Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 55 of 70
Afyasuccess Products

Anuts peanut butter bidhaa kutoka afyasuccess.

Est. 2020 KIUT
Weghtloss_C9

Ni program ya siku 9 ambayo itakusaidia kuondoa sumu ndani ya mwili na kupelekea kupungua uzito ndani ya siku nne hadi tisa. Ambayo itakuwa safari ya kuanza program ya F15 ambayo ya siku kumi na tano ambayo utapungua kilo 15 hadi 20.

Est. 2008 victoria, TAN HOUSE
Cake tamu

Nikeki tamu tunauza kwabei tofauti kutokana namakubaliano na mteja pia tunakuletea mahali ulipo utalipia elf5 kukufikia

Est. 2020 mbagala zakiem
magge fashion

tunauza nguo nzur bei nafuu wote karibuni

Est. 2020 kariakoo
spare za pikipiki

wauzaji wa spare original za TVS hlx , 150 hlx ,125 BOXER BM 150 BMX 150 BM 100 na nyingezo zinapatakana kwa bei ya rejareja

Est. 2020 external karbu na daraja
flavianamushi_outfits

Niwauzaji wa nguo viatu vya wakubwa na Watoto napatikana kariakoo Mtaa wa Narungombe n Congo

Est. 2020 kariakoo
SMART AFRICA TRADING CO.

WASAMBAZAJI WA NAFAKA PAMOJA NA MAZAO MBALIMBALI YA CHAKULA KAMA VILE MAFUTA YA ALIZETI, MAHARAGE, MCHELE N.K

Est. 2019 SMART AFRICA TRADING CO
Zurii Accessories

WAUZAJI WA BEGI ZA MITUMBA GRADE 1. JUMLA NA REJAREJA

Est. 2020 Sinza Mori Jirani Na Wanyama Hotel.
G_manukato

Tunauza perfumes na vipodozi aina zote

Est. 2018 Tabata relini/Mataa
Fundi umeme

Umeme sio bora kitu kifanye kazi tu kuna principle za ufanyaji kazi pia. nautibu umeme kwa haraka zaid pia ninarekebisha matumizi mabaya ya umeme USHAULI NI BURE PIA.

Est. 2017 kimara
rphat_graphics

TUNABANDIKA STICKER OFFICE ZA AINA ZOTE PAMOJA NA KUTENGENEZA MABANGO YA AINA YOTE

Est. 2020 rphat_graphics
sokobora

Tunauza bidhaa za nyumbani kama kitchen appliances, video system, audio system,air conditioner and coolers, consumer electronics.

Est. 2018 India street
Vitafunywa

Nauza vitafunywa kwa oda na kusambambaza maofisini kwa watakao hitaji pia kuna pilipili za kulia chakulaladha nzr huleta ham yakula krbn tuhudumie

Est. 2018 Nyumbani kwa mama Hussein mtanga
WILLPOWER DIGITAL

our services 1 BUSSINESS REGISTRATION via Brela 2 Business Name registration via Brela 3 Influencer marketing 4 sponsored ads 5 business google map location

Est. 2019 WILLPOWER
kiparakpstore

karibu tukuuzie simu janaja kwa bei nafuu pamoja na vifaa vyake vyote nia brand new

Est. 2020 kariakoo aggrey street
Afya na uzazi kwa mwanamke na mwanaume

Karibu upate huduma nzuri kwa afya yako kama vile moyo,cancer,vidonda vya tumbo,miguu kuvimba, hormone imbalance, na mamb mengine mengi

Est. 2019 Dr hilder
cakes

Lightpro cakes Cake...cake...cakecake.. Tunatengeneza keki aina zote na kwa bei nafuu .. Nakuletewa hadi ulipo bure. Free deliver Ndani ya dar es salaam pekeee. ~Birthday cake ~Anniversary cake ~Congratulation cake ~Red valvet cake ~black forest cake ~love cake ~wedding cake Oder siku

Est. 2020 aziziali
smart_outfit_collection

Smart_outfit_collection ni wauzaji wa nguo za kina Dada kutoka UK (mtumba grade one)

Est. 2019 Mbezi beach
Altraniq Group

We provide innovative repair services for cell phones, tablets, laptops, and Computers, Installing Networks and CCTV Cameras at the Offices and Home.

