Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 36 of 70
VITU VYA UMEME

TV, SUBWOOFER, FRIDGE, PASI, HOME THEATER, BLENDER

Est. 2020 msimbazi b
Janesha Online Store

Mavazi ya kiume Wallets and keyholders Rice cookers and Electric Lunch boxes Mavazi ya kike Handbags

Est. 2020 kimara
Gallerytz

Tunauza smartphones za kisasa za oppo A1k A12 A31 A52 A92 A9 2020 Reno 2F Reno3 Reno3 pro F 11 pro F15

Est. 2019 Msimbazi na uhuru
EKOSTAR CLEANING COMPANY

Kwa huduma za usafi ma ofisini, majumbani,halls, before and after party cleaning, fumigation Ekostar tupo kwa ajili yako, tunafanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu tupigie 0699377411 tunakufikia popote ndani ya, Dar es salaam.

Est. 2020 Posta mpya
MUKI ALUMINUM NA GLASS

Naitwa Shabani ni fundi najishugulisha na kutengeneza Madirisha ya Aluminum milango kabati pation tunafanya kazi ndani na nje ya Dar kazi zetu mzuri uhakika na halaka hazina usumbufu Aina yoyote tunawajali sana wateja wetu kalibunisana Office zetu Buza 5

Est. 2020 Buza namba 5
Animur online business

Nauza pochi ,kwa Bei ya jumla na reja reja

Est. 2020 Kwa tumbo
Francis logistics

Tunahusika na utowaji wa mizigo bandarini clearing and forwarding agents

Est. 2020 Francis logistics
Vyombo vya nyumbani

Tunauza vyombo vya ndani na mashine ndogo za jikoni. Online store Tunatuma ndani ya Tz kwa gharama za mteja ? ?0659829799

Est. 2019 Online Business
vrom_urembo

Tunauza nguo za watoto kuanzia wachanga,wakubwa,vipodozi,cheni,Hereni.Na nyinginezo kutoka na mahitaji ya wateja wetu.

Est. 2019 KITUO GARAGE MKABALA NA BL PARK
Viwanja-Nyumba-Vipando

SuperLand Tanzania tunahusika na uuzaji wa viwanja,nyumba na vipando kama vile gari,bajaji,pikipik n.k kwa bei nafuu kwa Dar es salaam na maeneo jirani. Pia kama unahitaji tukuuzie bidhaa yako basi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0747141871 0623013237

Est. 2020 Viwanja,Nyumba,Vipando
Security systems service

Tunatoa huduma za uwekaji mifumo ya ulinzi Kama vile CCTV camera ,Electric fence,Gate motor,Electrical installation,Video intercom systems pamoja na Alarm systems (intruder na fire)

Est. 2020 Kibada hospital
miraculous looks

Wauzaji wa nguo za mtumba grade A kama vile scarf, mashati ya ofisini na mitoko ya kawaida magauni, na masweta

Est. 2020 mlimani
Alsubhi Elegance

Gift wrapping and Bouquets. Mauwa ya biharusi (bridal bouquets) kutumia Fresh Flowers pamoja na bouquets za aina mbali zinapatikana kwetu. Pia tunafunga na kupamba zawadi za shughuli mbali mbali ikiwemo harusi, mahari, birthday, anniversary nk.

Est. 2019 Kariakoo, mkunguni na livingstone
Tuma delighted bekary

Tunatengeneza keki za aina mbali mbali kwa upande wa decoration cakes kwa mfano Birthday cake, wedding cakes n.k. Plain cake, cup cakes, cookies aina mbali mbali pia na bites zinapatikana.

Est. 2018 Mgeninani kijichi
Classic Finishes ltd

Rangi ya pamba na mkeka wa mbao

Est. 2020 mbezi africana
Mamaiya_Cakes

Tunatengeneza cake za aina mbali mbali kama vile vanilla,chocolate,redvelvet,blackforest n.k kwa bei nafuu kabisa kuanzia 30,000/=

Est. 2020 Mzambarauni
totolishe

Karibu Tujifunze Kwa Pamoja, Kuhusu Lishe Mbali Mbali Za Watoto, Bure Bila Malipo. Karibu Tukuhudumie Kwa Mahitaji Ya Bidhaa Za Watoto

