Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Hardwood fanicher
Tunatengeneza fanicher aina zote kwa bei nafuu Sana kwa kutumia hardwoods , softwood mbf malinbord n.k kwa mawasiliano piga simu +255717407651 au njoo WhatsApp kwa namba hiyo hiyo
Est: 2006,
Makumbusho
Emraizermedia
Biashara hii inahusu habari za watu maarufu Tanzania na nje na taarifa mbalimbali na pia unaweza kudownload miziki mbalimbali ya wasanii
Est: 2020,
Sinza
NICE Tanzania
Consultants wa Project and Planning Management, Strategic Planning, Organizational Development and Leadership.
Trainers and Mentors wa Project and Planning Management, Strategic Planning, Organizational Development and Leadership.
Est: 2018,
Makumbusho
SEPTIC TANKS ZA KISASA
Tunajenga Biodigester Septic Tanks pamoja na Soak Away Pit,
Mfumo wa ma-karo ya maji machafu ya kisasa ambayo hayajai kwa kupoteza maji ardhini.
Mfumo huu hauchafui mazingira, unatumia eneo dogo, na ni gharama nafuu ukilinganisha na mifumo mingine.
Wasiliana nasi: 0769967767
Est: 2021,
Kimara
Photography
Sendoff|Wedding Coverage|Birthdays|International Bookings. Photoshoot coverage.
Est: 2019,
Makabe
Uhuru Peak Glacier
Uhuru Peak Bar is a full service bar and restaurant we are equiped with HD Flat Screen TVs, Great Deejays Free Internet (Uhuru Peak Bar WiFi) and unrivaled menu. We are located in Kinondoni, Dar Es Salaam opposite Vijana Hostel and Mango Bar
Est: 2011,
Vijana bus stop kinondoni
Lejutehomecare
Tunauza Sabuni za kusafishia
~Masink
~Tiles
~Oven
~Fridge
~Vyombo
~Kuta zilizochafuka
~Masofa ya Aina zote
~Macapet
~Sit za Magari
~Viti
Est: 2021,
Sinza Madukani
kilimo_uti_wa_mgongo
mbolea YA SUPER GRO na bidhaa za usafi kama super10,CARE, LDC na carpet gro
Est: 2021,
magomeni
Mafuta ya mnyonyo(castor oil)
Tunauza castor oil kwa bei ya jumla tu,ni mafuta ambayo hayajachanganywa na kitu chochote
Est: 2017,
Kariakoo
Nguo za watoto
Pata nguo za watoto grade a kwa wauzaji wa rejareja nafungua balo
Est: 2020,
Mbezi stand
Mchele
Mchele super kutoka ifakara kilo moja sh.1900 free delivery kwanzia kilo 5
Est: 2019,
Tabata barakuda
Mchele
Mchele super kutoka ifakara kilo moja sh.1900 free delivery kwanzia kilo 5
Est: 2019,
Tabata barakuda
Neolife foundation
Product za usafi wa maofisini na majumbani kama vile super10, care, carpet glo, G1 loundry hii ni sabuni ya kufulia na inafua yenyewe
Est: 1958,
Neolife product
NUNUA KIWANJA NA MASHAMBA DAR NA DODOMA KUPITIA KAMPUNI YA PROPERTY INVESTORS CO LTD.
Zheneck000@gmail.com
Est: 2018,
zheneck000@gmail.com
BIN SADDON TEXTILE
Vitamba jumla vya shule,harusi, sherehe sutizakiume na zakike,lacey,vitamba za msimu wabaridi na joto,metallic material,etc
Est: 2000,
Mta wa likoma
image zone
Tunauza na kuandaa picha nzuri za ukutani
-Canvas,picha mbao na picha za frem
Est: 2020,
Kinondoni biafra
Kahawa Afrika Inv Limited
Packaging and distribution of locally fresh roasted coffee and spiced tea
Est: 2017,
Mbweni jeshini
wamalink cleaning service
tunatoa huduma ya usafi majumbani, maofisini, shuleni, hospitali, vyuoni, viwandani na sehumu zote zinazohitaji usafi, tunapuliza na kunyunyiza dawa ya kuondoa wadudu wasumbufu kwenye mazingira ya ndani na nje kwa kutumia dawa rafiki za mazingira.
Est: 2018,
urafiki flat
Nguwo
Nauza nguwo online
Delivery ipo natuma mikoani
Kote nipo k koo whatsspp number
Kailibu nku udumie
##0788489392
Est: 1999,
K koo
Salum scale
Tunauza mizani za kila aina digital & analog kwa bei poa call 0627993827 / 0711397915
Est: 2021,
Soko kuu la kisutu ghorofa 3