Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Kitchen_tz
Kitchen_tz ni wauzaji wa vyombo vya ndani unique na yenye ubora wa hali ya juu, pia vifaa vya umeme kama vile hair driers, washing machines etc, Tunapatikana ubungo external, call/WhatsApp 0712839901
Est: 2019,
London lounge
salma castor oil
ni mafuta mazur xana anatumia mtoto,mama,baba,kaka au dada na ni afya ya ngoz na nyweleee hutumika katika nyweleee na ngoz
huondoa mba na miwasho
yanaweka unyevu kwenye nyweleee hii inasaidia kuondoa mba na miwasho
hurefuxha nyweleee na kufanya ziwe nyeusi hata watu wenye vipara huwa yanawasaidia xana
kwa matumiz ya ngozi
hulainixha ngoz hasa wenye ngoz kavu,
huondoa michiriz mwilin na makovu
Est: 2019,
Mombasa
Nafuu Shop
We sell:-
-Brand new & refurbished computers and their accessories.
-Multi-function printers and scanners(Inkjet and laser jet)
-Electronic and networking devices(router, modem, MiFi, cables, phones, converters,
-Gaming consoles ( Play Station, Xbox).
Est: 2016,
Aggrey/Likoma
Ayesher8
Ni muuzaji mpishi wa vyakula bites dessert sweets cookies napokea oda kubwa na ndogo karibuni nyote
Est: 2021,
Magomeni mwembechai
Bax Motors
Importers and Sellers of Used and New Cars and Machinery from Japan, Singapore, Europe and Dubai
Est: 2003,
Posta Mpya Mtaa wa Jamhuri & Upanga
Doble I classic shoes
Viatu vy kike na kiume jumla na reja mkoan tunatuma na nchi jiran <
Est: 2015,
Narungombe ddc namba 48
used appliances
tunauza vitu mbalimbali vya mtumba baskeli, vifaa vya mazoezi, magari ya kuendesha watoto, kubaskeli za walemavu, Walker, viti vya walemavu, radio na spika
Est: 2021,
karume Machinga Complex
Agiza na sayun china
Tunatoa huduma ya kuonganisha oda mbalimbali na kufanya manunuzi pamoja kwa Bei ya viwandani nchini nchina,pia tunauza bidhaa mbali mbali kwa kwa Bei poa sana
Est: 2015,
Sheraton
Jannie kids &martenity store
Tunauza mahitaji ya mama mjamzito na mtoto kuanzia wa siku moja na kuendelea .
Est: 2017,
Segerea ,chama .
GREAT DISTRIBUTION &MARKETING SERVICES
We are distributor and marker of different products
We do sales promotions
Branding of new business
Est: 2020,
Bunju area
Mfugajisokoni
Ni biashara ya ndege na wanyama wafugwao, madawa ya mifugo, ujenzi wa mabanda ya Mifugo, Elimu na ushauri wa mifugo, mashine za kutotolesha mayai. nk Na mambo mengine yote yanayohusiana na mifugo.
Est: 2015,
Njia panda ya chuo cha Mlimani
EAGLE FASHION DESIGNER
KUDESIGN MAVAZI (SUTI) YA HARUSI MAOFISINI NA SHEREHE MBALIMBALI
Est: 2019,
SINZA MORI KARIBU NA WANYAMA HOTELI
Melian Software Company
Melian Software Company, a company operating in Tanzania with a massive experience in software development, ICT consultancy, server management, database development etc.
Est: 2019,
Africasan
khyrah_collection
wauzaji wa saa za kike na kiume
wallets za kike na kiume
handbags
shoes
ubuyu wa zanzibar
Est: 2017,
kwa willey
D shopping China to Tanzania
Agiza bidhaa china kwa bei ya kiwanani karibuni WhatsApp 0762279477
Est: 2019,
Divine ubungo mawasiliano
Liza_homedecer
Nauza decorations aina zote na vyombo vya majumbani na electronic aina zote
Est: 2020,
Kunguni na sukuma
trademark aluminium co.ltd
Jipatie material safi na yenye kupendezesha nyumba yako , weka chuma zuri isiyo pauka Kwa bei nzuri na nafuu zaidi Jipatie bidhaa bora kutoka kwetu Kama ,milango ,madirisha ,makabati, n.k pia unaweza tengeneza muonekano mzuri wa ofc yako Kwa maelezo na msaada zaidi unaweza tupigia 0657255970 0759127778 Popote pale ulipo
Est: 2020,
evancetesha01@gmail.com
Life plans
Biashara ya kuuza kahawa, pia bidhaa za kinga ya mwili kama shake off(kusafisha utumbo ulo chafuliwa na vyakulwa) mrt (kupunguza uzito) cafe 73 (kwa kupunguza sukari mwilin
Est: 2007,
Msasani shule
Amudi furniture
UUZAJI NA UTENGENEZAJI WA THAMANI ZA OFISINI NA MAJUMBANI (FURNITURE)
Est: 2019,
Baracuda
EDTECH
Tunajihusisha na uuzaji na ufungaji wa Security Systems: CCTV CAMEARA, ELECTRIC FENCE, ACCESS CONTROL, TIME ATENDANCE, AUTOMATIC GATE MOTOR, VIDEO DOOR INTERCOM ......nk
Est: 2019,
Kariakoo
Dreamy Party
Its all about party. Tunauza keki,bite,mapambo ya party tunapamba kwenye party,tunafunga zawadi na kuuza zawadi pia tunakodisha viti vya watoto na meza.
Est: 2020,
Kwa Lipelanya
@Marylove_beauty_collection
Tunauza bidhaa za kucha jumla na reja reja, Mikoani tunatuma na mteja anapata mzigo wake bila ubabaifu wowote Karibuni nyote Marylove_beauty_collection tunawapenda nyote, kwa maelezo zaidi call us/WhatsApp no.0672723353
Est: 2019,
Kariakoo Msimbazi opposite na Big bon sheli
Bes Art Solutions
Kampuni imesajiliwa na inajihusisha na Uchoraji wa picha mbalimbali za mapambo ya nyumbani ,ofisini, nk
Pia tunachora picha kwenye kuta za mashule, hospitalini, nyumbani, ofisini, nk
Est: 2020,
Mbande
Brilliant Agrotech Co. Ltd
✓Greenhouse installation
✓Drip Irrigation system installation
✓Fish farming
✓Agronomic support
Est: 2020,
Brilliant Agrotech Co. Ltd