Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Niwauzaji wa apetamin kwa watu wanaokosa hamu ya kula inaongeza kilo 5-10 kwa week unanenepa na kunawili kwa virutubisho ni za jinsia zote na liko lote
daudshija53@gmail.com
Pezesha nyumba yako ata wewe unawezakubadili nyumba yako ata Kama upigarangi
rutaraka123@gmail.com
Tunauza pikipiki za hero pamoja na yamaha
Wauzaji na wasambazaji furniture aina zote!!! mawasiliano:0744995691
BIASHARA YA KUBADILISHA PESA ZA KIGENI MTANDAONI
jackisonngosha@gmail.com
Wauzaji wa vyombo vizuri vya majumbani kama rice cooker oven Glass na vingine vingi WhatsApp no. 0687886303
Biashara ya mikoba ,nguo na accessories zingine
Ni wauzaji wa battery za gari aina zote Ns40 N45 N50 N60 N65 N70 N75 N90 N100 nakuendelea warranty uhakika mkataba bei chee kwa dar unalipa baada kupata battery yako
nguo za kulalia
Tunatengeneza madirisha na milango ya Aluminium
VIATU,NGUO ZA KIKE,MASHUKA,TV,RADIO,NGUO ZA KIUME,MAGAUNI N.K
Wellnanziku@gmail.com
Tunauza bidhaa za usafi na kilimo ambazo hazina chemical yoyote ile na ni rafiki wa mazingira. Bidhaa za usafi ambazo zinahumika kuondoa uchafu sugu na lain kwenye frig ndan|frypan|madirisha/sink/Tiles/ siti za gar | masofa| zulia.
tunachola ramani za nyumba nakujenga nyumba ya ndoto yako. Build your dream home with beacon consults.
Natengeneza vitanda, kabati, dressing table, milango na frem kwa Oda
Tuna design Logo mbalimbali, Tunaprint Mabango ya aina zote, Tunaprint T-shirt, Vipeperushi, Calendar, Reflectors, Business cards, ID cards, Mifuko Mbadala, Mito, Banners, Stickers. Tuna bandika stickers.
Nauza nguo za kike ambazo ni muundo wa kisasa Yaani new style kwa bei nafuu zaidi
Tumia mafuta halisia ya nazi
Wauzaji wa Accessories Kama Watches, Chain, Rings, Wallet, Belt......
Tunatengeneza madirisha patition kabati pvc cutting roll kubandika vioo vyote vya magorofa na vioo +225657912791
Nauza bidhaa tofauti tofauti Kama Mavazi ya kike na kiume, viatu vya Kike na kiume pamoja na VIPODOZI
aagapith@gmail.com
Home accessoriesFrom Sitting room to Bathroom We got you Covered!
Wauzaji Wa tshirts quality (unisex)mtu yeyote anavaa nzuri tupo kariakoo agrey na nyamwezi street dar es salaam
Start to finish construction services
mwazembesamweli9@gmail.com
Mwazembesamweli9@gmail.com
nguo aina zote za kulalia.PajamaShort pajamaShumizi na robe zakeVest na kaptula zakeMtumba first grade
biashala yangu ni ya nguo za mtumba
Samaki Wabichi, Wakukaanga Na Kukausha kwa moshi Aina Ya Sato na Kambare
dawa za wadudu
dawa za wadudu
electronics, phone & phone accessories, earphones.
Ujenzi wa majumba aina mbali mbali na ukarabati ufundi wa vitu mbali mbali popote ulipo tunakufikia ubora na ubunifu kipaumbele chetu Istagram hp-ujenzi-ufundi mawasiliano 0756 882353/0622206520 tunakukaribisha
angelmsuya07@gmail.com
Tunauza vingamuzi vya Dstv ni Vipya kabisa. Utasajiliwa kwa majina yako na namba yako ya simu. Utaletewa na kufungiwa hapo ulipo(nyumbani kwako) na pia utapata kifurushi cha Ofa mwezi mmoja. Kwa maelezo zaidi piga 0716330660.
ALICE LIQUID SOAP – Sabuni za Usafi ambazo unaweza kusafisha tiles/sinks, kudekia, kuoshea vyombo, kufulia pamoja na kunawia. Ni nzuri sana kwa matumizi ya Nyumbani, Ofisini, Hoteli, Lodges & Bars, Hospital, Mtu Binafi na Makampuni/Taasisi.