Est. 2012 Altraniq Group
ales baltazar

tunapangisha nyumba dar es salaam

Est. 2015 Riverside
mildan

viungo bora vina radha nzuri sana, ukipikia viungo vya MILDAN utafurahia chakula chako kwa radha nzuri

Est. 2020 kariakoo
Disinfecting Hand sanitizers

Tunauza pocket size hand sanitizers (kitakasa mikono) Kwa jumla tsh2000 na rejareja tsh3000

Est. 2020 Kebbys hotel bamaga
trusty phone accessories

tunauza cover za simu aina zote tuweka screens protectar aina zote pia tuna charger original za aina zote tunauza na flashi, memory card originali tunauza bei nzuri na unapata kitu cha uwakika kabisa karibuni sana wateja: call =

Est. 2020 mwenge sokoni au kituo cha police
dida unique new fasion

nguo za kike aina zote

Est. 2016 mawasiliano sim2000
Simon Curtains

@badilishamwonekanopambanasi,tunauza mapazia ya nyumbani,ofisini,caperts tunafanya fitting churches & masjid.tuna vetical blind ,zebra blind ,venetian blind n.k

Est. 2020 Kariakoo,narungombe/sikukuu street
The New Genesis Tanzania Limited (TNGT)

we are The New Genesis Tanzania Limited. (TNGT). Company deales with Poultry Farming. where we rise quality local chicken. process, and pack ready to eat meat. We only use best poultry breed to that allows us to provide our customers with delicious and tender chicken meat. this is because your sati

Est. 2019 Magomeni, Usalama at Watumishi House
URASSA GENERAL SUPPLY

Mimi ni mfanya biasha wa tairi kubwa za malori makubwa supasingo ambazo Namba zake ni 385/65/22.05 na tairi ndogo Namba 315/80.22.5

Est. 2013 Venance urasa
lillian_shoes

ni wauzaji wa viatu kwa jumla na rejareja tunapatikana kariakoo karibuni sana

Est. 2020 kariakoo mtaa wa pemba/congo
JAYS LISHE

Ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wazee, wasio na hamu ya kula n.k, unga huu ni mchanganyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mchicha, karoti, mbegu za maboga, na ngano upo wa ladha mbili tofauti. ladha ya vanilla na ladha ya iriki. karibu

Est. 2019 mbezi beach
Telius_motors

Tunauza magari aina zote Tunanunua magari Tunaagiza magari kutoka Japan Tunaexchange magari

Est. 2020 Mlimani City, kiprefiti
mitandio

nauzaa mitandio,pochi,viatu n.k

Est. 2012 kigamboni
Eagle pub

Eagle pub ni pub ambayo iko kwwnye mazingira mazuri na rafiki kwa wateja wangu.Hivyo nawakaribisha wote mje mjione wenyewe huduma zetu.

Est. 2020 Majimatitu chasimba
Taptrip

Epuka msongamano wa usafiri katika kipindi hiki cha maambukizi hatari ya Corona Virus Covid-19. Tumia TapTrip kwa usafiri binafsi. Download TapTrip sasa uweze kusafiri ukiwa huru

Est. 2020 Taptrip
EPIC_PRINTINGSOLUTION

we print ..design and brand

Est. 2018 kariakoo
KisuNsi Designs-Tanzania

FASHION AND APPEAL #KisuNsi Designs-Tanzania is the joint of two person named Emmanuel Joseph Kisusi and Antonia Herman Nsimbi. The two surnames made the Brand KisuNsi Designs . We are Tailoring Campany that craft and design all sorts garmets for both gender and for all ages. *

Est. 2018 Tabata Segerea
DStv sales and product

TUNAUZA DSTV TUNAKUFIKISHIA ULIPO KWA 99 000/= UFUNDI 20 000/= OFA MWEZI MZIMA BURE KIFURUCHI CHA FAMILY.

Est. 2002 Makao Makuu KINONDONI KINYEREZI BUGURUNI UBUNGO
GJ GREEN

MICHE YA MATUNDA KISASA,KIENYEJI NA MITI YA KIVULI.

Est. 2018 Kigamboni Mwongozo(Kibaoni) Dar es salaam
kiladesigns

DESIGNS & PRINTING

Est. 2020 Kinomdoni biafra
Mafunzo ya mbwa

Ninatoa hudum ya kumfundisha mbwa Kwa gharama nafuu .....mahali ni nyumbani kwako nitafika kukufundishia mbwa wako

Est. 2011 Dar es salaam
Hawa fashion shop

Tunauza nguo za kike za aina zote

Est. 2020 mtaa wa three in one