Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
mbao aina zote, mirunda aina zote. mabati aina zote, gypsum body, mchanga, kokoto .kwa Bei nzuri,. tunajali nakuthamin wateja wetu....
Mafuta ya nywele(castor oil) Bidhaa za usafi Bidhaa za kilimo
Wauzaji wa nguo za kiume za aina zote
Queenvitenge tunauza vitenge 100% cotton havichuji wala kupauka. Tunauza jumla 25,000 kuanzia vitenge 5 na rejareja 30,000. Mawasiliano 0714898481
Milango, kitchen cabinets, dining table mbao mkongo na mninga
Karibu ujipatie cakes za Aina mbalimbal na bites ????????????
Napaua
Tunatoa mikopo kwa dhamana ya gari pia tunauza magari Aina zote na kufanya clearing and forwading.
Wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa bora ya BINGO TROPICAL ICE CANDY katika ladha tofauti.
Kimbilio general traders LTD ni kampuni inayotengeneza bidhaa tofauti ambazo ni karamela peanut butter,karamela Tea masala, Karamela Pilau Masala pamoja na karamela remover JIK karibuni Bei zetu ziko POA
Bin Issa Food Products.. wauzaji wa jumla na reja reja kwa mahitaji ya Unga safi wa sembe, Dona, mahindi ya makande .. wasiliana nasi kwa simu no. 0714 333784
sabuni za maji aina zote,shower jelly,multipurpose,disinifectant,hand wash,bleach au dawa ya madoa kwa nguo nyeupe,tiles cleaner maalum kwa masink,jakuzi n tiles ziizoubaa. Mafuta mwali ya nazi kwa matumizi ya kupikia,kupaka mwilini na kichwani,kunywa nk.
mapambo ya majumbani na ofisini
umeme
PIKIPIKI NA BAJAJI USED
Business Development Services - Business Plan, Proposal and Financial Analysis.
Online store: Tunauza Handbags,Viatu,Wallets,Frames za miwani,saa,sandals,heleni,cheni,Frames za picha
Vifaa vya hospitali na maabara na shule
viwanja vinapatikana makazi mapya Kiluvya madukani umeme maji yapo kuanzia million 1.7 nk
uzaji wa viwanja, nyumba,mashamba,kupangisha nyumba.godown,na yard
unga wa lishe na viungo vya chakula
zabibu
uuzaji wa viatu
tunauza michezo ya watoto
Nguo za mitumba za watoto wadada wamama na mashati ya kina kaka pamoja na mashuka mazuri na mapazia vyote vya mtumba grade one
Wauzaji na wasambazaji wa vipodozi aina zote
WE DEAL WITH: IMPORT AND SALE OF CARS ? | ACCESSORIES| SPECIAL VEHICLES| EQUIPMENT& MACHINES|TECHNO.SOLUTIONS PHONE | 0712908015 | 0738921539
-Imported second hands items and new items.
Niuzaji wa madera ya aina yote. Tunauza manukato ya kinadada na wababa. Nanguo za watoto za mtumba grade1 zipo kwa bei nzur kabisaa karibuni sana
vitu vingi vitokanavyo na Kitenge
Nguo za kike, viatu na pochi,urembo
ushereheshaji (Mc) upambaji wa kumbi za sherehe music Kukuandalia sherehe yako nzima
Tunatengea na Kuuza viti vya Culture, Pia tunafanya repairs #Decorote your home with Us
Jipatie Unga wa Dona Unga wa Lishe Unga Wa Muhogo Unga wa Mtama Unga wa Mchele Sabuni za Usafi Sabuni Asili ya Uso Bidhaa zetu ni Fresh wakati wote Tunazingatia Usafi kwa usalama wa afya ya mlaji Tunafanya delivery popote kwa bei nafuu sana Simu: 0788288589
Tunauza samaki fresh jumla n rejareja tunapatika mission kona y kuelekea kijichi Karibun pia tunapokea order n tunafanya derivery....
ninauza magari namaanisha dalali kwa magari mazuri used na cheeses karibu
Tunauza viatu, handbags na hereni. Jumla na rejareja Delivery ipo unaletewa popote ulipo kwa uaminifu.
Plugstore._ tunafanya biashara ya mtandaoni (online) Tunauza Nguo Za kiume za aina mbalimbali na viatu mbalimbali Bei zetu ni Nafuu Pia tunakuletea mzigo wako popote ulipo (delivery) kwa bei nafuu kabisa Karibuni Sana Kwa huduma za Uwaminifu .
MAUZO YA VINGAMUZI & UFUNDI MADISHI
nauza nguo online kupitia Instagram .WhatsApp ( Instagram account name (, haggy_outfitz_store )WhatsApp no 0783143489 follow me Instagram or cheak me WhatsApp