Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 34 of 69
tops-point 1

tunauza nguo za kike kwa bei rahis kabisa kwa size zote na lika zote

📍 magomeni mapipa
Portable/Mobile/Movable Toilets

Vyoo vya kukodisha kwenye mashuhuli, misiba, matamasha, bonanza,mihadhara na kila aina ya matukio yenye mkusanyiko wa watu wengi. Bei ni 200,000/= kwa choo kimoja Na 180,000/= kwanzia vitatu Usafiri ni bure kabisa bila kujali umbali uliopo. KARIBUNI SANA=O

Est. 2020 📍 meditomeddyclever@gmail.com
BANTU HARDWARE

Mbao za dawa (treated) Bati za rangi

Est. 2013 📍 Buguruni Chama
MAGILAZ INVESTMENT

Ni kampuni iliyojikita katika masuala yahusuyo TEHAMA (ICT). Kama ifuatavyo WEBSITE DESIGNING & HOSTING, NETWORKING, SOFTWARE & HARDWARE SOLUTION, DATABASE DESIGN, ANDROID APPs DEVELOPING, Pia tunauza vifaa vya Computer pamoja na Computer zenyewe.

Est. 2016 📍 Makumbusho
Phones and laptops

Sisi ni kampuni inayouza simu Mpya na Used ,laptops mpya na Used na pia tunafanya exchange au top-up za simu karibuni sana ??

Est. 2019 📍 kigamboni Ferry
tushiskincare

ngozi

Est. 2020 📍 suzanmoris94@gmail.com
ER GENUINE ELECTRONICS

simu ,smartwatch,laptops

Est. 2020 📍 makumbusho bus stop
mitumba watoto

nguo za watoto,viatu

Est. 2020 📍 SINZA KUMEKUCHA
Natural herbal product
Est. 2018 📍 rensonkihongosi74@gmail.com
Maisha_fitnes

uuzaji wa vifaa vya mazoezi na mikanda ya kupunguza tumbo

Est. 2020 📍 allyadam63@gmail.com
Night dress

Nguo za kulalia za wanawake kwa jumla na rejareja

Est. 2020 📍 Macho
Mamilo shopping

Tunauza bidhaa mbali mbali kama elektroniki, mavazi, virutubishe tiba vinavotibu magonjwa yaliyoshindikana mahospitalini kama kisukari, shinikizo la damu, cancer, pressure, nk

Est. 2020 📍 Mjimwema, kibugumo
Mchele quality number moja usio na mawe wala chenga

Mchele safi namba moja kwa bei safi kulingana hali za uchumi wetu wa sasa 1700 kwa kilo hadi 1600 kwa kilo nyingi nitafute sasa kwa bidhaa bora ya mchele

Est. 2017 📍 Kariakoo
Oscar Outfits

mavazi

Est. 2019 📍 k koo
Kibamia_juice

Watengenezaji na wauzajibwa juice za matunda mbali mbali..

Est. 2020 📍 Kigamboni darajani
Afya ni mtaji

Bidhaa za Kutibu na kuondoa changamoto zote za Afya... ikiwemo..Pressure, Vidonda vya tumbo, Uzazi kwa ujumla mke &mume, cancer (saratani) ,Mifupa na mengineo

Est. 2020 📍 shayosalome7@gmail.com
Culture and accessories

Nauza bidhaa zote kwaajiri ya sherehe mbali mbali hata kuvaa popote.niko dar mbagala

Est. 2017 📍 Mbagala
Bests Cars Tanzania

Wauzaji wa Magari na vifaa vya Magari, imported na yaliyopo Tanzania.