Est. 2020 Kwa Anna Makinda
Lucy natural foods

vyakula asilia

Est. 2020 kisiwani
Ks_home_accessiories

Tunauza mapambo ya ndani Mapanzia Duvet Mauwa shuka Viyoo vya kujitazamia Mito yakulalia na ya sofa Bomba za kufunga panzia

Est. 2017 Uhulu na skukuu
Masai sandals

Kwa wale wauzaji wa rejareja njoo tukuuzie kwa bei ya Jumla Na nafuu zaidi Wasiliana nasi whats App +255712144146

Machinga complex
Mikanda ya tumbo

Mikanda ya tumbo

Est. 2020 makumbusho
Mashuka Ya Kudarizi

mashuka ya kudarizi, vitambaa vya kudarizi na viforonya vya mito vya kudarizi

Est. 2014 Shule ya msingi sokoine
safaya ufuta

ufuta

Est. 2020 kichangani
mtumba__og

tunauza nguo za mtumba gradeone kwa bei nafuu

Est. 2020 mtumba__og
ASH NATURALLY (HEO )

Ash naturally (HEO) Ni mjuisho wa 1.H -honey 2.-E-egg 3.-O-oil (sunflower) Natoka huduma ya bidha kama ilivyo hapo juu ASALI MBICHI TU MAYAI YA KIENYEJI NA YAKAWAIDA MAFUTA YA ALIZETI NA YAKAWAIDA tunakuletea popote ulipo

Est. 2020 Kinondoni mkwajuni
DTS logistics company limited

Greeting from DTS. Hope you are well, I wanted to introduce you to our DTS logistics company limited. We sell high quality spare parts with reasonable and competitive prices We are working hard to earn your trusts.

Est. 2018 TRA
japha.phones_empire

nauza smart phones na boxer

Est. 2020 japhauniquejrank@gmail.com
Computer saler

Tunauza Computer bora na accessories zake imara kwa bei nafuu kabisa karibun sana

Est. 2015 Kongo
Vipodozi

Vipodozi mbalimbali vyenye Usalama na Ngozi yako. Jumla na Rejareja

Est. 2018 msimbazi
Urembo

biashara inahusika na urembo wa nywele uso pia tunapamba maharusi pamoja na kuuza bidhaa za kina dada mfano pochi za mtumba wallet marashi

Est. 2016 Kimara Temboni
JOE_BROWN_FASHION

WAUZAJI WA NGUO ZA KIKE

Est. 2017 JOE_BROWN_FASHION
furniture

furniture aina zote makabati vitanda meza za chakula meza za kusomea sofa aina zote

Est. 2006 mwenge
MSHIKAMANO BEST CHICKENS

MSHIKAMANO TUNATOA HUDUMA YA VIFARANGA NA KUTOTOLESHA MAYAI KWA BEI NAFUU KWA KILA MTU.

Est. 2018 KIBAMBA CCM
mremi furnitures

kutengeneza furniture/ kuuza /kurper nakudizain pia tunapokea order

Est. 2018 kennedymremi24@gmail.com
furniture

furniture aina zote vitanda aina zote sofa meza za chakula meza za kusomea makabati

Est. 2007 mwenge
ESSENTIALS TZ MARKET

Biashara hii itajihusisha na uuzaji wa BIDHAA kutoka NCHINI UINGEREZA hukoo kwa malkia Elizabeth pia chocolates snacks bites milk electronic machines phones laptops Yani kiujumla Kila biashara nitafanya kupitia app hii

Est. 2015 amulikedeograciousbarlow@gmail.com
Flora denim trends

Nauza denims coats za aina mbalimbali Kama vile shirts, oversized, boyfriend,cropjeans, ripped na nyinginezo za aina mbalimbali kwa Bei nafuu Sana!

Est. 2020 Mwenge
Smartphonesbeipoa

Wauzaji wa simu aina zote

Est. 2019 Kariakoo
PGM Home Furnitures Point

Sofa na vitanda vya sofa vya kisasa,viti vya dining na Meza,navingine vingi.

Est. 2012 Makutano
Liver_collectionss

Karibuni liver_collections mpendeze...chochote agiza utapata

Est. 2020 Mwananyamala, kituo cha daladala msaada gereji