Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 5 of 69
MSINDI OUTFITS BRAND

Tunauza Jeans za kike na kiume,cardet,t shirt na shirts kwa bei nafuu na tunakuletea mpaka ulipo bure

Est. 2021 📍 Mawasiliano
malis furniture

jumajone7@gmail.com

Est. 2009 📍 jumajone7@gmail.com
BRANDS_COLLECTION

TUNAAGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA KWA GHARAMA ZA KIWANDANI.

Est. 2021 📍 IRINGA TOWN
God Win Catering Services

Tunatoa huduma ya chakula kwenye shughuli mbalimbali mpaka watu 1000 kama harusi, misiba, send-off, kitchen party, seminar etc

Est. 2020 📍 Dar
Kabanza Cleaning services

kabanzacleaningservices@gmail.com

Est. 2020 📍 kabanzacleaningservices@gmail.com
dalalimwanamke

lucygelas@gmail.com

Est. 2021 📍 lucygelas@gmail.com
Geedasa enterprises

gerldaniel43@gmail.com

Est. 2008 📍 0753176262
Dental services

-kusafisha meno( dental scalling and polishing) -kuziba meno( tooth filling) -kuweka meno bandia( dentures) -kungarisha meno( teeth whitening) -Kuiweka urembo kwenye meno( tooth gemstones) -Matibabu ya mzizi wa jino( root canal treatment),etc

Est. 2021 📍 Magomeno usalama
Bekoz Computer

Safe Place to Purchase a Good ItemLaptop & Desktop Brand New Refurbished & Used Abroad Computer Accessories Call Us 255 759 400 112

Est. 2019 📍 Kariakoo | MASASI ST & LIKOMA
Princess_dread_locks

lightnesskavishe03@gmail.com

Est. 2021 📍 lightnesskavishe03@gmail.com
Queen Snacks and Nuts

Snacks and Nuts

Est. 2020 📍 Magengeni
loveness collection

Tunajihusisha na kuuza nguo,mikoba na viatu

Est. 2017 📍 Mama B
ismail-spareparts

ISMAIL-SPARE PARTS ni wauzaji wa spare za magari kutoka china kwa bei ya jumla kwa mawasiliano piga 0658604172

Est. 2021 📍 khan auto spare
Magar

BREVIS. FULL. AC FULL. OPTIONS FULL. DOUCOMENT YEAR. 2005 PRISE. 7,5000,00

Est. 2019 📍 Kijichi
fundi paa

Karibu ujipatie mafundi wakuezeka kwagarama nafuu wasiliana nasi kwakujenga au kupaua nyumba yako ubora wakazi niwewe kupata Fundi makini.0787546035

Est. 2014 📍 mwenge
Mac chips

uuzaji wa chakulaa aina ya chips

Est. 2021 📍 macbussiness585@gmail.com
Tools & MACHINERIES

Thank you for contacting Tools & MACHINERIES please let us know how we can help you professional services

Est. 2021 📍 Lindi/Congo
vijana_na_ndoto

kutangaza Fursa kwa vijana na wamama walionyumbani tegemezi na waajiriwa wenye matamanio yakupata kipato cha ziada

Est. 2021 📍 Victoria Tanzanita park makumbusho
OFFICIAL WIZZYKILLER

jumaahabdallah1@gmail.com

Est. 1998 📍 jumaahabdallah1@gmail.com
Nath wine

Ni wine inayotengenezwa kwa kutumia maua ya Rosela. tunauza kwa Bei za jumla dry kwa 8,000 na sweet kwa 10,000. Tunafanya delivery na mikoani tunatuma.

Est. 2020 📍 Kimara
bangalos electro zone

Tunauza vifaa vyote vya majumbani.

Est. 2021 📍 msimbazi kariakoo
TRENDY CAKES TZ

Tuengeneza Cake Za Shughuli Mbali Mbali Kwanzia Cake za Birthday mpaka Cake za Harusi, Anniversary, Baby Shower, za Maofisi n.k.

Est. 2021 📍 Kimara Suka
TASSAA STUDY ABROAD

Tunasaidia wanafunzi kusoma nje ya nchi

Est. 2017 📍 Mikocheni B
NorthGateAutos

We provide top quality services 1. Vehicle maintenance and repair 2. Vehicle panel beating and paint works 3. Auto diagnosis and electrical works 4. Consultation

Est. 2021 📍 Mivumoni Road Madale
Stationery

Jipatie vifaa vya shule, ofisini, zawadi

Est. 2020 📍 polisi mabatini
Dinocosmetics mwemge

vifaa vya makeup

Est. 2019 📍 mwenge
Mussa Leven

mussa.nduta.leven@gmail.com

Est. 2021 📍 mussa.nduta.leven@gmail.com
chiya _mo food

biriani kila ijumaa

Est. 2021 📍 kwa bi nyau mtaa wa mzumbe
mobbseller

nasryb55@gmail.com

Est. 2021 📍 nasryb55@gmail.com
Online Movies and Series

Nauza Movie online Single1 @500tsh Season1 @1000tsh ::: Zipo zilizotafsiriwa na English version

Est. 2021 📍 Mikocheni
Ojay Electronics

Tunauza bizaa zote za electronics kwa bei poa kuliko kariakoo na tunatoa warantee

Est. 2019 📍 Mbezi luis Dar
HASS Tech

Duka La Simu na Wakala wa bidhaa za Xiaomi.

Est. 2021 📍 Libya kwa Mafundi
VIWANJA VYA MAKAZI/MASHAMBA

Viwanja vya makazi na mashamba ya kilimo na UFUGAJI

Est. 2021 📍 Vikindu Magodani/KISARAWE-MASAKI
SculptArmy

Vifaa vya mazoezi, mikanda ya tumbo… Sculpt Army is a Tanzanian fitness brand based in Tanzania and Germany. Our company deals in fitness accessories and workout gears for at home & outdoors workouts as well as in gym fitness.

Est. 2017 📍 SculptArmy
Ommylee_cakes

keki keki keki keki zetu ni tamu sanaa ,zina ubora, zina viwango,ni laini na zimechambuka sanaa tunafanya delivery popote ndani ya Dar es salaam

Est. 2019 📍 Mbezi luis
Duka La simu

Nauza simu mpya na used kutoka dubai

Est. 2021 📍 MAWASILIANO BUS STAND
Southern_electrofurniture.tz

Electronics

Est. 2010 📍 aggrey and ndanda street near China plaza
Mitumba

Nguo za watoto

Est. 2021 📍 0693352477
Mona_fashiontz

Mona_fashiontz ni wauzaji wa nguo, viatu, saa, hereni na mikoba ya wadada, inayoenda na wakati.

Est. 2019 📍 Wailes