Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 28 of 70
Netplus Technologies Tanzania

Tumebobea katika utengenezaji wa website na blogu za kisasa. Pia tunatoa huduma ya web hosting na mobile app development. Wasiliana nasi leo kupitia namba 0784945230 kwa maelezo zaidi.

Est. 2020 Makumbusho/ Kijitonyama karibu na ofisi za Tigo
HQ Graphix.

Natengeneza na kudesign Logo pamoja na brand za biashara. Pia natengeneza posters and flyers kwa Bei nafuu kabisa.

Est. 2020 HQ Graphix
MASHUKA NA VITENGE

Bei ni sawa na bure, kwa bidhaa zetu Bora kabisa. Unafikishiwa mzigo mpaka mlangoni.

Est. 2020 Mkwajuni
Eternal Clinic

Pata ushauri wa afya na vipimo vya mwili kwa uangalizi wa wataalamu wetu na kupewa virutubisho sahihi kwa ajili ya afya yako na uhai wako

Est. 2020 Morocco
U-TECH TZ

kampuni inayohusika na kufunga camera ,cctv, electric fences, data connection,

Est. 2020 msimbazi,mvita
Vipodozi

Ninauza vipodozi vizur vya kungarisha ngozi nakukupa mwonekano wa kisasa

Est. 2017 Kibamba ccm
usafi na afya bora

Biashara yangu ina husika na bidhaa za usafi pamoja na bidhaa za afya

Est. 2020 kawe mji mpya
wcollection2020

Tunauza pochi na nguo za kisasa na zenye ubora wa kimataifa ?? kwa bei nafuu kabisa. Pia Tunafanya delivery Dar es salaam na mikoani call & WhatsApp 0764535319 or 0656452266

Est. 2019 Online business
ELECTRICAL SERVICES

Electrical materials

Est. 2020 Tegeta namanga
Lizer Electronics

mbisebaraka11@gmail.com

Est. 2020 mbisebaraka11@gmail.com
Fundi electric security fence

Maelezo ELECTRIC FENCE Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia kingora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa

Est. 2016 Boko kwa Mpemba
LOSE TO WIN

NAMNA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KUANZIA KILO 10 HADI 16 NDANI YA SIKU 30.

Est. 2020 edmarker24@gmail.com
Mariam Rajab

mariamrajab150@gmail.com

Est. 2019 mariamrajab150@gmail.com
Dhibiti Afya Yako

Virutubisho Lishe

Est. 2006 Mikocheni
ROYTE NATURAL HONEY

ASALI MBICHI KUTOKA TABORA, TUNAANZIA LITA MOJA HADI TANO

Est. 2020 BUGURUNI
SIENA SUPER SEMBE

Zifuatazo ndio huduma zetu: 1. Kusaga na Kukoboa nafaka zote 2. Kutengenza na Kupack Unga wa Semba na Dona. 3. Kuuza Pumba za mahindi kwa ajili ya chakula cha mifugo.

Est. 2020 Kidole(Kwa Jongo).
Said Ali

sabedgs7@gmail.com

Est. 2020 0716177775
Mr one fashion

Welcome bidhaa zetu ni original na tunakuletea ulipo

Est. 2020 Mtaa wa raha
Modern_storetz

#Modern_stortz Tunauza Hadbags OG Kila aina ya hadbag tunayo Susen,Prada,Chanel,Dior,Na kadhalika Midium zote tunazo Hadbag ni kwaliti zote Kutoka China Na uturuki

Est. 2015 Msimbazi Bigbon
Nassor Abdallah

tunauza tyre used zenye ubora tunatoa dubai bei zetu ninafuu sana nawaranti tunatoa aina yoyote unayo hitaj zipo no 0659 150243 bei zetu 65000 kwa pcs 1

Est. 2020 nassorabdallah085@gmail.com
dielo juice

vinywaji halisi kama juice za aina mbali mbali

Est. 2019 makabe
Kidemi_arrays

Kidemi arrays ni wauzaji wa nguo za kike za mtumba grade A.Tunafanya delivery Tanzania nzima kwa uaminifu mkubwa...Biashara yetu ya nguo ni online business.Tunafungua mzigo mpya kila wiki.

Est. 2020
saba ardhi

viwanja na mashamba

Est. 2018 shamo tower
Noble real estate

filibertflora@gmail.com

Est. 2017 0620430477
ferniture

utengenezaji na uuzaji wa ferniture mbalimbali za majumban na ofisin

Est. 2017 keko
kariakoo home shopping

vyombo vya manyumbani

Est. 2017 Aggrey na livingstone
wear store

tunauza nguo za kike .nguo za watoto na nguo za ndani

Est. 2019 wearstore
KUKU WAMCHESHO NA WAKUCHOMA WAZIMA

tunauza kuku wa kuchoma toa ODA uletewe bei 6500 tu kuku wakubwa kuanzia 1kg na kuendelea

Est. 2019 Mbagala Zakhem sokoni
Liam online shop

Wauzaji wa saa za kiume,kike na saa za watoto,pia wauzaji wa wallet za kike na kiume na tufanya engraving/uandishi wa maneno atakayo mteja kwenye saa au wallet

Est. 2020 Makumbusho
Nashtyner classic

Nguo za kike na zakiume,viatu vya kike na vya kiume, pochi, mikoba.

Est. 2020 Airport stand
Kadah enterprises

Selling goods

Est. 2020 Savei
co_creatives_arts

sidicosta7@gmail.com

Est. 2014 bunju
#Smart_Home_Technology

#Smart_Camera_bulb = 80,000 . #Rotatable_security_camera = 100,000

Est. 2019 Mbezi beach
UPENDO RANGI

Tunafanya kazi za Ufundi wa Kupaka Rangi Majengo/Nyumba kwa Hali zote, kuanzia Hatua ya Kwanza mpaka ya mwisho. Miundo na urembo ikitegemea uhitaji wa mwenye nyumba. #Sisi ni familia (mme na mke). Ndg, Rafiki na Jamaa, karibu tukuhudumie.

Est. 2003 Mapinga Kiharaka
Sarahsam_store

Nauza nguo za ndani za kike na za kiume

Est. 2019 Biashara complex
LEE

ashahamisjuma@gmail.com

Est. 2020 ashahamisjuma@gmail.com
Jcb store

Tunauza nguo za kiume saizi zote tunapatikana mwenge mpakani

Est. 2019 Mwenge
forever living product

vilutubisho vya mwili na urembo

Est. 2020 dar resalam
Uwakala

Kusajili line za sim vodacom,Tigo,Airtel Kuludisha line zilizo potea au kuhalibika Huduma ya special namba kwa vodacom na tigo n.k

Est. 2019 K/koo
Cosmetic

Tunawasaidia wanawake wanaosumbuliwa na ngozi zao zinakua na chunusi, makovu, ngozi kuwasha nk.

Est. 2019 Nunu Natural Skin Care