Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Snows_weddings
Tunauza, tunakodisha na kushona magauni ha Harusi. Pia tunashona Nguo aina zote kwa jinsia zote.
Tunapatikana Dar Es Salaam
Est: 2020,
Snows Wedding
Bizbag makeover salon
Tunafanya makeup aina zote
Hairstyle
Tunafunga malemba
Est: 2019,
Kinondoni manyanya
MKUKI ONLINESTORE
NAUZA VIFAA VYOTE VYA UMEME NA KIELECTRONIC KAMA PASI,TV,REDIO NAKADHALIKA
Est: 2020,
UPANGA/KARIAKOO
huuzaji wa kuku wa nyama
huuzaji wa kuku wanyama .walio nyonyolewa na hata ambao hawaja nyonyolewa pia tunafikisha mzigo mbaka ulipo
Est: 2017,
dr christian
Cynthie’z Kitchen Table
Tuna deal na kuoka cake,vitafunwa na vyakula mbali mbali .
Est: 2015,
Mikocheni B karibia na Green park hotel
SUPER GRO
Super gro huleta nguvu mpya kwa mazao yalio lemaa. Asteriakmudguza@gmail.com
Est: 2019,
0743858488
Viwanja Noble real estate
Tunauza viwanja , mashamba , nyumba na apartment
Est: 2018,
Noble real estate
Bazed Feeds
Bazed Feeds ni wauzaji na wasambazaji wa vyakula vya mifugo kama kuku,mbwa,ngombe Tunatoa huduma zifutazo, Pumba za mahindi jumla na rejareja, Paraza, Chokaa, Starter, Layers Mash, Growers, Finisher, Uduv, Soya, Mashudu, Dagaaa na vumbi la dagaaa, Power Dog
, Chicken Feeders and Drikers
Est: 2020,
Jogoo Madukani
husnashomasweetcake
Tunapika cake na kupamba kwa matumizi ya nyumbani na shughuli mbalimbali harusi,kitchen part,birthday,kipaimara,send off,graduation na nk .pia tunapika bites na cooks kwa matumizi ya nyumbani na herehe mbali mbali.
Est: 2020,
tuangoma
BENNECY AFRICA
DEALS IN: Technologies | Media | Commercial Cleaning | Real Estates | Printing Packaging | General Supply | Wooden Pool & Sauna Installation.
Est: 2010,
Kimanga
KVEE COLLECTION
Agiza bidhaa kutoka china kwa bei ya kiwandani kabisa , bidhaa zenye ubora kabisa, agiza pazia , shuka , viatu , home appliances zote , gadgets zote simu, tv , laptop na camera pia kwa .bonyeza link kwenye bio ya page yetu uweze kujiunga na group kwa oda na bidhaa mbali mbali ,pia tuffollow Instagram kwa exclusive zote na bidhaa zote , call au whtsaap 0747531007.join hapo chini uingie kwenye group moja kwa moja=G<
Est: 2020,
KEKO
Black wings Attorneys
Huduma za kisherria
Kupata viapo na kugonga mihuri
Huduma za kufungua kampuni
Kusimamia kesi aina zote
Huduma za Matatizo ya Kodi au mapato (TRA)
Migogoro ya Kazi (Labour)
Est: 2019,
Black wings attorneys
INITIAL AIR FRESHNER
Tunajihusisha na kuuza bidhaa za initial air freshners.ni air freshner ya kwenye magari,chumbani na sehemu zingine.inakaa mwaka mzima?
Est: 2020,
Makumbusho
Divine health services
Tunatoa huduma za ushauri nasaha
Huduma za matibabu (out patient department)
Vipimo vya maabara na sample collection
Consultant services
Est: 2020,
Mbuyuni kinyerezi
GYPSUM DESIGNERS
Tuna tengeneza gypsum designs za aina zote niwazoefu na tuna bei sawa na bure karibuni
Est: 2008,
Gongolamboto
Vifaa vya michezo
Nipo na vifaa vya aina zote za michezo nipo na jezi aina zote unazotaka viatu v6a aina zote na mengineyo
Est: 2020,
Temeke sudan
EDMARY
Afya Ndio Mtaji wetu,Nimechagua Kugusa maisha ya watu kwa kutumia Tiba lishe za kiasili na zilizothibitishwa .
Est: 2014,
MASAKI
CCTV Security System
Services we provide is
*CCTV Camera installation
*Alarm system
*Electric Fence and Motor gates
Follow us on inst @cctv_mhtechtz
Est: 2019,
Naccoz Area
KEKE INSURANCE BROKERS
Karibu sana KEKE Insurance Brokers kwa mahitaji yako yote ya bima ya magari na nyinginezo. eg bima za afya,bima za maisha,bima ya nyumba,bima za mkandarisi etc
Est: 2018,
RITA TOWER
ECHISAM print
Tunaprint T-shirt,sticker,mabango,kubrand,wallpaper&wall paint,kuremba magari,Bajaj & pikipiki,Tinted,ucharaji
Est: 2015,
Maliasili/makaburini
Aluminum and uPVC
Utengenezaji wa milango na madirisha ya aluminum na uPVC, blicon kabati
Est: 2014,
gari bovu (shule ya msingi ungindon)
Duka la nguo na viatu
Duka langu linaitwa starboy fashion lipo maeneo ya manzese darahani jijini far es salaam
Est: 2020,
Manzese
Blue electronics
Tunauza electronics zote kama simu na vifaa vyake,power bank computer ,router,cctv camera na vifaa vingine.
Est: 2019,
Goba kontena