Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Tunauza Nguo za Wanawake
Nauza nguo za jinsia zote napatikana tabata Kisukulu pia tunafanya delivery popote pale kwa gharama za mteja
Ramani na ujenzi wa kisasa
TUNAUZA VIPODOZI ORIGINAL KWA AJILI YA NGOZI YAKO.TUNA MAFUTA MAZURI YANAYONGARISHA NGOZI YAKO NA KUONDOA MADOA MEUSI MWILINI.PIA TUNA SERUM INAYOTOA SUGU ZOTE ZA SHINGONI,MIKONONI,MIGUUNI NA SEHEMU ZINGINE,SABUNI BORA KWA NGOZI ZIPO PIA NA VINGINE VINGI
Duka la nguo. Tunauza nguo, vitenge, viatu na mabegi aina zote. Bidhaa zetu ni kwa jinsia zote.
Graphic design, printing, photography na video production
Nauza bicycle used kutoka Japan and natengeneza bicycle na kupiga full service
Ni online tv channel ambayo inajihusisha na utowaji wa taarifa mbali mbali nchini na nje ya nchi, ikibezi kwenye upande wa burudani
nguo za kike na zakiume na n.k
Iron furniture and gates
wauzaji wa vioo vya magar madogo na makubwa aina zote
uuzaji wa unga wa lishe uuzaji wa karangabza mayai uuzaji wa dagaa za kukaanga
orpakiondo@gmail.com
Urembo, mwili, ngozi
Tunauza blouse za wanawake wa maumbo yote
tshirts printing,Logo designing ,Covers aina zote na uuzaji ya tshirts bei ya ujumla na reja reja.
Maziwa yanapatikana Kwa Bei ya Jumla na Rejareja kwa Jumla lita moja 1,500/=Rejareja ni 1,700/=karibuni Sana mjipatie maziwa yenye kiwango,Ngombe wetu ni wakienyeji kabisa...
kidilupato42@gmail.com
Muuzaji wa online
Kuuza viwanja kuuza nyumba na kupangisha pia
tunauza nguo za ndani aina zote za wakubwa na watoto kwa jumla na rejareja
tunauza sim aina zote pamoja na vifaa vya sim,tunapatikana kariakoo mtaa wa Agrey na Uhuru
Tunatoa huduma bora za ufungaji wa Cctv camera, Electric fence, Automotive gate motor, intercom system, Alarm System n.k kwa gharama nafuu na guarantee 100% ya ubora wa kazi na vifaa tunavyotumia.
Nauza kuku fresh wa kienyeji toka Singida,watam .derivery ipo popote pale karibuni sana.bei za kawaida sana 16000,17000,18000.karibuni sana.
helllo bosses ... tuna deal na uuzaji wa nguo za kike za mtumba grade A. office pants(suruali za ofisinibei ni tsh 15000 kuanzia size 8 mpaka 16. Magauni aina zote (loose dressesoffice dresses casual party dresses) size 6 mpaka 18 kuanzia tsh 15000 mpaka tsh 40000 Blazers tsh 15000 size 8 mpaka 16 blouses tsh 10000.
UREMBO MALI GHAFLI MBALI MBALI
kuuza ubuyu Na vifungashio bei ya jumla Na REJAREJA
Computer printer
Kata bima ya mali zako kupitia sejinsurance brokers ltd 0679323658
Biashara yangu ni ya kuuza nguo kwa bei ya jumla na rejareja kwa bei poa sana
uuzaji wa miwani
Yasir_watchestz tunauza saa za mkononi za kike na kiume kwa bei rahisi kwa mawasiliano 0658507594 Dsm towns area unaletewa ulipo, Karibuni sana
vifaa vya umeme
Nauza nguo za aina yotee niko kariakoo dar es salaam na ukitaka tukuletee ulipo tunaleta sehem yoyte dar es Salaam na mikoani tunatuma
Usambazaji wa chakula kwa oda
biashara yangu ni ya uhakika na hisio kua na kikwazo chochote na kuhakikisha usalama wakutosha katika biashara yeyote tutakayofanya
Mabegi
Dealing with sealing iphone
furniture
tunauza magari pia tunafanya exchange ya magari