Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Wauzaji wa simu aina zote Simu zetu ni mpya kabisa(sealed) Uaminifu ndio nguzo yetu Quality in Affordable price Location: kariakoo Uhuru na Msimbazi street
Virutubisho lishe -kupunguza uzito -kupunguza kitambi -kutibu vidonda vya Tumbo -kutibu pressure na kisukari -kusaidia kuponesha magonjwa mbalimbali na changoto mbalimbali za kiafya
Nauza jumla na rejareja vitu vifuatavo 1.viatu vya kike na kiume 2.vifaa vya Afya 3.Nguo za kike na kiume 4.Rasta aina ya prima 5.Sandal za kike na kiume
Baskeli
deboramnishanga559@gmail.com
gospel music production audio na videos
Clearing and forwarding tunatoa mizigo km gari na containers kupitia bandar ya dsm
Karibuni Zubu Decoration kwa huduma ya Mapambo na kukodisha vifaa vya Mapambo kwa Ghalama nafuu kabisa
Leonardfredrick223@gmail.com
Biashara ya kuuza na kununua indexes boom na crash
Umuhimu wa kumiliki hisa JATU ▪️Kushiriki kwenye miradi ya kilimo ▪️Kupata gawio Kila mwaka ▪️Kupata fursa za uwakala ▪️Hisa za Jatu zinapanda bei kila siku, hivyo unaweza ukauza na kupata faida kwa bei ya juu Kwa mawasiliano 0769238185
Tunauza,Tunachanganya na kusambaza Rangi Aina zote ndani ya dar es salaam, mikoani pia tunatuma.
Tunaprint jumbe zozote utakazohitaji kwenye Tshirts kali. Pia utapata kwa rangi yeyote utakayoipenda. Mikono mirefu au mifupi. Bei ni Tshs 20000 kama ni moja, kama utatoa oda kuanzia Tshirts 5 basi bei inapungua mpaka 17000. Karibuni sana.
nauza dawa za usafi nyumban,ofisin na sehem mbalimbali
Propertynet Africa Ltd inahusika na uzaji wa viwanja kwa cash na mkopo miradi ipo .Kigamboni Cheka beach plot sqm1@ 15000 unalipia asilimia 10 baadae asilimia 5 kila mwezi kwa muda miezi 18 tu
Uagizaji magari kutoka Japan, Singapore, Dubai na UK
erickkamando1@gmail.com
Davidgodian@gmail.com
neylahlugabela@gmail.com
Wauzaji wa nguo na pochi za kinadada
Wauzaji wa manukato ya aina mbalimbali ya kwa ajili ya matumizi ya mwili, kutumia majumbani, spa , hotelini, restaurant , kwenye gari na sehemu mbalimbali
wepace Automotors inajihusisha na kuagiza magari kutoka Japan,Singapore,UK,N.K kupitia website yetu www.wepaceautomotors.co.tz pia ni ma clearing&Forwading agents tuna clear mizigo aina yeyote tukoka banandari ya Dar
Wauzaji wa vifaa vyote vya ujenzi pamoja na mbao zote
Tunafata mizigo popote na ku deliver popote kwa gharama nafuu sana.
Mimi ni ni fundi wa fiber glass natengeneza machine za kifyatulia mikanda ya gypsum,angel,maua na Amina Toyota ya mchoro
VIWANJA
Tunauza cheni, hereni na urembo mbalimbali
HALA International Agency Ltd is a growing commercial cleaning and fumigation services provider located DSM. Our services 1. Commercial Cleaning services 2. Domestic Cleaning services 3. Retail Cleaning services 4. Fumigation and Pest control services
Fursa za kufadhiliwa masomo kwa wenye vigezo kuanzia nursery mpaka vyuo vya Kati.
Accommodation Restaurant Meeting Facilities Free Wifi Private Parking
Mkemae.a.com@gmail.com
Nauza mafuta ya alizeti kutoka singida kwa bei ya jumla n rejareja
tunauza nguo za kike jumla na rejareja kwa bei nafuu kabisa pia mikoani tunatuma kwa uaminif.. lakni hatujawasahau wateja wa dar tunafanya delivery kwa garama ndogo ..duka letu liko ubungoRiverside karibuni sana Tupigie/WhatsApp 0659877741 or 0757858726
Tunauza vitu mbalimbali
Gift shop
Ugcare stem cell therapy, ni teknologia ya hali ya juu inayotumika japan kuvuna cell shina za mimeaa tiba mbalimbali ambazo hutumia kutibu magonjwa mbalimbali kushirikiana na cell shina za mwili wa binadamu. Karibuni sana kwa huduma nzuri.
athumanikhadija231@gmail.com
Tunatengeneza Furniture za kisasa aina zote maoficen majumbani na nk.
TRAVEL & TOURISM
Tunauza VIfaa vya ujenzi ikuwemo construction chemicals(waterproofing, sealants,admitures nk)