Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 33 of 70
Georges Agri service

Georges Agri Service ni wauuzaji wa nafaka kwa jumla na rejareja.

Est. 2020 Kimanga mwisho
Eve wear

Tunauza nguo nzuri za mtumba za kike na za kiume kwa bei nafuu sana. Karibu sana tuwahudumie

Est. 2020 Maduka matatu
Aluminium

Nitunateneza madilisha nakabati ya aliminium mlango

Est. 2011 Ndy
Mery -online-business

Tunauza urembo wa jumla ,pochi ,mabegi ,na vitu mbalimbali Pia tunajihusisha na uagiza I BIDHAA toka china na tailand kwa Bei ya jumla . Wasap no. 0692176278 Piga direct ,0715068380 Instagram ,mery -online -business

Est. 2017 Kawe ukwamani
DSTV

Nauza vingamuzi vya DSTV

Est. 2020 CHAMA
pamba kali dar

nguo

Est. 2020 gmboto
Shinwa industry

Tunahusika na ku Design nguo za harusi na send of suit kiume na zakike pia tunapokea tenda

Est. 2018 Ubungo Liv said
Automobile carwash

Door to door car care, tunamfata mteja popote halipo kumfanyia huduma zetu za Car wash kwa bei nzuri na salama

Est. 2020 kunduchi mtongani
Elijah King

Muuzaji wa simu na laptop

Est. 2016 Mwananyamala
Agroservices

Tuna tengeneza mabwawa ya samaki ya kila size, kuuza fiah pond liner, vifaranga wa samaki, kuku kroiler na mayai, water solar pumps na kuchimbiwa visima kisasa

Est. 2016 Pugu Kwa mustapha
asali

asali mbichi kutoka tabora

Est. 2020 mshumbaa@gmail.com
Longrich bamboo soap

Ni sabuni nzuri kwa ajili ya kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri.. inatibu miwasho, chunusi,mabaka, pumu ya ngozi, harufu mbaya ya mwili aliyeungua na cream inarudsha muonekano wenye kuvutia.ni sabuni iliyotengenezwa na mimea asilia

Est. 2019 Mwananyamala shule
fundi umeme & ujasiliamali mdogo

Tunatengeneza wiring za majumbani zenye viwango bora kabisa, pia tunauza bidhaa ndogo ndogo kama sabuni ambazo ni bora kufulia unaweka ktk maji na kuweka nguo ikijifua yenyewe

Est. 2015 keko machungwa
home appliances

Friji, deep freezer, majiko ya umeme na gas,Ac , rice cooker etc

Est. 2020 mnazi mmoja
Mifuko & t-shirt printing

nafanya biashara ya printing

Est. 2018 bigurajoshua@gmail.com
afya leo

tunawasaidia watu kutatua changamoto zao za afya bureee

Est. 2020 makumbusho
MAFUNDI BODy RANGI NA KUNYOOSHA GARl NA MAFUNDI UMEME diagnosis NA AC N.K.

Yule mtaamu wa Mercedes Benz/Bmw//vw//Range Rover//posh ukiwa unashida ya gari yako au spares za gari yeyote ya Europe nakazarika telephones number 0746667199:0717035247 tunapatika dar es salaam ilala na kurasini mivinjen

Est. 2015 allymohamedmtoraallymohamedmto@gmail.com
Mariamu electronics zanzibar

Dealing with electronics items /wholesale and retail

Est. 2012 chakechake pemba
prinsess mary

jipatie pochi kwa bei rahisi poch kwa bei rahisi joini group kujionea bidhaa nzururi nilizonazo

Est. 2018 six pub
MasanjaArt

Get your portrait for a rock bottom price ,wood turning vases,bowls ,furniture hardwoods and Architectures. Tunachora Picha za aina zote pia tunatoa ushauri na shule kuhusu Sanaa.

Est. 2005 Samora Avenue
KING OF VIJORA

VIJORA OG vya MOMBASA ,MISOMALI,BATIKI na VIATU.nauza jumla na reja reja kwa bei nafuu. mikoani tunatuma✈️ Delivery ipo ?

Est. 2019 Yombo dovya
Sabrapaperflowers

Sabrapaperflowers ni aina ya mapambo ya maua ambayo natengeneza kupitia karatas za manila.aina hii ya mapambo pia natengeneza kama mapambo ya kuninginiza ukutan yaan (wallhangingpaperflowers) ni nzuri sana na yanafaa sehemu zote majumban na maofisin...

Est. 2019 Biashara yangu nafanyia nyumban (airport)
Dawa za miti shamba

Ni Dawa za Asili zenye uwezo wa kutibu maradhi ya kibinadamu

Est. 2010 ofisi yangu ipo nyumban eneo(airport karakata)
MAGNETIC MUFINDI TIMBER

Wauzaji wa mbao toka Mufindi kwenda mikoa yote na nchi jirani

Est. 2019 Mufindi Magnetic Timber
Gee super store

Uuzaji wa vyombo aina mbalimbali

Est. 2020 Ubungo
Maos_collection

Maos collection ni wauzaji wa Mavazi ya kike kwa ujumla na Mavazi ya kiume pamoja na handbags.

Est. 2018 Tabata liwiti karibu na Tanesco
Muju Furniture

Tunatengeneza furniture za majumbani na maofisini

Est. 2020 Mombasa
Noble real estate

kuuza viwanja na mashamba kununua viwanja na mashamba vilivyopimwa.

Est. 2020 Goba mnadani
Ujenzi

Tunatoa Huduma ya ujenzi upande Wa umaliziaji

Est. 2020 Decoration
mco lingerie store

uuzaji w nguo za ndani kwa wanawake...wanaume na watoto...brazia chupi boxer swimming custome soksi na kadharika kwa bei nafuu sana

Est. 2020 segerea
Business Management

Ninahusika na uuzaji wa nyumba viwanja mashamba kwa wenye shida navo ??

Est. 2020 Sehemu Mali mbali
REAL ESTATE

KUUZA NYUMBA VIWANJA MASHAMBA MAGARI KUPANGISHA

Est. 2020 dalalichapuchapu92@gmail.com
Altraniq Group

We provide innovative repair services for cell phones, tablets, laptops, Installing Networks and CCTV Cameras at the Offices and Home.

Est. 2012 Altraniq Group
electronics

vitu vya nyumbani

Est. 2014 kariakoo
Msusi amimu

Karibuni watejawangu wakusuka nasuka nitindoyote pia nauza lasta aina zote

Est. 2011 Bky
Mashuka

Shuka aina mbali mbali. Zenye pazia zake na zisizo na pazia. Net,saa za ukutani,kabati za zipu na mapazia.

Est. 2018 Kariakoo
Guru Planet Ltd

Business Consultation Services

Est. 2016 Ohio
Clever baking powder 100gx72pcd

kuokea cake mandazi dounut n.k

Est. 2020 wailes
df_angels_collection

handbag na magauni

Est. 2020 deborakipanga93@gmail.com
OB - Ads & Media

Tunafanya matangazo ya biashara mtandaoni kwa bei nafuu sana

Est. 2020 Mtaa Wa Arusha