Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 57 of 70
MUGETA DAGAA PRODUCT

Wauzaji wa DAGAA bora wa kukaanga toka ziwa Victoria.

Est. 2019 Mugeta dagaa
Health and beauty

Natoa ushauri wa afya na tiba bora kupitia virutubisho asilia vyenye viini lishe na kutoa ushauri kuhusu magonjwa mbali mbali pamoja na urembo

Est. 2018 Mlimani tower
Mimmy_machinga_store

Skin care, hair treatment and health.

Est. 2017 Mbezi mwisho
UUZAJI WA KUKU WA KIENYEJI

Sisi ni wauzaji wa kuku wa nyama na mayai tuliosajiliwa na kupata vibali vyote vya ufanyaji kazi

Est. 2019 KISUTU
FUNDI Urembo guzo madilisha kona arch skating popote na fika

Fundi Urembo guzo madilisha na kona arch

Est. 2013 Napatakana tandika temeke dar es salaam
MAGODORO NA VITANDA

Tunauza magodoro na vitanda aina zote kwa bei rafiki kwa kila mtu. Tunafanya step door delivery na USAFIRI NI BUUURE KABISA. Utalipia bidhaa baada ya kufikishiwa. USINGIZI BORA NI AFYA. KARIBUNI SANA.

Est. 2019 KIGOGO MWISHO
curtains

Biashara yangu nauza nguo za kike new fashion pia unaweza kuletewa Hadi ulipo kwa garama nafuu snaaa karibuni

Est. 2020 Mchikichi Swahili
JulioTrevisan.co.Ltd

Ni company ambayo tunatengeneza bidhaa mbali mbali kama vile sabuni za maji aina nyingi na pia bidha zengine kama Vitakashio vya chooni, masinki , Tiles n.k

Est. 2020 Mbezi Beach (B)
Mahanaim Technologies Limited

Business Consultancy Company

Est. 2018 City Mall
Chalhuny Store

Nauza vifaa vya nywele.. dryer za kukaushia nywele na pasi za kunyoosha na kuweka mawimbi nywele kwa bei rahisi.. ni mpya kabisa

Est. 2018 Muhimbili
Mabati Bomba OG

Wauzaji na watengenezaji wa mabati ya kisasa na wanauza kwa bei ya kiwandani.

Est. 2020 Sokota temeke
BESMARTONLINE

Tanauza Vifaa Vya Simu Kama Vile Makava Ya Simu,Betri,Chaji,Headphone Na Vingine Vingi...Tunatuma Popote Ulipo Na Gharama Utumaji Ni Juu Yako Kila Huduma Zetu Hazipatikani Jumamosi Tuu,Karibuni Sana.

Est. 2020 Kitunda Shule
baibulafurniture_255

niwatengenezaji wa furniture za ndani zenye ubora na pia tumezingatia mateoreos mazuri

Est. 1992 tabata shule dar es salam
Jackart

Tunachora picha halisia kwaajili ya kupamba ndani kutoa zawadi kwenye birthday harusi send off kitchen part nk

Est. 2020 Aura mall kariakoo
QuickBoyTz

Seller & supplier of original mobile phone accessories whole sale and retail

Est. 2020 Kariakoo
MARC AUTO SERVICES

We do car maintanance and repair also and welding designing

Est. 2020 Mongo la Ndege_Daraja la kinyerezi
Shopnasi

We deal with selling mobile phones we offer exchange deal

Est. 2013 kariakoo
Neighbour designers

Desiging, preparation of BOQ, Material scheduling and full construction

Est. 2018 Ubungo
Ossie255_mitumba

Wauzaji wa nguo, pochi & viatu vya mitumba.

