Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 37 of 69
Baraka Online shopping

Tunauza urembo wandani kama pazia, carpet maua ,saa, mashuka, neti taulo tunapokea oda za guest House nk

Est. 2019 📍 Malamba mawili msikitini
Raja Collection

Wauzaji wa nguo za ndani za wanaume, wanawake na watoto, nguo za kulalia, Brazia, Nguo, Vitu vya urembo n.k

Est. 2020 📍 Kimara Baruti
MWISE SHOES DESIGN

Tunatengeneza na kuuza viatu vya kike na kiume

Est. 2020 📍 mwiseshoesdesign@gmail.com
Maria newhope & sweet product

Karibuni wote,tunaagiza mizigo mbalimbali kutoka china kuja Tanzania mikoa yote,tunatumia usafiri wa Meli na ndege kusafirisha mizigo kupitia kampuni za uhakika.utaratibu ni tunachangia order zote mbalimbali ikitimia order tunafanya manunuzi na kutuma bongo...usafiri wa meli unatumia siku 30-35 kufika TZ,usafiri wa ndege unatumia siku 10-14 wanacharge U$13 kwa Kg 1 kufika TZ,lakini kutokana na gharama za usafiri wa ndege na ukosefu wa ndege za mara kwa mara kwa sababu ya janga la korona wengi tunawashauri kutumia meli.ukiwa na order yako full tunakuagizia moja kwa moja bila kusubiri order zingine, tunapatikana kimara mwisho karibuni sana =O. bonyeza ikupeleke WhatsApp Bei sawa na bure kabisa sio sawa na kariakoo https://chat.whatsapp.com/GLQJd1MdzgD3700qEcfmWK

Est. 2020 📍 milly
Multipurpose items

phone accessories Celltone lotion Mashati na Masweta ya kiume Perfumes Viatu Handbags Lingeries

Est. 2020 📍 kimara mwisho
Lee lingerie and accessories

Chupi za kike aina zote Necklace Bracelets Earlings Mikanda(belts) Etc

Est. 2020 📍 Gongo la mboto
Insects and pest with airfresh supply

Uuzajii wa bidhaa mbalimbali za kuwaua wadudu mbalimbali warukaoo pamoja na wanaotambaa najumbanii,maofisini,pamoja na madukani piaa tunauza na bidhaa za airfresh za chooni pamoja na mabafuni.

Est. 2019 📍 Mtaa wa kamata karikoo
Kanyi Welding work

UFUNDI

Est. 2013 📍 freemanombenmwanga@gmail.com
UANDISHI WA RESEARCH, PROJECTS NA ASSIGNMENTS ZA CHUO

Karibu tukusaidie kuandika research, kukusanya data, kuchakata (analysis), kutafsiri na kuhariri(proofread) kazi yako. Pia tuna andika projects, CV, na assignments mbalimbali.

Est. 2016 📍 CHINA PLAZA
BUYUNI BEES

Asali Nta Chavua Gundi ya nyuki Sumu ya nyuki Uchavushaji wa mazao Ushuri na utaalamu kuhusu mradi wa nyuki.

Est. 2017 📍 Kibamba
Kungwi

Kufundisha au kuhusiana maswala ya ndoa

Est. 2018 📍 Fatma shija
palmvillage mikocheni

Palm village of dream waterfront located at the prime beachside of this area. In addition to an easy access to the stunning white sand beach, in Mikocheni you can easily find convenient shops, numerous restaurants and excellent also affrordable prices!

Est. 2015 📍 Palm village shopping mall
Kimaro food supplier

uuzaji wa nafaka

Est. 2020 📍 vijibweni ccm
KINANAWA AFRICAN STYLES

clothes, hand bag

Est. 2012 📍 tank bovu
MAPOSH AUTO SPARE PARTS

Tunauza spea za magari yote madogo ya Japan na Ulaya

Est. 2019 📍 Machinga COMPLEX
JJ__WONDERS

Tunauza vitu vya aina zotee vinavohusu wanawake kama pochi, perfume,wallets,underwears, jewells na vingine vingi na kwa wanaume tuna perfume zote za kiume.

Est. 2020 📍 Mbezi mwisho
pochi,viatu mtumba grade one(A) kwa bei nafuu kabisa

Kwa handbags na viatu vizuri vya mtumba high quality (grade one(A))karibu sana wasiliana nami kwa namba 0718676962......au tembelea page yangu nyingine ya instagram kwa maelezo na picha zaidi @___alicia_trends

Est. 2020 📍 tungi
WONDERFUL GROUP COMPANY

machine za kuondoa chumvi ktk maji

Est. 2012 📍 AFRIKANA
NEMU ELECTRONIC,SERVICES & GENERAL SUPPLIES

-Kuuza vifaa vya umeme aina zote -Kuweka mfumo wa umeme majumbani na viwandani. -Ukarabati wa mfumo wa umeme . -Kutoa ushauri wa bure kuhusu mfumo wa umeme majumbani na viwandani.

