Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Creams&pastries
Tunauza cup cake
Tunaaina tatu za package 1)cup cake pc 10 @4000
2)min cup cake pc6@2500
3)plastic bag (mfuko)pc10@4000
Est: 2021,
Temeke yombo str
naomi juice and bites
Bites aina zote, juice fresh za matunda, chips, nyama choma,kuku choma, ndizi choma na za kukaanga, ugali, wali, maziwa fresh na mtindi
Est: 2021,
round about ya kwenda kinyerezi au malamba mawili
MR MAPIKI PIKI
tuna husika na uzaji wa pik pik used bajaji used pamoja na magari used
Est: 2019,
raphaelerick540@gmail.com
VIWANJA BEI NAFUU.
OFA OFA VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI.(VIKINDU NA KISEMVULE) 0713616316.
Est: 2020,
VIKINDU
Happy nafaka
Ninauza nafaka mchele, maharage, sukari, ngano na mengineyo pia ninatoa huduma ya genge kwa mahitaji ya nyumbani
Est: 2021,
TPA
Le ROI TECHNOLOGIES LTD
Huduma za IT, umeme na uuzaj wa accessories.
Est: 2018,
Mbagala kibondemaji magengeni.
Filex home bakery
TUnatengeneza cake za aina zote na mikate na vyitafunwa mbali mbali kwa order tu
Tunafanya hivyo ili kukuwezeshe wewe mteja wetu kupata vitu fresh
Karibuni
Est: 2021,
Filex donny cake
PossibleGreenDodoma
Tunafanya huduma za bustani ya maua ktk jiji la Dodoma. Tunaandaa bustani,tunakodisha eneo la bustani kwa ajili ya picha na matukio mbalimbali ya mchana. Tunauza na kukodisha maua ya aina zotr. Tunauza pots za maua za iana zote.
Est: 2019,
DCT Jubilee Secondary School
Turkish collection
Tunauza bidhaa kutoka uturuki na tunaagizishia bidhaa kutoka uturuki kwa Bei ya kiwandani na kwa uwaminifu wa Hali ya juu
Est: 2017,
Bidhaa za uturuki
Skin care
Tunasaidia watu wenye matatizo ya ngozi,uso,mwili mzima,tunafanya pia huduma za massage na body scrub ,waxing
Est: 2020,
Kibada
Udongo wa kupandikizia maua
biashara yangu inausika na kuuza udongo kwa mazao mbalimbali kama mboga za majani mau na miti midogo midogoq
Est: 2019,
Kituo cha daladala jkt
vifaa vya cake goba center
tunauza vifaa vya cake aina zote kwa bei nafuu kabisa..popote ndani na nje ya Tanzania tunafanya deliverly
Est: 2021,
Goba center
joel machine solutions
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku, mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali, nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho.
Wasililiana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158View attachment 1746434View attachment 1753054
Est: 2013,
mabibo mwisho, ibungu bar
Top Ranking Universities Advisors Co Ltd
Elimu Ya Juu Na Ufadhili Wa Masomo Nje Ya Nchi
Est: 2018,
Askar Center
Lutambo Catering
Huduma ya vyakula kwenye sendoff harusi, kitchen party, bag party, vipaimara, mikutano, birthday party na misiba
Est: 2005,
Mama lutambi catering
MZALENDO PROPERTY
Sellinq and Buyinq Property,Property Advisor,Proprty Management, Property Marketing,Property Development, Project Marketing, Real Estate Aqents,Planninq and Land Surveyinq, Selling and Buyinq Plots,Lqnd Leqal Documents Processinq,Land Leqal Consultation
Est: 2012,
Makumbusho Interhouse opposite Millenium Tower
Cake City Tanzania
Tunatengeneza cake nzri kwaajili ya shughuli aina zote, keki zetu ni laini, tamu hazina sukari nyingi... you can taste the difference
Est: 2019,
Salasala
Mchepuko Pili pili
Ni pili pili iliyobora na ya kiwango kikubwa.
Tuna Mchepuko Red pili pili na Mango pili pili.
1.Safi na salama
2.Inaharufu nzuri na yakuvutia.
3.Inaongeza hamu ya kula hata kwa wagonjwa.
4.Inafanya mishipa ya damu ifanye kazi vizuri.
5.Huondoa ochuvu uchovu mwilini.
Est: 2021,
Sinza White inn
Viatu vya kike na vya watoto wa kike kutoka india
Ninauza viatu vya kike vya wakubwa na wadogo mzigo nachukulia India pia nauza jumla ma rejareja.Ahsante
Est: 2020,
Mtaa wa muhonda na msimbazi
minihada_collection
Tunauza nguo mtumba grade ONE za watoto na pochi CLASSIC mtumba 0688-686185 tupo kimara dar
Est: 2020,
kimara baruti
Unique online business
Tunaagiza na kuuza bidhaa mbalimbali kutoka China, uturuki na Dubai,kuja Tanzania kwa bei pendwa kabisa karibu upate vitu vizuri ndugu mteja wetu????????????
Est: 2020,
Komakoma mwananyamala
Imagingarts Tanzania
Graphic Designing
Est: 2019,
Ally Sykes road, Hekima Street, near Al-macktoum college
Lily fashion
T-shirt Kali za mtumba grade 1 jinsia ya kiume pia wakike wanaweza vaa?? bei Ni 10000
Est: 2017,
Mabibo hosteli
_mac320
Macbook services, repairing, Os installation, software installations, Data recovery, buying and selling used and new macbooks, buying dead macbooks as spareparts.
Est: 2018,
Machinga Complex