Dar es Salaam • Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Nauza viat vya kiume na wakina dad na watu wazima na official shoes ? za office napenda sana wateja zangu pia ukitaka uduma zetu utafanyiwa direvery popote ulipo mzigo wako utakufikia tena kwa uwaminifu zaidi welcome shop Tunapenda wateja ?
wajeryloyd@gmail.com
Tunatengeneza na ku repair furniture za majumban na ofisini tunapatikana chang’ombe maduka mawili
Kununua na kusambaza bidhaa zote za nyumban
perfumes
Kuuza simu mpya na original
Tunatoa huduma ya Graphics Design ya aina zote kuanzia Magazine na vingne vingi pamoja na printing
nguo za watoto
Tunatoa huduma ya usafirishaji wa parcels mizigo kutoka Dar kwenda mikoa yote Kukata tiketi za mabasi yote kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania na nje Kwenda nchi kama Kenya ,Uganda
Electrical installation, CCTV camera, Electric fence, Mobile phone
*TVANE SOURCING AGENCY* ▪️Tunaagiza bidhaa mbali mbali kwa bei ya china Kama vile Mikoba (handbags,nainai& wallets) za kike na kiume,nguo Aina zote(wanawake,wanaume na watoto),Viatu Aina zote,vyombo,home decor and kitchen accessories
Kwa mahitaji ya magari Nyumba Viwanja Yard N.k wasiliana nami kwaharaka sana tutafanikisha hitaji lako
furniture
Nauza shuka kutoka pakistani na uganda pamoja na pazia
Mimi ni mfanya biashara wa “SAA” za mkononi saa za aina zote
Vifaa vya michezo ya aina zote pamoja na saa za mkononi na Smartwatchs
lillianmtoka@gmail.com
A clothing line based in selling grade A second hand clothes
Used Electronics
Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai
Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai
epeter8866@gmail.com
Njooo tukuveshe upendeze na ukae kijanja zaidi Tupo tandika Devis corner 0699860280
Joycepeter2014.JP@gmail.com
Huduma zote za kinywa na meno tu.
Rosemaryernest5@gmail.com
virutubisho vya afya ya binadamu
lubricants and service
Karibuni vogue store.. Tunauza bidhaa nzuri zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu.. Bidhaa zetu ni handbags, shirts, jeans za kike na kiume, t-shirts, viatu vya kike na kiume Kwa mawasiliano tupigie /whatsApp 0717480318..
Perfume
Women Accessories
Michaelmkwena818@gmail.com
PIKI PIKI NA BAJAJI ZA PIAGGIO
Mobile phone and accessories
TV, SUBWOOFER, HOME THEATERS, SPEAKER, FAN AND FRIDGE.
ELECTRONICS
Tuna tengeneza glil za chuma mageti vitanda vya chuma meza stendi za mauwa navitu ambavyo vina tumia chuma ikiwemo madilisha ya Haluminium
UBUYU WA ZANZIBAR KWA BABU ISSA, SNACKS, PILIPILI & ACHARI
Ni Ofisi ya MAWAKILI inayotoa huduma za kisheria kama vile Kuandaa mikataba, kusajili makampuni, viapo, kusajili biashara, na kusimamia kesi mahakamani n.k.
nakuuza simu na vifaa vyake pamoja na ufundi