Est. 2017 📍 Kisukuru
Mangi shop

Biashara duka la vyakula kwa reja reja na baadhi ya vitu kwa jumla.

Est. 2020 📍 chasimba
zanzibarspices

vingo Pilau masala na tea masala

Est. 2020 📍 mr9133517@gmail.com
JBRY DESIGNERS

Graphics design: logo, posters, billboard, flyers, brochures, cards, calendar, books, notebooks, T-shirt printing etc

Est. 2017 📍 JBRY DESIGNERS
papaelly tyre center

tyre, battery, rims,

Est. 2019 📍 elisantemollel1997@gmail.com
bestlaptopTz

Uuzaji wa laptop na desktop

Est. 2017 📍 karume machinga complex ilala
UREMBO /SAA

Bidhaa zaukweli ukweli

Est. 2019 📍 Main door DDC KKOO
Kitchen Deals TZ

Wauzaji wa vyombo vya jikoni kwa bei nafuu sana. We sell all types of kitchenware at very affordable prices

Est. 2020 📍 Makumbusho
Hassan Maalim

Tunauza simu original na vifaa vya simu charger earphone headphone vyote original karibuni sana. uaminifu kwetu ndo nyumbani...

Est. 2014 📍 china plaza
Palace property limited

TUNAUZA NA KUKOPESHA MASHAMBA NA VIWANJA VILIVYOPIMWA

Est. 2020 📍 sirilashirima97@gmail.com
AGRIBIZ_HOMECARE

Mbolea na bidhaa za usafi

Est. 2020 📍 online
Gypsum decoration

designer

Est. 2020 📍 kaliakoo Gelezani
mtumba quality

nguo za mtumba za watoto

Est. 2019 📍 Tabata kimanga
techpower1

earphones, smartwatch na vifaa vya technology

Est. 2019 📍 mlimani city
Plutnumz Furniture

Kutengeneza Nakuuza Furniture Mbali Mbali Kama Makabati, Vitanda, TV stend Yani showcase, Masofa, Showrack, Kitchen cabinets N. k

Est. 2020 📍 Mwembeni
JAYDEN COLLECTION

PAZIA,SHUKA,NETI,MIKOBA,VITENGE,VIATU,ULEMBO WA NDANI

Est. 2017 📍 joycesamwel065@gmail.com
PNR WATER DRILLING COMPANY

water survey (kupima) well drilling (kuchimba) flashing (kusafisha) pump installation(kufunga pump)

Est. 2007 📍 waterdrilling23@gmail.com
Madiba aluminium&glass

Tunatengeneza ?Madirisha ya aluminium ?Milango ?Partition ?Makabati ?Balcony ?Vioo vya saloon Wasiliana nasi?0765110431

Est. 2000 📍 Tegeta kwandevu
UNGA WA MBEGU ZA MABOGA

Tunafanya delivery ndani ya mkoa wa Dar , kwa bei nafuu kabisa grm 500 , sh 4,000/= kwa pact moja unatoa order kuanzia teno ili uletewe ulipo.. Ni unga safi uliochekechwa vizuri, ni bora na haujachanganywa na kitu.

Est. 2020 📍 Free delivery
Chia seeds(mbegu za chia)

Wauzaji wa mbegu za chia safi zisizo na mchanga,tunauza mbegu za chia kwa bei nafuu 10,000 kwa 1kg

Est. 2020 📍 Mbezi msigani malamba mawili
URIO CAR CLINIC

Clinic ya magari, tunafanya service, repair na adjustment za magari. Tunabei nzuri na ubora wetu ni wa hali ya juu. Tupo kimara Bucha - kuelekea serikali ya mtaa.

Est. 2017 📍 Bucha karibu na Kamwala
Fahari champion

*XPRESS FIL* *Wekeza na EXPRESS fil* *ni kimbilio letu watanzania* *tsh 5000* *kiingilio* *kinachokuwezesha* *kupata mafunzo ya ujasirimali na biashara yanayofanyika kwa mtandao na ana kwa ana usajili utafanyika kwa njia ya mtandao.* ???????? *Ma

Est. 2018 📍 Magomeni