Est. 2019 Mbuyuni kinyerezi
Tharie Decoration

Tunauza duvert, shuka,pazia, saa za ukutani, kabati za nguo nk mawasiliano 0711738806

Est. 2020 Online business
RGM FASHION WEAR

Tunauza nguo za kiume kama vile,cadeti,jeans,suti na surually aina mbali mbali

Est. 2020 MCHIKICHI&CONGO STREET
classiclocker

Niwauzaj wa nguo za mtumba gradeone kutoka uk $u s a nguo za aina zote zinapatikana makot cadet jeans surual za vitambaa tishirt mashat nguo za harusi nguo za usiku nguo za watoto viatu vya wakubwa na watoto vyote vinapatikana

Est. 2020 Mwananyamala A
TEMBO HOUSE FINISHING

Tufanya plasta,na urembo nyumba, pia tuna skimm na kupaka rangi

Est. 2020 Kipawa
Griphin Alluminium Service

Griphin Aluminium Service Tunajishughulisha na utengenezaji wa Aluminium kama Milango, madirisha n.k

Est. 2014 Tabata
INAS COMPANY LTD.

we deal with sea food, fruits and beef processing (biltong producer/ meat snacks both flavours chill and non chill)

Est. 2018 malapa
Dexter Insurance

Tunatoa Elimu na Huduma Ya Bima / Insurance Dhidi ya Majanga ya Moto, Wizi, Ajali, Maumivu, kifo, mafuriko, tetemeko *Bima Ya Magari *Bima Ya Nyumba *Bima ya Biashara *Bima ya Ujenzi

Est. 2019 Rainbow / Near BOT Apartment
LASTON ONLINE STORE

Uuzaji na usambazaji wa bidhaa na mahitaji ya wateja kupitia duka letu la mtandaoni

Est. 2019 LASTON STORES
chipp chapp grouptz

wauzaji wa chips na mishikaki ya kuku tunapokea odda kwaajir ya shughuli ndogo na za kati

Est. 2013 miambeni vingunguti
Kasasu Investment Co Ltd

Clearing and Forwading

Est. 2020 Samora Avenue,Twiga House
J&O Logistics

J&O Logistics Ltd, is a company dedicated to provide courier service (parcels/packages delivery), Relocation,Transportation, and General supply within Dar es salaam. Also there is J&O Communications that provides the following services: .Printing&Branding .Graphic Design .Advertising .Eve

Est. 2017 Misholi street, Mikocheni ( kwa Nyerere)
Vitenge Vya Jumla

20,000 jumla kuanzia Vitenge 10 =

Est. 2020 kariakoo Mtaa wa
roja_furniture

tunashughulika na ufundi wa furniture za kisasa kama masofa,makabati,vitanda,meza za chakula(dinning table), showcase, cafe table na decoratin mbalimbali za majumbani pia tunafanya repears za furniture zote za maofisin na majumbani karibu sana tukuhudumie!....

Est. 2020 Sinza lion
careen beauty store

Makeup original kwa Bei nafuu Sana,, zinapatika kwetu, delivery ipo kwa dar na mikoani

Est. 2018 kinzudi-majengo
BeroGenge

TununuePamoja ni mfumo ambao tunakuwezesha kuagiza bidhaa kutoka China kwa kushirikiana na wengine ili kuweza kufikia kiwango cha Chini (MOQ) kinachopangwa na viwanda au wachuuzi wakubwa, LENGO upate bidhaa kwa bei nafuu. pia Tuagize chochote China.

Est. 2018 BeroGenge Bamaga
inaya lishe bora na tamu

unga bora na mtamu wa lishe kwa rika zoteyy

Est. 2020 ubungo plaza
Pendo Lema Cosmetic

Nauza duka la vipodozi mbali mbali,perfumu, weaving za kusukia

Est. 2019 Mwajuni
Mafuta ya alizeti

Alizeti safi kutoka Singida inapatikana.. Lita1, 5 na20.. Delivery ipo kwa wakazi wa Dar karibuni sana.

Est. 2019 Africana salasala.
Smart house design

Tuna husika na uchoraji wa ramani za nyumba pia tunafanya finishing za nyumba na tunafanya design mbali za gypsum design

Est. 2020 Mtoni kijichi
Best Best Fashionaire

Kids and Womens garments and accessories

Est. 1999 Msimbazi
urembo kwanza

Nauza heren, cheni, saa, braslet na bidh

Est. 2016 online business