Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
mmtebeny633@gmail.com
We rent cars in dar es salaam at affordable charges
MM MUSIC ACADEMY Ni shule inayotoa mafunzo ya muziki kwa viwango vya kimataifa,vyeti hutolewa baada ya mwanafunzi kufaulu,Mafunzo hutolewa kwa kufuata mtaala kutoka LONDON uitwao ABRSM Tembelea =Iwww.abrsma.org Tunafundisha Piano <
Fundi rangi wa nyumba
Kupiga picha na kuchukua short video kwenye location kwa aina yoyote ya tukio (for all types of events)
♦️Tunauza acssesories zote za kiume na kike ♦️online based ♦️saa,wallet,mikanda, cadet etc
gypsum decoration
Tunapatikana Kariakoo jengo congo tower nyuma ya msimbazi police tunauza online uaminifu kwa mteja ndiyo kipaumbele kwetu uaminifu ndiyo sababu ya sisi kuwepo kufanya biashara 1/ Tunauza nguo dizaini zote Za kike na kiume men/Women 2/ Delivers nchi zote
beauty and designs
Biashara yangu inajihusisha na vitu mbalimbali ambapo ni bidhaa za majumbani kama thamani,vyombo,neti za kisas na pia bidhaa za maofisini
Mfanya biashara wa magari Car dealers
Tunatengeneza kucha Kubandika kucha Kupaka rangi za gel na za kawaida Tunafanya scrub
nauza nguo viatu na mikoba ya kike ya duka na mtumba biashara yangu ni ya online
RAMANI ZAMAJENGO STRUCTURAL DRAWINGS MAKADILIO YA UJENZI UJENZI NA USIMAMIZI PIA TUNA TOA USHAURI CALLS 0789334388
mavazi na vipodozi
Tunauza samaki na dagaa watamu kutoka Mwanza. Tunauza SATO na SANGARA Fresh, waliokaangwa na waliokaushwa na kwa dagaa tunauza dagaa wa kukaushwa kwa jua na waliokaangwa kwa viungo kama tangawizi, vitunguu swaumu, pilipili manga, chumvi na limao.
Ajira Mpya Tanzania - NewslineTz: Latest Education updates, Tanzania Jobs, Ajira Portal Tanzania, Aplication ,University Admission, Private and Government Jobs, Ajira Mpya, Nafasi za Kazi, Utumishi Portal, Scholarships, Mikopo, HESLB Loan status, TCU
Mikopo ya kwa dhamana ya kadi ya gari wasiliana nasi 0689558959
Vitambaa vya kushona aiza kwa sale na kazalika
Tunasuka nywele Style zote Tunafanya makeup
mariam.salmin27@gmail.com
Tunajihusisha na Usimamizi wa Ujenzi, Usimamizi wa majengo na uthamini wa majengo
Design decoration house VenanceElia@gmail.com
Unahahitaji kupata huduma ya bihaturi wako mtarajiwa kwa Makeup ilio bomba yenye muonekano mzuri tena kwa gharama na fuu kabisa Wasiliana nasi kupitia sim no 0777871107 Tupo zanzibar
tunauza mapambo ya magari ,music system ,alarm system , tinted ,seat cover aina zote ,betry za magari na full decoration
Tunauza bra na chupi zenye quality nzuri sana, kwa nei nafuu zaidi
nguoo zakiume
Ni kampuni inayojihusisha na maswala ya upambaji kwenye sherehe mbali mbali events za aina yoyote pia ukihitaji kuna mcs na mziki
Fundi wa sitcover , file bags, begi za shule na sofa aina zote
Perfumes, Cosmetics and Fashion Jewellery
(1)Tunatengeneza Perving brock. (2)tunasawazisha eneo. (3)tunajenga perving brock. (4)tunakodisha machine yakushindilia. (5)tunadizain garden.
Our oil bassed brand perfume are all that you need, a few spritz and you are good to go the whole day or more.
SPARE PARTS
urembojordan@gmail.com
Nauza magari kutoka Japan, Singapore, Dubai n.k
Tunatengeneza keki za birthday, graduation, kipaimara
High heels & fashion
Habari,karibuni sana wateja tunajiusisha na uuzaji wa kuku,vifaranga va chotara na hata broiler pia tuna jenga mabanda ya kisasa ambayo unaweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo karibuni sana.
MIFUMO BORA YA MAJI SAFI PAMOJA NA MAJI TAKA KWENYE JENGO LAKO
WAUZAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA MAYAI YA KIENYEJI