Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
ALICE PRODUCTS
ALICE LIQUID SOAP – Sabuni za Usafi ambazo unaweza kusafisha tiles/sinks, kudekia, kuoshea vyombo, kufulia pamoja na kunawia.
Ni nzuri sana kwa matumizi ya Nyumbani, Ofisini, Hoteli, Lodges & Bars, Hospital, Mtu Binafi na Makampuni/Taasisi.
Est: 2020,
KINONDONI
lk_beautysaloon
Tunasuka nywele mitindo yote kwa bei nafuu
Tunafanya makeup zote na kupamba maharusi kwa ustadi mzuri
Est: 2021,
ubungo mawasiliano stand
Dr.eugen Abc company limited
Medical equipment supplier
Hospital
Diagnostic centre
Est: 2020,
Mzinga_Vikindu
Narindwa beauty shop
Tunatengeneza mafuta ya asili kutumia carrot na mengine kutumia mbegu za maboga, tunatengeneza pia sabuni za karafuu na zingine mbegu za maboga, vyote ni kwaajili ya kurutubisha na kulainisha ngozi ya uso na mwili. tunatengeneza mafuta ya nywele pia.
Est: 2004,
Msasani msikitini
landscaping and garden design
Garden designing , paving block, landscape & decoration
Est: 2021,
africana mbezi beach
SIVA CLEANING SERVICE
ni biashara inayo husika na hutoaji wa huduma ya usafi wa ndani na wa njee usafishaki wa TILES zilizo chakaa na kuziweka kuwa zinazo ngaa na kupendeza sana pia tunauza dawa za kusafishia TILES na masink ya chooni zinapatikana ni dawa ambayo ni suruhisho la uchafu unao chafua TILES na masink
Est: 2021,
mlandizi kibaha
Gypsum expert
Unataka TV cabinet,siling na hatch za gypsum za kisasa, lakini hujui utapata wapi mafundi watalam waliobobea, waaminifu?. Sasa ondoa shaka umesha wapata. Follow uor fb, tweetter & instagram pages, to get new update every time. @gypsum_expert_tz
@gypsum_
Est: 2007,
Dar
bk2 online Medics
Bk2 Online Medics, Ni jukwaa ambalo Linajihusisha Na Kutoa Elimu na Kuwasaidia Watu Katika kuwapa Tiba Ya Magonjwa Mbalimbali Yasiyo na yanayo Ambukiza.
Est: 2018,
Makumbusho complex
Mabati halisi Tz
Mabati imara kabisa tena kwa bei nafuu
IT5
CORRUGATED
VERSATILE
Est: 2017,
Nyerere road
Personal Development and business Books
Official site for business, and personal development books.
Offering authentic and well researched business info. that will help entrepreneurs to build a scalable, sustainable and impactful businesses.
Est: 2018,
Kaunda drive
Epikaizo City
Uuzaji was Bidhaa mbalimbali.
- Maziwa ya Mtindi.
- Bites
- Mafuta ya Alizeti.
- Unga wa Maindi.
- Asali mbichi.
______
Mafuta ya kupakaa na Manukato.
Est: 2021,
Msongola
TingaTinga Arts Cooperative Society
Wataalamu katika michoro na shughuli za sanaa.
Est: 1990,
Oysterbay
Dragon Autoworks
We repair any car
panel beating
painting
electrical
mechanical
Est: 2020,
Kwa Tumbo
Moyes_classic
Moyes Classic chini ya Moyes Enterprise inakuletea KOROSHO zilizoandaliwa kwa ubora wa kimataifa (international standard). Korosho zetu katika uzito mbalimbali kuanzia robo kg (250g), nusu kg (500g),kilo 1 (1kg) na pia unaweza kupata Mzigo mkubwa zaidi.
Est: 2021,
Biafra (barabara kuelekea MWANANYAMALA ikitokea mataa (biafra traffic lights )-Dunga street Karibu na Msikiti wa Jamia
Dagaa la zanzibar
uuzaji wa dagaa la zanzibar dar es salam
Est: 2021,
muuzaji wa dagaa la zanzibar, dar es salam
Kijana wa Bima Insurance Agency
Tunafanya uwakala wa Bima na kampuni ya Phoenix of Tanzania assurance co. Ltd
Est: 2021,
Magomeni kanisani
Ammu’S kitchen
Tunapika biriani & pilau kila ijumaa pia tunapikisha chakula kwenye udhulu mbalimbali kama maharusi,maulidi,misiba,Barth day,na kadhlika chakula ni kizuri na chakipekee kabisaa karibuni sana.
Est: 2021,
Msasani
helleny collection
helleny _ collection wauzaji wa nguo za ndani za kike na kiume na viatu vya kike na urembo
Est: 2021,
mabibo mwisho muleba
Dog Trainer..
kufundisha mbwa..
Obidiance-Utii..
Agressive-Ukali..
Protection-Ulinzi..
Sports-Michezo..
Kuuza mbwa mbalimbali..
All breed of dog..
Est: 2013,
Temeke