Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
CCTV camera Electric fence Gatemotors Intercom system 4G Routers Androidbox
Tunauza na kununa magari Mapya na yaliyotumika Kama unahitaji kuuza ama kununua gari yako tupigie 0710241364 0784973796 Tunapatikana magomeni
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora vijijini kwa bei nafuu sana Tunauza Jumla na rejareja Lita1=10000 Nusu=5000 Robo=2500
mapambo ya ndani,mapazia ,mashuka ,mauwa faniture ,mapambo yote ya ndani
Uuzaji wa MAGODORO, Foam spring orthopedic ( kwaajili ya wagonjwa wa mgongo)
madirisha,milango,makabati, partition vioo
Tunatoa huduma ya kuuza na kununua Viwanja, Mashamba katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam Tupo: Kibamba Njia-Panda
Tunafungulia hotels,makampuni ya utalii ,migahawa na biashara za mitandaoni akaunti za Google my Business,Trip advisr ,Booking .com,Expedia ,Hostel World,Website na AirBnB.Pia tunahifadhi mizigo ya watalii.
utengenezaji na uuzaji wa Furniture materials Mfano, Sofa, vitanda, armchair Nk
Electrical services
Tunachimba Visima tunafanya serves na kulipea visima vya zamani
car service
Biashara hii ni biashara ya mtandao, ambayo kila mtu anaweza kuifanya na ikamletea mafanikio makubwa
Afya,Usafi kwa Ujumla,Kupunguza/Kuongeza uzito na Mbolea.
Tunauza farniture mbalimbali
furniture aina zote
Wauzaji wa bidhaa mbalimbali kwa ajili yako nyumbani,kama vile tv,radio, home theater, fridge, electric cooker and gas cooker,nk
Maria newhope & sweet product INAWALETEA Alvin cake kwa Bei ya Mia tano (500) moja na Bei ya shilingi elfu mbili (2000) 3 zikiwa kwenye packet yake. ALVIN KARANGA pia zipo kwa Bei ya Mia tano tu packet 1.na tuna mazulia bomba Safi Sana imara karibuni Sana.
TUNAUZA MFUMO KWA AJILI YA KUCHAKATA MAHESABU YA KIKUNDI (vicoba,) NA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA WANACHAMA
E .J furniture niwatengenezaji na wauza wa furniture mbali mbali kwa mategenezi ya uhakika katibu mikono salama E.J furniture
tiba na virutubisho lishe vya binadamu
Ni pilipili asilia kabisa isiyo na kemikali ninatengeneza mwenywe na ndo naanza ujasiriliamali nahitaji sana sapoti kutoka sehemu mbalimbali
Car hire for weddings, corporate companies, ceremonies, trips and special events Kukodisha magari kwa harusi, makampuni, sherehe, safari and matukio maalumu
ufundi
uuzaji wa computer na vifaa vyake pia tunafanyaje repair and maintenance
Tunauza mchele mzuri kutoka mbeya, morogoro na shinyanga kwa bei nzuri sana 1800/=reja reja pamoja na derivery kuanzia kilo 30tunakuletea mpaka nyumbani.
Saa, mikanda, mchele na maziwa mtindi
computer seller
Kiganjani Co. provides web development, web design and internet marketing services to SMEs.
Waagizaji na Wauzaji wa Magari kutoka Japan,Uingeleza na Marekani... Piah tunafanya Exchange na gari Yako iliyotumika kama Sehem Ya Biashara kama unahitaj Gari nyingine... Tunapatikana Magomen Mapipa na Manzese TipTop...
Tunarekebisha simu mbovu, tunauza spaea mbalimbali. Kama touch screen, complete LCD, charging system, screen protector na vitu vingine vya simu.
nyumba .office godaun.nk
Nguo, viatu na Rasta
Tunauza mayai ya kanga, ya kuku wa kienyeji, asali mbichi na mafuta ya alizeti toka singida
Wauzaji pamba Kali za kijanja mjini
Pojo_home inahusika na mahitaji yote ya nyumbani.Mambo ya jikoni,sebleni,bafuni,vyumbani na haya garden.
bidhaa za afya na muonekano bidhaa za kupunguza uzito
wauzaji wa laptop na accessories&repair
Welcome to princebooshop were located at dar free market shop no f 39 were selling all tips of books kids books business books novels cookery books inspiration books history books kids all ages from 0+ and many more we also deliveries thanks na karibu
Tuna zarisha aina zote za printings promotion materials, bunners, stickers nk, pamoja na branding, Roadshows , na kwasasa tumefungua kiwanda cha kuzarisha Nguo Kama Tsherts plan,sharts , school uniform ,n.k tunakukaribisha tupo kijitonyama karibu Sana.