiasi kidogo na kupaka sehemu utakayo kisha fanya massage kaa dakika 20-30 osha kwa maji Vuguvugu =

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 9/2/2020 8:59:20 PM
Tupigie 0686785485/0716771053 furniture Kali na imara Kwa bei Nafuu.

fredi Furniture Est: 2020 - 9/2/2020 8:02:08 AM
tunatengeneza mapambo ya mauwa kwa bei pow 0673039863

chupi_nzuri_center Est: 2017 - 9/2/2020 5:11:44 AM
Tait matata sana kwa wakina dada kiujumla wanawake wote ni nzuri mno. =

Jojoz beauty salon Est: 2016 - 9/2/2020 5:11:21 AM
Nauza chupi bana tumbo bei 15000 tuu reja reja na jumla 13000 kuanzia pc 6

chupi_nzuri_center Est: 2017 - 9/2/2020 5:04:24 AM
mzigo mpya wa chupi umekuja karibuni wateja wangu dozen sh62000/= nusu dozen sh31000/= popote ulipo tuna kufikia Mikoani tuna tuma pia

Ramso_jhr-Collection Est: 2015 - 9/1/2020 7:38:07 AM
WAUZAJI WA NGUO JUMLA NA REJAREJA NO refund (exchange allowed) Delivery mikoani na nje ya nchi kwa uaminifu

Ramso_jhr-Collection Est: 2015 - 9/1/2020 7:37:36 AM
WAUZAJI WA NGUO JUMLA NA REJAREJA NO refund (exchange allowed) Delivery mikoani na nje ya nchi kwa uaminifu

Electronic Est: 2020 - 9/1/2020 7:16:58 AM
Naomba nikuuzie flash Original kabisa zenye ukubwa wa Gb 8, bei ni TSH 13,000. Original kabisa

Electronic Est: 2020 - 9/1/2020 7:10:53 AM
Kichwa cha Chaja Original kwa bei ya kutupa, 18500 Tu. na chakisasa kabisa

fredi Furniture Est: 2020 - 9/1/2020 2:34:28 AM
tunatengeneza mapambo ya mauwa kwa bei pow 0673039863

fredi Furniture Est: 2020 - 9/1/2020 2:32:26 AM
tunatengeneza vitanda vizur kutupata 0673039863 tupo mbezi

fredi Furniture Est: 2020 - 9/1/2020 2:31:32 AM
kikochi kizur tunatengeneza kwa bei pow 0673039863 tupo mbezi beach

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 8/31/2020 10:38:25 PM
Tupigie 0686785485/0716771053 Kwa Dinning table nzuri Sana tukutengeneze kama utakavyo.

kilosa real estate agent Est: 2020 - 8/31/2020 10:17:02 PM
Miliki kiwanja kilichopimwa kwa mkopo wa miezi 3 kigamboni Dege. Viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo fery kigamboni au cheka Vinatizamana na mradi mkubwa wa magorofa ya DEGE ECO VILLAGE kilomita15 ukitokea fery kilomita18 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni mita600 ukitokea Barabara kubwa ya lami. Vimepimwa kuanzia sqm 300,sqm400,sqm500,sqm600.BEI kuanzia milioni4 milioni5 milioni6 milioni7 milioni8 milioni9 na milioni 10.Uzuri wa viwanja hivi huduma muhimu zote zipo umeme shule hospitali na nyumba za ibada. UTARATIBU WA MKOPO MTEJA ANATAKIWA ALIPIE ASILIMIA 50 ILIYOBAKI ATAENDELEA KULIPIA KIDOGO NDANI YA MIEZI 3.kwa maelezo zaidi piga/whatsap 0657326842.

mama lincy cakes Est: 2019 - 8/31/2020 8:15:48 PM
htc one x 10 64 Gb Fingerprint available Ipo in good condition lak 270

JITIBU NA DR.MAPANDE Est: 2017 - 8/31/2020 8:02:43 PM
VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA A VIDONDA VYA TUM VIDONDA TUMBO/MADONDA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

Emman IT solution Est: 2020 - 8/31/2020 10:33:10 AM
tunatengeneza computer Aina zote tunauza spare za computer na accessories Kama : HDD | RAM | display | chargers speaker | stickers etc 0752133597 call & WhatsApp

Tircky Bussnes Est: 2010 - 8/31/2020 8:47:06 AM
Toshiba Extenal inauzwa 1tb nzuri sana

gy funiture mbezi beach Est: 2009 - 8/31/2020 8:15:07 AM
milango imara finishing kali wasiliana nasi 0788954057 Instagram@gyfuniture

Samara Oils Est: 2017 - 8/31/2020 3:06:40 AM
Samara Oils tunajishughulisha na utengenezaui wa mafuta ya Nazi pamoja na bidhaa mbalimbali za nywele pamoja na mwili..