Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Camera na Vifaa vya Camera.
Uuzaji wa bidhaa mbalimbali kam vile vifaa vya photograph na videograph kwa jumla. -tunakusaidia mwenye camera yako kukuuzia kwa muda mfupi sana. -home appliances/vifaa vya majumbani -used cars aina zote pamoja na uagizaji wa magari nje ya nchi -wasiliana NASI kwa namba 0764671038 au 0676288683 IG#ELECTROPLUGLIMITED FB page ELECTRO_PLUG LIMITED karibuni sana.
SWIMMING LESSONS AND SELLENG SWIMMING GEARS
Simu used na mbovu
Mabati Bora ya rangi IT 5(mgongo mpana) corrugated ( mgongo mdogo) na versal tile (bati mfano wa kigae na bati za vipimo mahalumu g30 na g28.
uuzaji wa nguo za kiume
Natengeneza laini ya uwakala was halopesa .tigo.pesa.airtel.money.m.pesa.
Nauza kuku wa kienyeji pure,bloiler na waliokoma kutaga
Mnada wa magari
Waizaji wa nguo jumla na rejareja We dont product also we sell trust
Tuna tengeza sofa mpya Tuna balisha kitamba kwa sofa zilizo chakaaPia tuna uza sofa mpyaMawasiliano0656371381
napika cake za aina mbalimbali
mobile Application
What we provide: . Air system components . Brakes system . Cab, body and collision . Drive system (Transmission, Differential) . Engine components . Lighting and electrical . Undercarriage axles and suspension We are based in Daresalaam.
Branding of all materials and a graphic designer. T-shirts Caps Cups Banners Business cards Logos Brochures Reciepts Flyers
Furniture za ndani
TUPO KARIAKOO MTAA WA GOGO TUNAUZA VIFAA VYA UMEME PIA TUNAO MAFUNDI UMEME WALIOKIZI VIWANGO KWENYE MASUALA YA UMEME,TUNAFANYA WAYARING (WIRING) KWENYE NYUMBA,GOLOFANI NA SEHEMU ZOTE TUNALEKEBISHA,TUNATOA USHAURI WA MASUALA YA UMEME NA VIFAA BORA UNAVYOTAKIWA KUVITUMIA
Nachora tattoo kwa machine Nip dar es salaam Ni permanent tattoo 0676572367
viatu vya kiume na vya kike na nguo za kiume na zakike
car seat cover
Smile we care ni ujasiliamali unaofanywa na watu walio na kipato Cha chini kupata elimu ya ujasiliamali bure na kuwekeza kiasi kidgo Cha fedha hatimaye kujiinua kiuchumi walio wengi wamefanikiwa kupitia SMILE WE CARE INTERNATIONAL, kwa Elimu yoyote unaruhusiwa kujiunga.
Electronics,ict equipments,stationary equipments,phones,
Kwa wale wahitaji wa viwanja katika mkoa wa pwani /kibaha wanaweza kuwasiliana nami kwa simu na 0767959556
UUZAJI WA MAZULIA AINA ZOTE
Ufugaji na Vyakula vya Mifugo.
Tunawasidia watu wanaoitajikupungua uzito na kuondoa kitambi .
Nauza unga wa muhogo,samaki aina ya kambale, maziwa fresh na mgando.Pia natoa elimu ya kilimo na mifugo na kuandaa project za kilimo na mifugo. Karibuni sana.
Kuanzisha dread,kuripea na kusokota,dread locs,,kusuka afroking,kubana style mbalimbali...Make up..Nails nk
Tuna uza Bidhaa mbalimbali zinasotibu magonjwa sugu Kama Kisukari Kansa Pressure nk
Tunauza vitenge vizur,pure cotton 3pcs/6yard kutoka Congo
Mageti, vitanda,madirisha sofa, nk
HOME ELECTRONICS
Tunauza na kutoa ushauri wa ngozi yako
cafe Tea shop restaurant
Vitanda,Dreesing table,viti,meza,makabati,Mageti,madirisha,Enga za mikoba na viatu nk
Uuzaji na upangishaji wa nyumba na viwanja
Alarm za magari, Radio za magari, Seat cover, Backup Camera, Headrest monitor, gps vehicle tracking, Tinted, Carpet.
Neyvirgin coconut oil ni mafuta ya nazi yasiyopikwa wala kuwekwa kemikali,yanafaa kwa matumizi yote ya nyumbani kupaka,kupikia nk,hutumiwa na rika zote. pia utapata appertizer ni pilipil inayokupa radha nzur
Ni wauzaji wa bidhaa mbali mbali za jinsia ya kiume mtandaoni kama mashati, suruali, viatu, na accesories zote za kiume kwa rejareja na jumla
Tunapangisha nyumba na apartment maeneo mbali mbali ya jiji la dar es salaam