Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Tunasambaza gas kampuni zote majumbani,mahotelini,wauza chips,bar n.k kwa bei nafuu kabisaa na usafiri ni bure
tunauza nafaka zote, sukari, unga na mafuta ya kula
Stephenkileo1998@gmail.com
Tuna badilisha vioo kwa umakin zaid
mafuta ya alizeti, pilipili, peanut butter, nafaka
mwanaishaali999@gmail.com
house design
Nauza nguo Simu na vifaaa vyake Nauza bidhaa mbalimbali ambazo waweza agiza moja kwa moja toka china Viatu aina zote Uaminifu na ubora ni uhakika
Chakula
Tunatengeneza viatu vya ngozi ( men and kids vya shule) Tunasimamia miradi kwa bikundi, kampuni, taasisi na mtu binafsi Tunatafuta fursa za biashara / uwekezaji ndani ya Tanzania
Gilbertjohn685@gmail.com
ujenzi
We are providing professional IT services for home and office in Dar es Salaam,Tanzania All IT SOLUTION IN ONE PLACE 1.Printer/copier selling and printer/copier service,repair & maintanance 2.Computer/laptop selling and computer/laptop service, repair & maintanance 3.Networking 4.Cctv camera installation 5.Printing service 6.Consultancy services etc. For more details contact us 0686 886 957
Tunatoa huduma za ushauri wa namna ya kuandaa tafiti mbalimbali za kielimu na kibiahsara kwa ngazi/level zote
Wauzaji wa vitambaa vya aina zote na vifaa vya ushonaji pia tunauza mitandio, vilemba, mashuka, tunafunga sare za sherehe mbali mbali , vijora n.k
Nauza Asali halisi kutoka Tabora ya nyuki wa dogo na nyuki wa kubwa .
TUNAUZA PERFUME aina zote za kike na kiume Tunafanya Fast delivery in Tanzania pia tunatuma nje ya nchi ORIGINAL PERFUMES we value your health and good smell place your order utaletewa perfume sehemu ulipo whatsapp or call +255767916558
Mo smart777 tunajishughulisha na uuzaji wa simu aina zote pamoja na smart worch
palangyotyson@gmail.com
salumm767@gmail.com
Tunauza na kununua pikipiki used aina zote zilizo na docomment halali tunapatikana dar es salaam kigamboni mawasiliano yetu 0692263560 hakikisha mali iwe halali nyote mnakaribishwa
Tunauza vitenge bomba kutoka NIGERIA vyenye quality sivyochuja wala kupauka kwa bei nafuu kabisa Tunashona pia Tunauza jumla na rejareja Tunafanya delivery ndani ya dar es salaam na mikoani pia
Wauzaji wa vitenge original cotton 100% kwa Bei ya jumla na reja reja
abdullyjaires@gmail.com
Ni wauzaji na wasambazaji wa vyombo mbalimbali vya majumbani na vifaa vya umeme jumla na rejareja hususa ni vya vya jikoni Pia tunauza vyombo vya plastiki jumla tu toka cello plastic
mwanyokaabdallah2@gmail.com
Kutibu meno
Tunatoa huduma ya ulinzi ofisi,maduka,nyumba,nk
Natoa huduma ya furniture za Chuma & Mbao kwa gharama nafuu
furniture
nguo pochi viatu mazulia
?EJ HOUSEHOLDS ? We Specialize in: ⚡ Kitchenware items ⚡Home & Electronics Appliances ⚡ Home & Office Furniture ⚡Home & Office Decor
Karibu @oppah_perfumes_tz ujipatie perfumes #bestfragances #bestscents #bestbrand orginal zinazokaaa kwenye nguo muda mrefu.. Kwa gharama nafuuuu....
Sadamu installation Wauzaji na wafungaji wa madish aina yote kwa vifaa maarumu kwa ufungaji Pia tunarekebisha madish aina yote yanayosumbua kwa mvua au upepo kama vile AZAM TV DSTV STARTIMES ZUKU CANAL SPORT CONTINNETAL n.k Call:0656190878
Tibalishe
clothes
Kuvaa bidhaa mbali mbali
Biashara inapatikana siku ya Jumamosi. Napokea Order katikati ya week halafu napika Jumamosi na kufanya deliveries. Delivery ni free kwa walio maeneo ya ubungo. Sehemu nyingine unalipia delivery.
Iddihassani67@gmail.com