Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
aluminum upvc windows and doors balusters
Tunatoa huduma za graphics design, video editing, photoshoot Web Design and Development, Branding, tuna design vifungashio (packges) mbalimbali na Digital Printing
jozz events plan tunajiusisha na maswala ya mapambo na vyakula kwenye masherehe na tafrija mbalimbali kwa ubora na usafi zaidi
tunatoa huduma za bima za aina zote
Tunauza nyumba bei nafuu
Tv ,Radi ,Fridge ,na Vyombo vya ndani
Uuzaji na Ufungaji wa vifaa vya Solar,Backups, na Wiring za umeme.
Inajihusisha na huduma ya virutubisho asilia vinavoweza kusuluhisha matatizo ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke, pamoja na afya ya mtoto.
Uuzaji wa kuku wa aina zote
Ni watengenezaji wa madirisha, milango, partition za maofisi, makabati ya chips, makabati ya biashara mf. sonara, maduka ya sim, pia tunatengeneza mashelfu ya phamacy vioo vya saloo pia tunauza na vioo vya aina zote
uuzaji Wa magari, ufundi wa magari
Tunauza Mapazia Mashuka Bomba za Pazia Neti Duvert Cover Blanket
Tunauza smartwatches( Saa za kisasa) ambazo:Zina Support Bluetooth, Calls and Receiving Calls from Android/IOS phones > Both for Men and Women > Zinafanya fitness tracking(Umbali uliokimbia/kutembea) > Blood pressure,Heart rate monitoring
Tunatoa huduma ya ukumbi wa kisasa kabisa uitwao BRIGHTSTONE HALL tunatoa huduma zote za chakula mapambo na vinywaji mawasiliano 0656349292 au 0679971920. Bei zetu poa kabisa karibuni sana tuwahudumie huduma zetu zipo poa kabisa mnakaribishwa sana
Fresh cake bakes Wedding Cakes, Happy birthday cakes, We makes Cakes for any occasions
Kunyoa na Kupendeza
bisiness furniture
Arts and Decor
Tunauza mashuka ya cotton nzito,size 7×8, Shuka mbili mbili folonya nne. Unaletewa ulipo Kwa gharama zako.Pia kuna cover za sofa,mapazia, mito,net n.k bei karibu na za kiwandani.
Nafundisha mapishi aina yote kwa ada nafuu kabisa na kusupply bites
Tuna tengeneza na kuuza samani za ndani (Furniture). Kama vile, Milango ya Nyumba, Frem za Milango, Makabati, Vitanda, Viti, Meza, Sofa, Kitchen, Show case...N.K....Karibuni sana.
TUNAUNZA VIATU VYA KIKE AINA ZOTE JUMLA NA REJAREJA TUNATUMA MIKOA YOTE ZANZIBAR NA NCHI JIRANI
mattress, mosquito net,foam products,
urembo,tea masala,bidhaa za usafi na afya
Ni nauza nguo, mikoba na perfume
we are dealing with your needs
Pata nguo nzuri na zakijanja za aina zote kwa watoto wakike ,pochi kali ,viatu vikali upendeze mjini ❤❤
Wauzaji wa viatu vya wanawake na watoto jumla na rejareja follow me watsap #0752576129 @instagram Care_new_shoes_kariakoo
Tuna weka skin cover za laptop na simu, tablets pamoja na Ipads. Cover za laptop tunaweka kwa elf 20 Full, kuweka nyuma au mbele pekee ina kua Elf 15, simu aina zote tunaweka kwa tsh. 5,000 tu, Tablets na Ipad Tsh. 10. Call 0652712371
Nauza nafaka zoote .ikiwemo na mchele super grade 1 kutoka mbeya jumla na reja reja
uuzaji wa magari
Declaration of import and export of goods eg cars, containers and others
We are Cleaners dealing with Janitorial and Commercial cleaning services Fumigation Services Gardening Services Move in and Move out Cushion and Carpet Washing
Natengeneza Madirisha milango partition makabati ya alluminium na pvc Karibu upate kazi Safi na haraka ili ubadirishe muonekano wa nyumba yako.
Karibu ujipatie clips za ndizi,viazi, kokoto na tambi za dengu bidhaa zetu ni bora na tamu sana toa oda yako uletewe ulipo piga simu 0713051626 Karibu
Tunafanya marketing kwa makampuni ama biashara za mtu mojamoja pia tunatoa ushauri wa kibiashara, KARIBUNI.
Handmade batiki kwa ajili ya kushona nguo ya mshono wowote. Batiki hizi ni pure cotton 100% Nzuri na hazichuji.. Zinapatikana kwa jumla na rejareja..
Anandi ni wauzaji maarufu wa sausage tamu kutoka Peramiho Songea. Tunapatikana Dsm Mbezi beach tunauza jumla na rejareja kwa wateja wa Dar tunafanya delivery lakini mikoani pia tunatuma na hata nchi za nje tunakufikishia mzigo karibuni sana sana Anandi.
Rewards Freelancers tunatoa huduma za uandaaji wa: 1: Research Papers 2: Field Report 3: Company Profile 4: Matangazo ya biashara (Video & Images) Pia tunatoa huduma za Translation kwa documents mbalimbali, Transcription, Caption na Subtitling.
We are selling mens and womens shoes(based on sneakers) of all kind and ages.