Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Tunajishughulisha na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa, nyumba,mashamba,na upangishaji wa nyumba, Maeneo ya biashara na Beach plot tunapatikana kigamboni geza mwongozo tupigie 0713143092 tukuhudumie karibuni tuijenge kigamboni
Kwa Huduma Za ufundi wa kufunga viyoyozi(Air condition) za aina zote na Service wasiliana nasi kwa namba 0752 44 37 77
Tunatoa huduma ya fumigation kwa majumbani, mahotelini, Viwandani, Mashuleni, Kwenye magodowni na sehemu zingine. MjfumigationService “Tunajali Afya yako na mazingira yako”
Naitwa Asia msuka Ni mshauri wa maswala ya afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke kwenye jamii.... Niulize kuhusu uvimbe, UTI sugu, fungus, matatizo ya nguvu za kiume, tezi dume n.k....
PATA DIKODA YA DSTV HD6+UFUNDI+MWEZI M1 BURE KWA SH.119000 TU
deals with all furnitures both home and offoces
Tunauza na kununua vitu used kwa bei poa
Japanese used cars exporters
Tunauza saa na miwani kwa jumla na reja reja
Kwa mahitaji yote yanayohusu umeme was majumbaji na viwandano karibu sana Bei zetu ni nafuu Ukilinganisha na Ubora wetu karibu tukuhudumie Ubora Ni kawaida yetu
Kwa muonekano bomba wa Nyumba yako Tumia carpet zulia zenye Good Quality nzuri
Habari mimi ni mfanya biashara wa viatu (slerpers) dizain tofaut ni vizuri karibu ujionee
Neideas is a women clothing brand wholly citizen owned focusing on designing and selling African print clothes. Neideas works based on creativity in designing outfits that suit women appearance and enhance confidence.
ASSEY ELECTRICAL GROUP Kwa kazi zenye ubora na na muonekano unaozingatia viwango vya IEE. Kazi tunazofanya ni pamoja na -wiring system -power backup -installation of solar power and generator - installation of CCTV Camera (Networking) -installation of automotive gate motor -Eletric fence
Dealing with car painting<<,repair collision car and upgrade =
tunatengeneza na kuuza saa ambazo zinakua na picha ambayo mteja atapenda kuweka, au maneno yoyote ambayo mteja atapenda yaonekane kweny saa yake...
karibu sana tukuhudumie #pambakali kwabei nafuu Sasa ulipo mzigo unakufkia whatspp 0673850113
bidhaa Bora Kwa ajili ya kuboresha afya yako
Tunatoa huduma zote za makeup, Wedding Sendoff Kitchnparty Bridal shwr Baby shwr Photoshoot Simple makeup.. Tunatoa huduma ya nywele na pia huduma ya kucha,..Karibuni sana tunapatikana sinza makaburini..
bidhaa za afya
We provide full range of import and customs clearance service at unbeatable prices. We are vehicle dealers fully registered to operate in Tanzania with expertise in cars, trucks, farm equipment and heavy commercials. With readily available representative
Karibu ujipatie All brands of original perfumes with affordable price Bei zetu ni nafuu inapata kilicho bora Mikoani kote tunatuma...
Hakuna haha yakwenda kariakoo ulipo mzigo unakufikia kwabei nafuu na Original.kwamawasiliano Zaid... call/whatsp =
Longrich Network Marketing Deals with Skin,Beuty,Daily Products,Health suppliments,Homeappliance,Teeth treatment,Female Menstruation issues,etc LONGRICH WORDWIDE PRODUCTS
we make Gere for women
Nauza viatu vizuri vya ngozi Kwa jumla na rejareja , pia tunafanya delivery ya mzigo popote ulipo Kwa kuchangia gharama kidogo mteja 0652886602
nauza blauz za mtumba grade one ni best quality ever hutajuta kununua zipo kila size na kila designs.
Ninahusika na kutengeneza fresh flowers kama vile gifts na parkege za aina zote kwa ubunifu wa Hali ya juu pia natengeneza mashada ya misiba ya flowers kwa bei poa kabisa pia napamba picha za wapendwa wetu wanaotangulia kutokana na size unayotaka ninatumia fresh flowers na natengeneza maua ya bibi h
Kwa bidhaa mbali mbali kama tv,friji,Sabuffer,dressing table,solar pannel na betri zake nipigie 0623857445 whats app 0766784787 tunapatikana Kariakoo dar es salaa.
dealing with mens clothing like Jeans,tshirt,shirt,boxer,shoes e.t.c
A&M solution inakusaidia kukufikishia huduma mbali mbali ulipo yaan nguo ,vyakula,pia huduma ya kusherehesha katika sherehe karibu kwa maelezo 0753235933
uuzaji wa baibui, jeans, Kadett, viatu, handbags
Handbags original from Thailand and chambool grade 1
KWA LACES NZURI KAMA (Cotton, Guipure, French, Sequin, Velvet, Sugar laces) ambazo unaweza kuvaa nyumbani, ofisini na shughulin UKITAKA KUPENDEZA NUNUA VITAMBAA UNDER THIS PAGEEE @vitambaa_quality_online
The best Producer of Natural cosmetics Products of High Quality in East Africa
Anuts peanut butter bidhaa kutoka afyasuccess.
Ni program ya siku 9 ambayo itakusaidia kuondoa sumu ndani ya mwili na kupelekea kupungua uzito ndani ya siku nne hadi tisa. Ambayo itakuwa safari ya kuanza program ya F15 ambayo ya siku kumi na tano ambayo utapungua kilo 15 hadi 20.
Nikeki tamu tunauza kwabei tofauti kutokana namakubaliano na mteja pia tunakuletea mahali ulipo utalipia elf5 kukufikia
tunauza nguo nzur bei nafuu wote karibuni
wauzaji wa spare original za TVS hlx , 150 hlx ,125 BOXER BM 150 BMX 150 BM 100 na nyingezo zinapatakana kwa bei ya rejareja