Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar


You need to login to be able to create your business profile

Kissima plumbing
Wataalam wa mifumo ya maji taka na maji safii plumbing
Est: 2010, Kimara korogwe

thebaycars
TUNA REKEBISHA RANGI ZA MAGARI MADOGO NA MAKUBWA ??
Est: 2015, thebaycars

Steven Chuwa hardware
Wauzauji wa vifaa ww vifaa vya ujenzi
Est: 2017, Gerezani

Kuku point
Uuzaji wa kuku wa kienyeji Free delivery kwa mwanyamala na maeneo ya jirani Pia kariakoo huduma ya delivery inapatkana Faida ya ziada 1/kuchinjiwa na kuandaliwa bila ongezeko la bei 2/jumla na rejareja 24/7
Est: 2018, Koma koma - majembe

Advertising Agency
Graphic that base on promote your business company and other
Est: 2019, shaffy design

Blossoming Hands Hot Sauce
Ni bidhaa nzuri Yenye Radha Na Kuleta Hamu Ya Kula Inatumika Kwa Watoto na Wakubwa
Est: 2018, Boko Kwa Mpemba

Vyombo Promotions
Mashine za kisasa kama vile Blenda,Sifuria za kisasa na ovena pia vifaa vya keki
Est: 2001, Mnazi mmoja DSM

Dawa lishe
inajishughulisha na vitu vya lishe mbali mbali
Est: 2016, muhimbili hospital

MATANGAZO YA BIASHARA
LOGO POSTERS BROCHURES BUSINESS CARDS WEB GRAPHICS .PHOTOGRAPHY .VIDEOGRAPHY
Est: 2020, DEUX DESIGN

Viwanja na mashamba kwa malipo ya kidogo kidogo
Jipatie viwanja kwa malipo ya kidogo kidogo. ?Kigamboni cheka changani beach Sqm 1@17000 Malipo ya awali ni flat rate ya miezi 24 ?Mbagala Kitonga Sqm 1@17000 Malipo ya awali ni flat rate ?Makurunge Bagamoyo Sqm 1@4050 Unaanza na elfu 90 tu
Est: 2016, Kigamboni ,Bagamoyo& Mbagala

Chicken feeds and fresh meat
Animal feeds and vaccination and fresh chicken meat.
Est: 2020, Kinyerezi mahakamani

WAUZAJI WA WALLPAPER
Kuuza na kubandika wallpaper
Est: 2017, Kariakoo

JAMEXAFRICA
Tunasafirisha mizigo na vifurushi(parcels) mikoa yote tanzania kwa bei nzuri kabisaa
Est: 2016, Mwenge vinyago

Kuchomelea(welding)
Nachukua kazi za madirisha ya chuma yaan grill mageti makubwa ya kwenye fensi na mageti madogo na milango ya grill kwa nyumba na flame za chuma za milango ndan au nje
Est: 2020, Temba

Martina Clothing Store
Martina Clothing Store ni biashara ya suruali za kike za hali ya juu, zenye ubora kwa bei ya 8,000/- tu. Suruali hizi ni jeans na za ofisini. Tunakuletea popote ulipo kwa dar es salaam kwa bei ya 2,000/- tu. Jipatie huduma bora kutoka kwetu.
Est: 2020, Ukonga

OSCARS MTINDI POINT
OSCARS MTINDI POINT ni Biashara inayojihusisha na usambazaji wa maziwa ya mtindi mazuri katika ujazo mbalimbali 250ml@ 1,000/=, 1 litre @3,500/= tu na 5 litres @ 17,500/= tu karibu tukuhudumie
Est: 2020, CHANGANYIKENI

Medy furniture
Biashara yangu inajiusisha na utengenezaji wa furniture za majumbani
Est: 2020, Barakuda

SHUU STORE
Shuu Store tunauza bidhaa mbalimbali zenye ubora na bei nafuu.Bidhaa zetu ni Original.
Est: 2014, Kimara

Brina’s collection
Brina’s collection ni store ya nguo za kiume na za kike pamoja na accessories mbalimbali. Ni online based business with delivery services in Dar na mikoani pia tunatuma. Karibuni sana Affordability is the Key??
Est: 2018, Zakhiem

