Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
TUPO KARIAKOO - MSIMBAZ B KARIBU NA SHELL TOTAL. TUNAFANYA DELIVERY DAR & MIKOANI. GARAMA KWA MTEJA KWAMAWASILINO ZAID TUCHEK Whatspp/call No +255659249682
Tunajihusisha na urembo wa mwili pamoja na urembo wa ngozi
Raba zangu ni nzurI na bei yake ni nzuri
Tunauza shorts, playsuits na tops za kike kwa bei nafuu
Viatu vya Kiume vya aina mbali mbali
Furniture za majumbani na ma officen pia tunapatikana keko furniture kwetu uwaminifu n %100
JIPATIE SUBWOOFER YA GARI BAJAJI NA NYUMBANI INA WTS 210 INA MZIKI WA KAWAIDA HAINA KIKI KUBWA ILA MZIKI WAKE NI MKUBWA WA KUTOSHA NIPIGIE SASA 0685427233/location MbeziBeach
Bidhaa za Electronic, Tunauza Kwa bei ya jumla na rejareja. hatuna tuka tuka letu ni miguu yetu. pata flashi original Kwa bei che
Tunahusika na kuuza virutubisho kwa ajili ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake . Pia kuuza bidhaa za ngozi na usafi wa mwilinamoja na mazingira
Utengenezaji wa furniture za chuma na mbao, grills, door and gate, u-pvc, aluminum, baluster, balcony garden furniture na vitu Kama hivyo
perfumes na manukato ya aina mbalimbali kutoka Oman, France,na uingereza
Wauzaji wa mashine na vifaa vya usafi kama sabuni, hygiene dispensers, mopping trolley, dustbins n.k. za maofisini, hotelini, viwandani na majumbani. Wasiliana nasi leo tukuhudumie!
Tunatengeneza na kurekebisha majiko yote yanayotumia gas na umeme huduma yetu ni bora zaidi kutana nasi tuweze kurudisha ubora wa jiko lako usijiulize unatupataje piga simu +255715673024 fundi atakufata popote ulipo tunafanya Kazi masaa 24 tupigie sasa.
nguo, viatu, clothing designing,event planner, na usafirishaji wa mzigo,
Daktari wa Tiba Asili
Shikamoo lishe.tuna bidhaa kuhimu za chakula Kama vile unga lishe,pilipili,asali mbichi,mafuta ya alizeti,bisi,pinut butter.pia tuna huduma ya free delivery.buy it we drop it.kwa maelezo 0622500900 shikamoo lishe eat fresh,live fresh,think fresh
Masofa yetu niimara na niya bei nafu san
Tunauza spear za magari used kama nissan,Toyota,suzuki n.k karibuni sana tunapatikana Tandale mkabala na Mtanzania Hotel
Nauza kwa njia ya online viatu,nguo hand bag ,vyombo vya ndani
We deal with all organic spices, we have Pilau masala, Tea ? masala, Mchuzi mix,Garlic,viungo mixer etc. very nice smell and good test results of our products . Come and shop with us you will thanks me letter.We sale for retail wholesale.We do delivery ?.
Tunausika na mambo yote ya design kama logos, printing aina zote, matangazo ya animation, business card, flyes,card za harusi, mockup logo,neon design,photograph
MAGARI
Je unachangamoto ya kupata bidhaa nzuri za kufanya usafi wa nyumba yako? Je changamoto ya wadudu ndani kama mende , mbu sisimizi imekua ni kero kubwa isiyo isha ndani kwako ? Suluhisho la uhakika ni Kutumia super 10 Kwa kutumia super 10 utasafisha Tiles Masink Ukuta Madirisha Fridge Usafi wa ndani kwa ujumla Wadudu wote ndani wataisha na nyumba itabakia safi Utasahau habari ya Mende Mbu Sisimizi Nzi Kunguni Follow @triceusafi @triceusafi @triceusafi Toa Oda yako sasa 0752694959
Upvc Windows Toilet and bathroom doors Handrails (Balustrade) Office partition Shower cabinet Aluminium windows and doors
VIRUTUBISHO VYA MWILI NA KUSAIDIA MAGONJWA MBALIMBALI
Tunauza ,Tunaagiza magari kutoka nje, Tunakutafutia Mteja wa gari unayouza.
kuandaa mabango, kadi za mialiko
virutubisho lishe
Tunauza nguo viatu pochi begi na vyombo, mikoani tunatuma kwa garama zetu. Wasiliana nasi 0753351910/0712784800753610628, Instagram page pendeza_quality_fashion, Facebook Janeth Malela na whatsap grupu letu https://chat.whatsapp.com/HgMR6OECawe8jQyodmY
Tunauza T-Shirts
Tunauza magari, magodoro
Tunauza bidhaa mbali mbali kama nguo za watoto,mapochi,viatu,vyombo n.k
huduma ya kuchimba visima virefu na vifupi vya kisasa Hydrogeophysical survey well flushing( kusafisha kisima) pump installation and maintainance mategenezo yoyote juu ya visima . kufunga mifumo ya maji mashamban,majumban na viwandan Piga simu au ujumbe watsap =
Ramjaan Mbuzi express. Ninatoa Huduma zufuatazo. 1.Nauza mbuzi idara zote. A. MBUZI WA HAKIKA. B. MBUZI CHOMA. C. MBUZI ZA SUPU. D. MBUZI WA MANDI. E. MBUZI YA SHURBA. F. MBUZI YA SHEREHE. G. MBUZI WAKUFUGA. Huduma zangu ni Bora, Rahisi na Salama.
● House Plans and Visualized designs ● Site planning ● Regional and Town Planning We DESIGN a HOUSE. You MAKE a HOME
TV, SUBWOOFER, FRIDGE, PASI, HOME THEATER, BLENDER
Mavazi ya kiume Wallets and keyholders Rice cookers and Electric Lunch boxes Mavazi ya kike Handbags
Tunauza smartphones za kisasa za oppo A1k A12 A31 A52 A92 A9 2020 Reno 2F Reno3 Reno3 pro F 11 pro F15
Kwa huduma za usafi ma ofisini, majumbani,halls, before and after party cleaning, fumigation Ekostar tupo kwa ajili yako, tunafanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu tupigie 0699377411 tunakufikia popote ndani ya, Dar es salaam.
Naitwa Shabani ni fundi najishugulisha na kutengeneza Madirisha ya Aluminum milango kabati pation tunafanya kazi ndani na nje ya Dar kazi zetu mzuri uhakika na halaka hazina usumbufu Aina yoyote tunawajali sana wateja wetu kalibunisana Office zetu Buza 5