Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Ni wauzaji wa mavazi ya wanawake wanene (plus size)
sale,rent, development and management
tunadeal na madirisha ya chuma vitanda mageti car parking n.k
Nauza cd , cover za simu protector,chaji earphone, tunafungua acount whatsap, instagram, twitter, facebook n.k Pia tunasajili line aina zote Bila kusahau tuna instal windo aina zote karibuni.
DEALERS IN COOKING GAS AND ACCESORIES......
Ufundi wa computer, wauzaji na wanunuaji wa laptop na vifaa vya laptop
Tunatoa BURE ushauri wa ufugaji wa kuku wa kienyeji, taratibu za chanjo na Tiba. Tunauza kuku wa Kienyeji aina ya Kuroila kuanzia vifaranga vya Wiki Mbili (2) na kuendelea kwa wafugaji na Walaji. Tupo Kimara Dar es Salaam, Mawasiliano: 0683230514.
Jipatie vifaa vya usafi wa majumbani kwa bei poa.
Ninahusika na kuuza Mapazia aina zote ,neti aina zote na vitu vingine vya ndani kwa mapambo.
small entrepreneur
Wauzaji na wasambazaji wa pumpu za maji za solar kwa ajili ya visima na kilimo cha umwagiliaji. Pampu zinapatikana kwa Bei nafuu ikiwemo kwa mikopo hadi miaka miwili
Trustable products
Tunauza/kusupply mbao,marine board, nondo, misumari,wires,mabati na vifaa vinenevyo vya ujenzi
nauza batiki na vitenge magauni yake
Setflix is an online streaming platform, where by people register to watch unlimited movies and TV shows worldwide
Tunauza magodor ya aina yoyte ile
TUNASHONA NGUO AINA ZOTE | SUITS | WEDDING & SEND-OFF DRESS | CASUAL OUTFITS | CORPORATE UNIFORMS |
Tuntengeneza na kuripea sofa aina zote call 0743583541
watengenezaji na wauzaji wa furniture zote zandani na kwa bei nafuu kabisa
HAPA NI UBORA TU.Hebu jitahidi upate hata ushauri ili ununue kitu Cha kudumu Nina uzoefu was zaidi ya miaka 13 Nina uhakika ukinitafta nitazngatia UBORA nawewe utafurahia bidhaa zangu na mungu akujalie kipato uje tena,Ahsanten.
Tunatengeneza madirisha pamoja na milango ya aluminium kwa bei nafuu kabisa na tunakukabizi kwawakati bilarongorongo na bilakusahau mteja akitoa kazi afanyiwe madirisha ya chooni ni ofa atochajiwa kiasi chochote.mteja kwetu ni mfalme karibuni wote
MC MZURI MWENYE KUCHANGAMSHA SHEREHE MWENYE KUKUPA BURUDANI PIA ANAJALI MUDA
Selling health products with Nutrients required with human body from Neolife
ONLINE MARKETING POPOTE UNALETEWA KWA GHARAMA ZA MTEJA NA MKOA TUNATUMA JUMLA NA REJAREJA
Ninafanya simple makeup na full make-up kwa bei poa.
We are dealing with selling of electronic devices
We deal with professional and classic Photo & video shoots (graphics and designs)
WATENGENEZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIPODOZI ASILI. KWA WALE AMBAO NGOZI ZAO ZIMEAHIBIKA KWA VIPODOZI VYENYE KEMIKALI.
Pendezeaha nyumba yako office, saloon kwa kuweka wallpaper Kali na nzur kutoka kwetu, tunazo kila Aina za wallpaper roll moja ya wallpaper elf 25 Gundi pakti moja elf 10 ufundi elf 20 kwa kila roll moja Mawasiliano zaid 0656 535646
Tunauza Pamoja na Kudisign ?Pazia ?Wallpaper ?Bomba za Mapazia ?Mashuka ?Carpet ?foronya Delivery tunafanya popote pale uliko. ☎+255 6927o7o64
Deaalers in Food processing, Distribution,Wholesale and retail. Product and services
Real estate consultancy, estate agency, facilities management, cleaning services for ground and kitchen hoods, fumigation, maintenace and Ac service.
Tunatoa fursa kusaidia watu kujikimu kiuchumi pia tunatoa tiba kwa magonjwa ya sio ambukizi kwa kutumia tiba lishe.
Tunatengeneza furniture za mbao aina zote kwa gharama naafu zaidi njoo kwetu upate unachokipenda,
We sell all type of phone accessories
watengenezaji wa fenicha aina mbalimbali
Pure castor oil /mnyonyo ni mafuta ambayo hayajachanganywa na chemical yoyote Husaidia kukuza nywele,kuondoa mba, mapunye, rashes kuifanya ngozi kua laini√Pure coconut oil √ husaidia kuondoa michirizi,√ hufanya mtoto asipate miwasho√ huondoa mba√
sofa + meza + TV cabinet ( Tshs..1,300,000/=)
Mimi ni mfanya biashara wa online unaweza kujipatia chochote kile kutoka kwangu mf.nguo Gari pikipiki na vyombo vya nyumban kwa mawasiliano piga cm 0654168126 popote ulipo tunakufikia
Tunafunga GPS kwenye Pikipiki,Bajaj,Magari, Tv na Computer. Baada ya Kufungiwa GPS utapata application kwenye smartphone yako itakayokuwezesha kupata taarifa ya chombo chako. taarifa hizo ni pamoja KUONA LIVE UELEKEO, SPIDI ,KILOMETA, MIPAKA YA KAZI N.K