Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Natengeneza furniture za aina mbalimbali, za mbao na chuma, nakabati, vitanda, makochi, mageti, Madilisha, stand ya tv, wallpaper za mbao lamp table, taa za urembo n.k
niwauzaji wa nguo,viatu, mikoba jumla na rejareja,pia tunatuma mikoa yote tanzania na nchi jirani
We are an architectural firm based in Tanzania delivering practical and sustainable design solutions to public and private clients.
Wauzaji wa nguo, mtumba grade 1, viatu na mikoba grade 1 toka turkey. Karibuni sana
tunashona nguo za aina zote za kike na za kiume na za sherehe mbali mbali
pochi,wallet,saa,blender,viatu,tishir,mazuria,wallpapers,slipers,,NK..
Niwauzaji wa biashara mbalimbali ikiwemo vyombo vya plastic nivijana mahiri sana wachapa kazi na niwazoefu nakazi zao pia wanasifa za kuwahendo wateja na wanafanya biashara mikoa mbalimbali gharama zao ni nafuu sana pia wana fanya na biashara ya online.
logo design & graphifix ,na mabango ya Biashara send-off na birthday
Karibu Katika Gulio La Simu Janja Tanzania Kwa Manunuzi ya Simu Janja/Smartphone Tembelea Instagram/Facebook Jina Ni Guliolasimu Call/WhatsApp= 0769 441 045
tunabadilisha vioo vya simu aina zote na (matatizo madogo) / we are fixing all kind of mobile phones lcd and (small problems)
FUNDI UMEME WA MAJUMBANI,WIRING INSTALATION,WIRING MENTANANCE,EARTH PROBLEM,TO INTALL DIFERENT ACCESORIES IN ELECTRICAL WORK EAMPLE SILLING FAN,SWITCH SOCKET,LAMP SWITCH,AND SELL AND ISTALL DIFFERENT DECORATION LAMP.
Nguo za kike
Kwa wale wahitaji wa t-shet / magauni original ya fashion kwa jumla na reja reja yanapatikan kwa bei poa
Jezy za team. Magari Spare za magari. Battery za magari Oil za magari Matairi ya magari.
majiko ya gesi brendar
Huduma ya makeup kwa maharusi,wageni waalikwa na wadada wanaopenda kupendeza
Ni wauzaji wa vyombo vya nyumbani aina zote
Dalali wa nyumba
Ni sabuni ya asili ambayo inasaidia kwa watu wenye shida ya ngozi pia hata ambao hawana shida wanatumia pia ili kupata muonekano mzuri zaidi wa ngozi yako.
.Tour operators activities .Short term accommodations activities .Creative,arts & entertainment
Tunahusika na decoration zenye ubora na zenye kiwango cha juu,pia tunafanya skiming,finishing za rangi na tiles kwa gharama nafuu sana.
Vifa vya Aina Zote Vya Michezo
furniture,vyombo,electronic
Nguo za kiume tuna uza online And za kijanja kabisa pamba Kali Tuna uza Jumla na reja reja Tupo buza kwa lulenge #CHIPA_Outffites
Bidhaa mbalimbali
VIFAA VYA MICHEZO NGUO NA VIATU
Mabati, kofia, vale, misumali
Wauzaji wa bidhaa za kike nguo, viatu, pochi etc zenye ubora kwa bei nafuu
Kuagiza magar madogo na makubwa Uuzaji wa magar Uuzaji wa vifaa vya kieletronic km TV, friji, freezer etc
Ni biashara inayojihusisha na upishi wa keki aina mbalimbali za shughuli mbalimbali pamoja na vitafunwa .
UTENGENEZAJ WA MADIRISHA MILANGO MAKABATI NK
Ninatoa Mafunzo ya Kompyuta na Mtandao kwa Njia ya Mtandao na ana kwa ana. Mafunzo ya Website Design, Graphic Design, Ms Office na Facebook Marketing
kwa gypsum design ya kisasa ya na muonekano mzuri karibu mazqjuma gypsum design nichek 0659761379
Ojanto_Ocl tuna tengeneza na kusambaza viungo vya chakula kama, Pilau masala,Tea masala,Tangawizi,Iliki, Mdalasini na Pilipilimanga. Pia tunatoa huduma za usafi wa mazingira kama vile Nyumbampya,Maofisini,Godauni, Mashuleni na ungarishaj wa sink za choo
Kwa Mahitaji ya kubland Biashara, Bidhaa, Career ( kama Music, Filamu n.k) 1. *Logo* 2. *bussines Card* 3. *Roll Up Banner* 4. *Flyer* 5. *Poster* 6. *Filam & Music ArtWork( Cover )* 7. *Product Label* 8. *Delivery Sticker* *KARIBUNI SANA
Pam collection
UUZAJI WA NYUMBA, VIWANJA MASHAMBA, KUPANGISHA NYUMBA,VYUMBA SEHEMU MBALI MBALI DAR ES SALAAM
Tunauza bidhaa mbalimbali Mpya{new} Za zamani{used} Tunatuma pia mikoa yote kwa gharama nafuu
Watengenezaji wa furniture mbalimbali karibuni sana kwa maitaji ya furniture za majumbani ma ofisin salon kwenye maduka .nk.
cakes for all occasions