Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
MBOLEA BORA YA KILIMO
SUPER GRO.ni kirutubisho cha mimea cha asili ya aina zote na husaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo katika madawa na mbolea.
KAZI ZA SUPER GRO.
1.Husaidia maua yasipukutishwe au kuangushwa na upepo hivyo huongeza uwingi wa mazao.
Est: 2021,
Mivinjeni
Hrs fabric collection
Nguo za watoto na wakubwa na tunauza
vitenge pia original
Est: 2018,
Sofani bar
Real agent estate
Tunahusika na upangishaji nyumba vyumba, pia tunauza nyumba na viwanja contact 0711421798
Est: 2016,
Mianzini
Mama mzungu
WAUZAJI WA BIDHAA TOFAUTI TOFAUTI ZINAZITOKA DUBAI, CHINA NA THAILAND
Est: 2016,
VUNJA BEI
Kihwelo Auto Spare
Niwauzaji wa spare za bajaj aina zote kwa jumla na rejareja
Est: 2016,
Mafia na sukuma
Wakala Laini Mitandao yote
Nasajili laini za aina zote tigo, vodacom, halotel, TTCL na Airtel kwa bei nafuu kabisa.
Est: 2020,
Kimara stop over
B & A SOLUTIONS LTD
Wasambazaji wa virutubisho lishe, cctv cameras na electronics mbali mbali.
Est: 2020,
mikochen b
mama_usafi Group
Karibu mama_usafi tukusafishie nyumba yako, ofisi au sehemu ya biashara.
-Tunasafisha na kupangilia nyumba yako vizuri
-Tunafua na kunyoosha nguo
-Tunasafisha madirisha, masofa, macarpet, magodoro na mazulia
-Usafi wa tiles na paving
-Fumigation
Est: 2014,
kimara mwisho
Beachtools
.
??? ?????? ????????? ?? ????? ?? ?????? ?????? ???????? @beachtools ??????? ????? ????? ?????? ?? ???????? ?? ??????? ?????? ????? ????, ??????, ????, ????? ????, ??????? ????, ?????? ????, ?????? ????, ??????,??????, ???????? ?.? ??? ???? ???????? ??
Est: 2021,
Mbezi beach
Doris Bracelets Tz
Tunauza bracelets za kike na za kiume, holder za funguo, cheni pamoja na accessories nyingine kadha wa kadha za kike na za kiume. Kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0737898056 au tucheck kwenye social media instagram @doris_bracelets.tz
Est: 2020,
Mbezi Mwisho
sofa_kali_furniture
tunatengeneza sofa aina zote vitanda vya sofa makabati ya nguo vitu vyetu tunatengeneza kwa oda
Est: 2020,
tegeta
daressalaamperfume_
Habari, kama upo daressalaam na unahitaji minicrystal perfume original kwa bei ya kitanzania tafadhari wasiliana na page hii.
Est: 2020,
0789804975
bynyasige
Women clothing design and tailoring. Ready to wear stylish outfits. Tunashona nguo aina zote kwa ustadi mkubwa na gharama nafuu
Est: 2021,
American chips
Viatu,Nguo na mikiba
Muhsinifashions ni wauzaji was viatu vya kike vya jumla,Nguo za kike na zakiume pamoja na mikoba,, tunapatikana kaliakoo mtaa wa narungombe DDC, delivery tunafanya kwa mikoa yote.
Est: 2017,
Narungombe DDC
Geelux store
Wauzaji wa mafuta asilia ya castor oil na
Wauzaji wa fresh homemade juice
Tunafanya delivery kwa bei nafuu kabisa
Karibuni
Est: 2020,
Tu napatikana tabata
Instagram handle geelux_store
The cheer cakes
Tunatengeneza keki za aina zote na dessert kwenye shughuli kama harusi, sendoff, graduation,birthday, anniversary nk.
Est: 2019,
Tegeta nyaishozi
Gameloverstz
Tunauza games mbali mbali kwa ajili ya kucheza kwenye events mbalimbali
Est: 2021,
Tegeta nyuki
BRIGHTNESS _maids events
Tupo kwaajili ya kupendezesha na kusherehesha sherehe mbali mbali hapa jijini dar es salaam na nje ya dar es salaam gharama zetu ni nafuu sna. Karibuni sna upate kilichobora kutoka kwetu
Est: 2019,
Mwasota kanisani
cedels room
tunajihusisha na utengenezaji na uuzaji wa bidhaa tofauti yani (hand made broduct)
Est: 2021,
kijitonyama
Magodoro imara kwa Bei Nafuu
Karibuni mjipatie Magodoro imara
Yenye warranty kwa bei punguzo na nafuu zaid.
Usafiri ni ni juu yetu( FREE DELIVERY) .
Est: 2017,
Ilala
Natalie’s collection
Tunauza
satin bonnet (kofia za satin kulinda unyevunyevu wa nywele) jumla na rejareja ,scrunchies (vibanio) pamoja na
night dress.
Est: 2019,
Mikocheni
Cherry fresh yogurt
Maziwa mtindi safi kabisa mazito yasiyo na mchanganyiko wa chochote.
Pia ni wauzaji wa maziwa fresh yasiyo na mchanganyiko wa maji na hayana shombo kabisa.
Est: 2020,
Magomeni