Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
thobiasiddy494@gmail.com
Karibun maziwa mazuri fresh , mtindi na yoghurt wa ngombe wa kienyeji uliotayarishwa kwa usafi wa hali ya juu.nunua maziwa kwa mfugaji halisi na sio mchuuzi anayeongez baadhi ya vitu ili kupata faida ngombe wapobunju pamoja na bagamoyo ofisi ipo m.city
Tunatoa mkopo wa kuanzia milioni mbili mpaka 30 kwa dhamana ya kadi ya gari kwa riba nafuu
magrethalban67@gmail.com
Kwa huduma za kutengenezewa tv tutafute rj technology
Nauza nguo za kiume mashati,tishert ,jeans pia nauza pochi za wadada na wamama
Uuzaji wa viwanja Mbezi Kibaha Kigamboni Bagamoyo
WAPENDWA Karibuni luxxury_scents kwa mahitaji ya parfumes for ladies& gentlemen perfume zetu ni High-Quality Long lasting OIL BASED PERFUMES that will absolutely meet your expectations zinanukia vizuri sana for 78hrs 50ml =35000 30ml =25000 15ml=15000
Women Handbags
furniture
{Windows 10 service. Nafanya installation ya windows 10 kwenye pc. {Nakuja mpaka mahali ulipo kama unahitaji huduma piga hii no 0742604820. {Note: Huduma inapatikana Dar Es Salaam tu!!
linusmedard@gmail.com
Ninauza mchele wa kutoka mbeya ni mzuri sana ,mtamu kwa bei ya sh 1500 kwa kilo 1
baboeddy123@gmail.com
Tunashona nguo za kike na za kiume za events mbalimbali kama za maharusi,sendoff,kitchen party, official wear,etc
nauza simu na vifaa vyake
Platinum credit ltd, ni kampuni ya utoaji wa mikopo midogo midogo ya kifedha kuanzia Tsh milion moja (1m) mpaka milioni thelathini (30m). mikopo hii inatolewa kwa dhamana ya kadi ya gari. mikopo hii inaliba , interest ya 3.5% kwa mwezi.
Tunauza kitimoto Safi kwa Bei poa Tupo mabibo
edward.dani64@gmail.com
vyombo vya jikoni na Mashine za kurahisisha kazi za jikoni.
Bidhaa mbali mbali kama vile mashuka na vyombo vya majumbani
Wauzaji wa nguo za kiume Jumla na Reja reja
Massawetumaini29@gmail.com
Nina shona nguo za jinsia zote na rika zote, Unachagua mshono wako kulingana na kitambaa chako. Ninakushonea kwa bei nzuri kabisa
Tunadeal na uuzaji wa vifaa vya simu na computer kama earpods,earphone headphone,PS &PC controller
utengenezaji wa vyoo vya kisasa, pamoja na vifaa vya chooni ,(toilet hardware)
Tunauza nguo za mazoezi,mtumba grade One. Nguo ni mzuri bei poa sana
Tunapokea oder natunasafilisha
Vyakula mbalimbali
We are mid size printing company, who offer the following services, Printing Mabango, graphics designing,web designing,motion graphics, logo,banners, rollup banner, company profile,stationery,labels, music production pamoja na video production.
Utalii katika mazingira asilia ya msitu wa pugu kazimzumbwi uliopo kisarawe pwani
Tunatengeneza mfumo wa kisasa wa maji taka ambao, Haujai Hauoi harufu Huchukua eneo dogo Hustahimili sehem yenye chemichemi Hauzuii kuweka gadern, paving na packing
KARIBUNI SANA MWAJEYS VIJORA POINT TUNAUZA VIJORA VYA MOMBASA ?NI VIZITO ?VIREFU NA HAVIRUKI HATA UKIFUA ? VINA MITANDIO MIKUBWA SANA karibuni sana? Kwa wateja wote wa jumla na rejareja Jumla 12000 Rejareja 15000 Karibuni sanaaa
KUKU BLOILER, WAKIENYEJI, WAMAYAI NA MAYAI YA KIENYEJI NA MAYAI YA KISASA.
Mlelwajcom@gmail.com
efawakaz320210@gmail.com
We assist Businesses and Investors in all steps for Investing & Doing Business in Tanzania, From Company Registration to Facilitating different Licenses, Permits, Incentives etc.
Vitenge Original vinapatikana kwa bei nafuu. Tunauza jumla na rejareja Tunafanya Delivery kwa dar na kwa mikoa yote na nje ya nchi tunatuma ???????????? Location: Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Raha na Mhonda Karibu sana
Jipatie furniture za kisasa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Tunapokea order pia tunatengeneza na kudesign furniture aina zote. >Kitchens cabinets >Tv showcase >Shoe racks >Kabati za nguo & vyombo >Coffee table n.k Tupo Mwananyamala A. Ccm myinyijuma. Free delivery kwa dsm na mikoani tunatuma Call/text 0687 132 776 Direct Whtsap wa/me.255687132776
Phones and Accessories