Zulfa- collection
Tunauza bidhaa mbalimbali za urembo na nyumban ,i.e nguo za mitumba za dukani ,na bidhaa za nyumban na urembo
Est: 2020, Kinyerezi-kibaga

McJugweB Events & Milk Storee..
Kuuza maziwa fresh na mtindiiii.. Pia ni mshereheshajii wa shughulii mbalimbalii(Mc) na Host wa vipindii
Est: 2018, KIMARA MWISHO

SendusChina
Karibu tukusaidie kuagize bidhaa mbali mbali kutoka china ??
Est: , Sinza Mori

Viwanja/Kiwanja
Kiwanja kinapatikana Mbagala Kongowe, ukubwa ni 40M × 35M. Kilipo kiwanja unashukia kituo cha Mzinga, unatembea dakika 15 mpka kwenye eneo. Ni sehemu nzuri.
Est: 2020, Mbagala Kongowe (Mzinga)

Amcakes
Cake zenye utamu na ladha ya kipekee ?taste IT love IT All Occasions wedding, birthday, graduations bites kwenye maharusini,maulid,kitchen party, sadaka mbalimbali Cake za vipande, sambusa,kachori na bites aina zote ...visheti pendwa laini sana...
Est: 2019, Tandika magorofani/foma

Jessy Unique product
Tunauza handbag Mashuk nguo na vitu vya nyumbani
Est: 2019, Airwing

home supplies
inahusiana na vitu/vyombo mbalimbali vya nyumbani
Est: 2020, bunju

Hellen Collection
Mashuka na nguo za mitumba
Est: 2020, Ubungo Msewe

JIKO RAFIKI
Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao hata mabunzi pia...halitoi moshi kama majiko mengine kwani limetengenezwa kwa kuzingatia kanuni za afya...linapatikana kwa Tsh 50000/=tu
Est: 2016, msisiri

Nici Tradings
Tunasaidia kununua na kufanya import ya household items(friji, majiko, washing machines, birika n.k) na electronics (radio, simu, laptop, smart watches, headphones/earphones n.k) kutoka U.K
Est: 2020, Tabata relini

PhenolfxTZ
kuuza na kununua sarafu za nchi mbalimbali kwenye soko la fedha la kimataifa
Est: 2019, 0787338116

Bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini
Nauza bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini zenye ubora wa hali ya juu
Est: 2017, Sinza madukani

Jimmy furniture
Natengeneza furniture aina zote kwa order tunapatikana keko bora kwa namba ya whatsap 0689202144
Est: 2010, Keko bora

seamsaz
Washinaji wa shirtdress za vitenge na vitamba. Tailors and sellers of African print shirt dress and other classic fabric
Est: 2020, Salasala

Kalindaga General Supplies
ksengo25@gmail.com
Est: 2020, ksengo25@gmail.com

Muuza bidhaa mbalimbali
Nauza vitu used
Est: 2019, Nipo sinza mori oppsite na wanyama hotel

Netplus Technologies Tanzania
Tumebobea katika utengenezaji wa website na blogu za kisasa. Pia tunatoa huduma ya web hosting na mobile app development. Wasiliana nasi leo kupitia namba 0784945230 kwa maelezo zaidi.
Est: 2020, Makumbusho/ Kijitonyama karibu na ofisi za Tigo

HQ Graphix.
Natengeneza na kudesign Logo pamoja na brand za biashara. Pia natengeneza posters and flyers kwa Bei nafuu kabisa.
Est: 2020, HQ Graphix

MASHUKA NA VITENGE
Bei ni sawa na bure, kwa bidhaa zetu Bora kabisa. Unafikishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Est: 2020, Mkwajuni

Eternal Clinic
Pata ushauri wa afya na vipimo vya mwili kwa uangalizi wa wataalamu wetu na kupewa virutubisho sahihi kwa ajili ya afya yako na uhai wako
Est: 2020, Morocco

U-TECH TZ
kampuni inayohusika na kufunga camera ,cctv, electric fences, data connection,
Est: 2020, msimbazi,mvita