Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
ELECTRONIC DEVICES Ni vifaa vya umeme Kama vile simu na accessories zake zote , Laptop, pasi ,Majagi ya kuchemshia maji ,Sabufa ,feni ,TVs , Bluetooth Redio ,n.k
Mimi muuzaji wa mari mbalimbali Kama vile #trubai #kufuli #rola za rist Mali nyinginyingi
Electronic material Destributor
Vinywaji chakula na burudani. karibu macarena bar Lounge mbezi beach 76 ally sykes road kwa huduma Bora za vinywaji na chakula bila kusahau mziki mzri kutoka kwa ma dj premier
Tunatengeneza furniture mbalimbali zenye ubora na za kisasa zaidi.Tembelea account yetu ya Instagram maarufu kama NJABHA_FURNITURE utazame picha za furniture yetu.karibuni sana Tupigie kupitia 0762658723 Au 0699519502. Pia tunakukaribisha ofsini kwetu
Huduma yangu nihuduma ya finishing za nyumba. Ikiwemo Gypsum decoratio na rangi
Beats production
Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima kwa Tsh 15,000 tu matibabu kwa tibalishe ushauri bure kutoka kwa daktari
Tunauza taa na vifaa vingine vya umeme
ismailabraham110@gmail.com
Bidhaa mbali mbali za majumbani bidhaa za urembo na nguo za ndani
We design catalogs, flyers & brochures, business cards, posters, business logos and similar graphics for use in media products such as magazines, labels, advertising and signage. We offer 24/7 graphic design solutions.
Huduma zote za afya
biashara yangu ni bora na ya uwakika
Tunauza ? laptops mpya na simu mpya rejareja
Huduma za Kuagiza Magari moja kwa moja kutoka Japan, Dubai, Singapore na hata Kutoka Uingereza! Huduma Bora, Huduma Salama na za Uhakika ! Karibu kwa MWAKI AUTOMOBILE CO,. LTD.
Tunajihusisha na uagizaji wa bidhaa kutoka china , electronic accessories, car accessories.na tunafanya shipment kwa siku 15-20 nakujipatia mzigo , malipo ni utalipia pesa ya awali (advance) alafu utamalizia utakapo patiwa mzigo.
nyama ya ngombe, kuku samaki, pia tunauza magari ya aina yote
SITCOVER, HD RADIO, SPEAKER, GPS, CARPET, STERING COVER, MUFFLER nk
Tunauza nguo za watoto na madira na Baibui viatu vya watoto n.k
Mozz investment company limited Tanzania wanajihusisha na uwekezaji mbalimbali
Tunatoa huduma ya malezi na elimu kwa watoto wadogo (Day Care? pia tunadia wanaorudia Mitihani ya Kidato Cha nne na Cha Sita. Pia tuitions kuanzia Primary Mpk Chuo bila kusahau English Course na Computer.
Selling mobile phone. Retail and wholesale
Weka Usalama Wa Chombo Chako. Na UTECH COMPANY - GARI =
Njoo ujipatie vifaa vyote vya simu na tunauza Miwani za kike na kiume.Tupo stand ya makumbusho karibuni sana.
vyombo vitambaa vya mashuka pazia michezo ya watoto perfume
beathamakary@gmail.com
augustinonmare@gmail.com
Tunauza nguo na accessories
vitenge
Tunauza bidhaa mbalimbali za asili zitokanazo na mti wa mpingo ni imara, salama , vinadumu pia vinavutia vikiwa kabatini au mezani jipatie:- + glass + bakuli + sahani + vinu vya kutwangia viungo + jagi + bilika nk
Electronics na Vyombo vya ndani
First Revolution Tunahusika hasa na Huduma ya Usafi Tunafua Nguo Mashuka Mapazia Mazuria Tunasafisha. nyumba na shughulu nzima za Usafi kwa Ujumla tutafute whatsaap kwa maelezo zaidi Ahsante
Biashara yangu inajihusisha na samani(furnitures)mbalimbali.
TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA MIKOAN UNATUMIWA KWA USALAMA
BATI TOKA KIWANDANI NA USAFIRISHIWE BURE MPAKA MKOANI KWAKO KARIBU SANA TUNA AINA ZOTE ZA MABATI BORA IMARA NA YA KUDUM NA YENYE UBORA URIO PITISHWA NA TBS G30 -Tsh 22,500/=migongo mipana futi 10 G28 -Ni Tsh29,700/=migong
tunapokea wanafunzi wa aina yote, karibuni hostel ipo manzese
Ladies shoes
Kampuni inahusika na usambazaji na ufungaji wa mifumo ya ulinzi kama , cctv camera , electric fence , gate motor , intruder alarm fire alar n.k
Tunafanya vipimo kwa gharama nafuu 15000/= vya mwili mzima