Est. 2020 📍 Kunduchi Mtongani
Shoperz

Electronics

Est. 2020 📍 Makumbusho
furniture

Tunatengeneza furniture pamoja na kurepair furniture zote karbun sana.. 0786468111

Est. 2020 📍 sinza
VIPODOZI ASILI

Vipodozi hivi vinatengenezwa kiasili havina Chemical, Vinaweza kutumiwa na watu wote na jinsia zote. Havina madhara kwa mtumiaji. Tuna-: LOTION YENYE CREAM LOTION ISIYO NA CREAM SCRUB SABUNI SHAMPOO STEAMING CASTOR OIL VITAMIN E SERUM TUPO TABATA KIMANGA NJIA PANDA SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331 DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO

Est. 2020 📍 Tabata Kimanga
Mifuko Enterprises

Manufacturer of Paper Bags

Est. 2018 📍 Zanaki street
chupi_nzuri_center

Chupi aina zote, Boxer aina zote, Taiti aina zote pia kuna Night dress,Brazia single full Brazia,Sinlend,Bwanga,Stocking nk

Est. 2017 📍 fredrickmrema9@gmail.com
Jojoz beauty salon

Tunatoa huduma za kusuka,make up kwa maharusi na watu wa kawaida na pia tunaset nywele

Est. 2016 📍 Jojoz beauty salon
Ramso_jhr-Collection

WAUZAJI WA NGUO JUMLA NA REJAREJA NO refund (exchange allowed) Delivery mikoani na nje ya nchi kwa uaminifu

Est. 2015 📍 Shimoni k.koo
Korosho

Nauza korosho jumla na rejareja,1kg 18000,nipo dar natuma popote karibuni.0714950606,delivery unalipia

Est. 2020 📍 Kituo kinaitwa chama
JITIBU NA DR.MAPANDE

Matibabu ya magonjwa sugu kama presha, kifafa, vidonda vya tumbo,ngiri, pumu nk

Est. 2017 📍 jipimeafya@gmail.com
Emman IT solution

computer repair | network | CCTV software installation | web design Computer spare & home services

Est. 2020 📍 emmandavid92@gmail.com
Wallpaper za simu

Habari Jipatie wallpapers za simu zenye kuvutia zinasaidia kupunguza matumizi ya chaji ya simu yako na pia kuipa muonekano wa kuvutia. Wallpapers hizi unatumia kama •lockscreen wallpaper •Homescreen wallpaper •Chat wallpaper n.k

Est. 2020 📍 Kimara
FELANO ELECTRONICS

Wauzaji wa vifaa vya elektroniki kama computer, laptops,radio,TV, vifaa vya jikoni na gadgets ndogo ndogo.

Est. 2017 📍 Ubungo njia panda ya chuo kikuu
Tircky Bussnes

Tuuza vifaa vya video production vya haina zote na vyakisasa pia tunatoa huduma ya upigaji picha za mnato na jongeo.

Est. 2010 📍 kinondoni studio
Samara Oils

Ni watengenezeji wa mafuta ya nazi yenye ubora na kwa bei rahisi..pia tunatengeneza coconut body butter,coconut hair food,coconut shower gel,coconut shampoo,coconut bar soap

Est. 2017 📍 kwa Nyerere
VITENGE ORG

uwakika

Est. 2020 📍 mtaa wa congo
Darino_store

Najihusisha na biashara ya kuuza viatu vya kiume online

Est. 2017 📍 Chimbo
MITUMBA

biashara yangu inajihusisha na uuzaji Wa mitumba

Est. 2020 📍 mwakahuu
Timeless_trends

MTUMBA GRADE ONE Classic handbag and classic shoes

Est. 2020 📍 Manzese
Neha Smart Collection

Tunauza bidhaa kama nguo za kike na kiume,pochi,viatu na vijora

Est. 2019 📍 Online
Afya Mtambuka Online

Afya

Est. 2018 📍 Hamisi
safe cleaness

Tunauza bidhaa za usafi wa majumbani zisizo na kemikali

Est. 2020 📍 dycharity266@gmail.com
Uriel safe price shop

Ninauza lotion, nguo za wanawake za mtumba kuanzia 500, nguo za watoto na mambo ya urembo wa wanawake kwa ujumla.

Est. 2019 📍 Nunua mtumba kuanzia mia 500