Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
MLOWE DESIGNS TZ
Ramani za nyumba (ARCHITECTURAL design)
Ujenzi wa nyumba
Est: 2017,
Kimara michugwani
Bragen Party Rental
Wakodishaji wa vifaa vya mapambo
Est: 2017,
Tabata,Segerea 6G5X554P+G7
Google location:bragen Limited
Chapakazitz
Ni website yenye kazi hivyo watu wanaotafuta kazi wanaruhusiwa kuingia kuomba kazi
Est: 2021,
Sayansi
Generation
Wauzaji wa Bidhaaa mbalimbali jumla na rejareja .
NGUO (WAKUBWA NA WATOTO)
VIATU(WAKUBWA NA WATOTO)
MABEGI.
SIMU
TELEVISHENI
KOMPYUTA.
Est: 2019,
generation
Safeway digital security
Tunasambaza na kutoa huduma ya installation katika huduma mbali mbali kama
1. CCTVcamera
2.Electric fence
3.Biometric and access control
4.Fire alarm system
5.Alarm system
6.Air condition supplyand installation
7.house decoration
8.gatemotor installation
Est: 2016,
Makumbusho
TIIBO Software Tanzania
Tunatoa huduma ya kuwafundisha watu namnna nzuri ya kutumia Software mabalimbali
Software tulizo nazo ni SAGE 300, Evolution, X3 na Quickbooks online. Tunatoa huduma popote pale Tanzania.
Wasiliana nasi kwa +255783534949 au www.duxte.co.tz
Est: 2018,
Triple 7
NYAMA YA NGOMBE
Mimi Jose Ni mfanyabiashara ya nyama ya ngombe katika machinjio ya Vingunguti Kama unahitaji mahitaji yoyote kuhusu nyama na mazao yake inaweza kuwa kwa kitoweo nyumbani, kwenye sherehe, shughuli,na kikubwa kwa biashara karibuni sana. Wasiliana0678773737
Est: 2017,
Vingunguti machinjioni
NYAMA YA NGOMBE
Mimi Jose Ni mfanyabiashara ya nyama ya ngombe katika machinjio ya Vingunguti Kama unahitaji mahitaji yoyote kuhusu nyama na mazao yake inaweza kuwa kwa kitoweo nyumbani, kwenye sherehe, shughuli,na kikubwa kwa biashara karibuni sana. Wasiliana0678773737
Est: 2017,
Vingunguti machinjioni
KIBAHAA KWA MATHIAS
Viwanja vipo KIBAHAA KWA MATHIAS .
SQM 1=7000
Kiwanja cha sqm 400 (20*20) Unalipia 2,800,000. Umbali kutoka main road km 4.
Baada ya malipo unapata Hati yako
Huduma za kijamii zipo maji ya dawasco,umeme ,shule , Hospitali na barabara zinapitika mpaka site
Est: 2017,
KIBAHAA KWA MATTHIAS
ongezeka autoparts
spare za mabasi makubwa ya kichina kama yutong, sunlong, higer,golden dragon,asia star, zhonton
Est: 2021,
mbezi stand ya Magufuli/ mita 300 toka stand
Faysha Fashion
Its Online Business?
Nauza Nguo,Viatu,Cosmetics,Foodstuffs?
Yhua All Welcome?
#WeMakeYouLoveYourself♥️
Est: 2017,
Magomeni Mapipa
annakids-fashion
Tunaagiza Nguo za watoto kutoka Turkey kwa Wateja wa jumla na rejareja whatsApp kupitia number 0758029084
Pia tunaduka la Nguo za watoto tunapatikana Mwenge
Est: 2019,
Mwenge
Sharose Enterprise
Tunatoa ushauri, mafunzo na kufanya usajili wa Makampuni na Majina ya biashara kwa kutumia mfumo wa BRELA ORS. Tunaandaa Michanganuo ya biashara, Matangazo ya biashara, nembo za biashara/Logo.
Est: 2018,
Bunju B
Essence Driving Schools
Tunatoa huduma za udereva wa Magari, pikipiki na Bajaj kila siku kuanzia saa 12:30 asubuhi mpaka 12:00 jioni. Wewe ndo unachagua mda rafiki kwako katika siku
Est: 2019,
National Institute of Transport
Modee
Tunauza saa za aina zote,wallets na glasses kwa bei nafuu sana. Tunafanya delivery kwa dar na mikoani kwa uaminifu mkubwa ?. Karb tukuhudumie ??
Est: 2021,
Kimara
Veronica Atle
Habari njema kwa wamama na wadada wanaosumbuliwa na magonjwa Kama
PID sugu
Harufu mbaya ukeni
Fangasi sugu
Uke mkavu
UTI sugu
Hormonal imbalance
Vimbe kwenye kizazii
Kukosa ujauzitoo n.k
Tunayotibaa ya tatizo lako na bila kurudiwaa Tena kwa kutumia njia ya asili kabisa
Unaweza ukawasiliana nasi kupitia 0625001089
Karibu
Est: 2006,
mbezi mwisho
Fundi Rejeta Na waujazi wa Rejeta na vifaa vyake
Fundi Rejeta Na wauzaji wa vifaa vyake
Est: 2020,
Karume
Chloe fragrance
Ni wauzaji wa perfume aina ya oilbased perfume jumla Na rejareja pia tunatoa ushauri Na mafunzo yote kuhusu biashara hii Iwapo Mteja atakuwa tayari kuanza biashara hii Na kununua bidhaa kutoka chloe fragrance .
Est: 2021,
Mawasiliano bus stand
Zum Driving School
Tunatoa mafunzo ya udereva kwa muda wa mwezi mmoja. Tunafundisha elimu ya fedha bure wanafunzi wetu wa udereva.
Est: 2020,
Mtaa Amani/Kipande
Star look trendy
Tunauza bidhaa mbalimbali kwa jumla na rejareja. Bidhaa kama nguo zinaoenda na wakati, Viatu, Jewelery kwa jinsia zote, urembo na vipodozi
Est: 2021,
Masika