Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Utengenezaji wa gypsum, showcase za Tv, upigaji wa rangi ndani na nje.
mofuludaniel5@gmail.com
Biashr yetu inaptkn kariakoo msimbaz,, ukihtj tunakuletea popote...ulipo Bei zetu ni nafuu cna Namb za Whatsapp.. .. 0737734065
Tunatengeza website , blogs, na company profile
Najihusisha na kuuza bidhaa mbali mbali
Tunatengeneza furniture daresalam na tunasafirisha mikoani
asali ya Tabora nyuki wa kubwa na wadogo bei jumla na reja reja, jumla 20L 160,000/=, nyuki wadogo 5L 130,000/=, Dagaa wa mwanza wamekaangwa kwenye mafuta hawana mchanga kabisaa, jumla na reja reja ni biashara nzuri sanaa, tunauza jumla na reja reja. wasiliana nasi +255 658 123 524, whatsup, call, sms. kote tuna tuma mzigo.
Emojubuyu1@gmail.com
Tunahusika na huduma za kitafiti(research activities) kujengea uwezo watoto,vijana na wanawake. Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu na instagram account
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Tunauza mapambo ya nyumbani kama vile sofa covers,net za mbu pamoja na mapazia. Tupo dar es salaam lakini tunatuma pia na mikoani.
Video Games
Fashions & Looking
music Audio and video
Tunauza pampers za watoto na watu Tunapatikana mbezbeach tangibovu Kwa mawasiliano : 0717166535 WhatsApp: 0782175953
wesmartafrica@gmail.com
Wesmartafrica@gmail.com
emanuelshirima35@gmail.com
funture
JE UNATAMANI KUONA VITU VYAKO KAMA -KAVA LA GODORO(MATRES) - SEAT ZA GARI - CARPET -SOFA VINANGAA MUDA WOTE KAMA VIPYA NA HUJUI NINI KITAKUSAIDIA??? EPUKA GHARAMA OKOA MUDA TUNA BIDHAA BORA NA ZINAZOFANYA KAZI BILA KUMWAGIA MAJI VIFAA VYAKO... NDANI YA
Biashara yangu inahusika na mambo ya mavazi ya kike na kiume
Habibually421@gmail.com
Ninauza nguo za mtumba za jinsia ya kike, za kisasa, zenye ubora na kwa bei nafuu. Duka lipo Kigamboni- mnadani na linakua wazi kila siku za jumatatu bado jumamosi kuanzia saa 8:30 asubuhi mpaka saa19:00 usiku.
jewellers
Tunatengeneza Samani zote za ndani(furniture) vitanda,meza, kabati, show case na vingine vingii Karibuni sana Wateja
Tunatoa Bima za Haina zote 1. Bima za Magari, pikipiki, bajaji 2. Bima za moto na wizi 3.Bima za Afya 4. Bima za kusafiri 5. Bima za ujenzi 6. Bima za Mifugo na kilimo 7. Bima za kusafirisha mizigo 8. Bima za Ajali kazini 9. Bima za udhamini 10. Bima za fedha 11. Bima za kitaluma ( prof-Indemnity) 12. Nk
Mafunzo ya Mbwa ,kuuza Mbwa, Vifaa vya Mbwa, Chakula cha Mbwa
Jipatie bidhaa za vyakula kwa jumla na rejareja.ukihitaji cheese aina ya puck.almarai.nouvele vacche.Mozzarella.maziwa ya luna.Rainbow.condensed milk.Tuna.Nestle cream.karibu nikuhudumie
kimarohappy054@gmail.com
Tunakodisha magari aina zote kwenye Send off ,, Harusi ,,, Kwenye makampuni au masirika au msiba pia tuna safili mpaka nje ya nchi karibuni Sana au Tupigie kwa no 0672914661
UPDATE YOUR SWAGG KWA KUVAA TSHIRT YA FRESHALLDAY NOW KWA BEI POA KABISA YA 15K ZIPO KILA RANGI NA KILA SIZE NAPOKEA ORDER YAKO YA NDANI YA DAR ES SALAAM NA MIKOANI PIA TUNATUMA WASILIANA NASI KWA 0677203250 KARIBUNI SANA NA ASANTE KWA SAPORT YAKO #FreshAllDay4Life #FreshAllDay4Life4Ever #FAD
Tunauza viatu vya aina zote tunapatikana dar na mikoani deliver ipo ndani ya nchi na nje ya nchi karibuni tuwaudumie
Skillfy ni platform inayotoa online courses. utajifunza kozi mbalimbali ukiwa sehemu yoyote na kwa wakati wako. mafunzo yanatolewa kwa njia ya videos kwa lugha ya kiswahili, kupitia channel ya teleglam. Karibu sana
Nauza juice za matunda aina zote,smoothies pamoja na fruits salad za aina mbalimbali.
DEMT,niwajasiliamli wa dgo wanao toa hudum zao kwa kiwango kizuri na ubora wa Hali ya ju,na kujali thamni ya mteja
Bishara yangu ni ya Online, Nauza nguo kwa jinsia zote,mikoba,Viatu kwa jinsia zote,Urembo,nk
Duka lipo kariakoo mtaa wa congo na agray
dagaa nono kutoka mwanza waliokaangwa