Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 31 of 70
Jinsi ya kupunguza uzito kwa njia salama

Moja kati ya kitu muhimu kwenye maisha yako ni kuuweka mwili wako sawa Watu wengi tumekuwa tukitumia njia nyingi katika kupungua hasa kwenye kujinyima chakula ni jambo ambalo sio salaam kwa Afya yako Wasiliana nasi ili tukupe muongozo mzuli 0715168571

Est. 2015 Makumbusho victoria jengo la Tun house floor 2
Ommy simba mobile garage

Mimi nifundi wamagari pia nafanya mobile garage namfata mteja popote alipo

Est. 2015 Sinza more
Car painting

Mimi nifundi wa magari ususani kunyoosha & kupiga rangi

Est. 2016 Mapambano
J sadick Phone & Accessories

jsadick98@gmail.com

Est. 2018 jsadick98@gmail.com
woyowoyo_cake

Tunapika keki nzuri zenye ubora na kupamba. Keki za sherehe zote kama vile Harusi, Sendoff, kitchen party, Birthday party, communial, Ubatizo, Kipaimara, baby shower na nyingine nyingi. karibu tukuhudumie

Est. 2020 keko
Fundi wa computer

We buy used computer and repear old ones

Est. 2015
Lucy Art

Utengeneaji wa picha za ukutani

Est. 2 Tegeta kwa ndevu
Tanzania_perfume

Wauzaji wa pefume kwa jumla na reja aina ya Mini_Crystal.

Est. 2020 Kawe sokoni
Chibu Pillowcase

Ni wauzaji wa mito ya sponge size na aina zote kwa bei ya jumla na rejareja

Est. 2017 Karume machinga complx floor no 2
Furniture

Habarii ..jipatie bidhaa bora na imara kwa bei nafuu kabisa tunapatikana tabata barakuda na mteja unaletewa bidhaa popote ulipo ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga 0782949410 au 0683716033

Est. 2020 Barakuda
Tiba asili

Tiba asili kwa mimea na tiba lishe

Est. 2019 Zakiem
Nasfaa_mazda__fordsparepart

Niwauzaji wa vipuri vya magari aina ya Ford na Mazda aina zote bidhaa zetu ni mpya na used karibu tukuhudumie.

Est. 2015 Mtaa wa Shaurimoyo Near EuroHotel
Byra Toilet Constructors

SULUHISHO LA SHIMO LA CHOO KUJAA MAJI TAKA. Byra toilet constructors tunahusika na uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo cha kisasa lisilojaa maji taka wala kutema harufu.

Est. 2010 Mbezi Beach Tankibovu
fundi Air condition friji 0718776977

tunatengeza Air condition friji aina zote pia tunafanya kwenye kila aina ya mjengo natunauza vifaa vya Air condition

Est. 2012 MJ AIR CONDITION
MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD

-wiring system (domestic & industry) - A/C instillation & services - security fance & CCTV camera instillation & services - Generator instillation & services - Electrical diagrams design Contractor

Est. 2016 morroco terminal BRT
Willsondibalema

willibard01@gmail.com

Est. 2020 tegeta madale
Meshack Classic Wear

Karibuni sana wateja wangu kwa mahitaji ya nguo aina zote ,viatu nk......call 0677293561

Est. 2019 kariakoo
Nc Cheap.

Nguo za kike na za kiume kutoka China.

Est. 2019 Tabata Machimbo
Man Cave Bondeni

Bar, Beer, Food, Lodge. Tunatoa huduma za vinywaji laini na vikali, chakula na huduma ya malazi, karibu upate huduma nzuri kutoka kwa wahudumu wetu wanaojali unachohitaji

Est. 2020 Kibamba Chama (ccm)
Glorywakisaka

Ni wauzaji wa vyombo vya majumbani vizuri vya jumla na rejareja,bei zetu ni nzuri sana na huduma zetu ziko vizuri katika uaminifu wa hali ya juu,tunatimiza mahitaji kulingana na mteja anavyopendelea! Tunapatikana Kinondoni Biafra mkabala na Babu Ally

Est. 2020 Biafra Kanisani
BIDHAA MCHANGANYIKO

kambij55@gmail.com

Est. 2010 kibo
angelina Pure Castor Oil

Mnyonyo halisi

Est. 2020 Mikocheni
good price tz

ELETRONICS watch Accosseries

Est. 2019 manyema
Alttai drilling company

Nachimba visima virefu na vifupi vya maji Safi na salama

Est. 1995 Alttai
ONE BUSINESS

Visit us on instagram @one_biznez

Est. 2020 BUNJU B STAND
Dr sebastian

Torathlukosy@gmail.com

Est. 2015 torathlukosy@gmail.com
Nono store

Tunauza Balo nzuri sana za mtumba za China, UK, Canada

Est. 2018 Ubungo nyuma ya stendi
Hussein mbeyu bakes

Kutengeneza keki za harusi na hafla mbali mbali

Est. 2019 Majohe
Pafyum

Nauza pufyum za Kila aina alihood,za kizungu

Est. 2020 Kariakoo
Stara_icon_Destination

Wauzaji wa mitandio na abbaya/hijjab Tupo kariakoo Tunafanya delivery popote pale Whatsapp no 0765186567

Est. 2020 Kariakoo
cheedrack scale

mizani za kisasa mashine zabuchani mizani ya mawe na digtal scale nk

Est. 2020 kariakoo sokoni
Brand oil based perfumes

?Tuna uza perfumes bora kabisa ambzo ni original kutoka ufaransa na falme za kiarabu kama vile sauvage dior,invictus,Hugo Element,Lady million,sexy gravity n.k zenye ujazo wa kuanzia Mills100,mills50 na Mills30 ambazo hukaa kwenye nguo

Est. 2019 Gongolamboto
New jay hot chilly

Tunatengeneza pilipil, mbilimbi picko, sabuni za usafi na unga wa lishe

Est. 2014 Zakhiem
Maha_scents

Ni wauzaji wa perfume kwa Bei ya jumla na rejareja

Est. 2020 Ukwamani
DIONIZY SHOTS

Tunajihusisha na Upigaji Picha wa Matukio Mbali Mbali

Est. 2012 DIONIZY SHOTS
Swimming Lessons

I teach and train adults and children to swim

Est. 2016 Dar es salaam
sosthenes

nauza bidhaa kama frij,radio, tv na n.k karibun Sana

Est. 2020 kinondon
Emmy collectiontz

Emmy collectiontz. Tunauza nguo. Za kike. Abaya. Aina. Zote. Tunauza. Poch viatu. Raba. Za kike na za kiume top skin TUNAPATIKANA. Mwana nyamala. Komakoma. Duka lipo wazi kilasiku. ? 0762705086 .karibun.

Est. 2020 Mwananyamala. Komakoma
Swahili Flavors Restaurant

Napika vitafunwa vya aina zote pamoja na chakula kwa oda kwa ajili ya majumbani na sherehe mbalimbali

Est. 2016 Bunju kwa Jumbe
Innotech

Matengenezo na uuzaji wa bidhaa za apple (iphone, ipad, macbook) za aina zote

Est. 2019 Victoria, makumbusho