Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 52 of 69
Kipata Machinery

Bati za Kigae zinapatika kwa wingi na Zenye kudumu zaidi ya miaka 50 warranty bila kupauka wala kupata kutu. Kuna aina tatu za Bati -: 1.) Made in China - bei yake 14,000/= 2.) Made in South Africa - bei yake 18,000/= 3.) Made in Switzerland - bei yake.

Est. 2009 📍 Swahili na Kipata
MyBusiness Web Application

Mfumo utakao kusudaia kurahisi majukumu ya Biashara yako na kutunza kumbukumbu, kukupa taarifa ya siku mwezi na mwaka

Est. 2019 📍 CoICT Bamaga
Pangodotcom

Kusaidia watu kufikia malengo yao juu ya kuuza,kununua, kupangisha vitu vifuatavyo viwanja,nyumba, godowns na Mashimba

Est. 2019 📍 Posta
kitchen_utensils_tz

Tunaoza vifaa vya keki na Vyombo kwa bei nafuu sana

Est. 2018 📍 machinga complex, Karume
Mini super market

A convenient store with low prices working 18hrs at mikocheni,senga road.

Est. 2020 📍 Kwa ridhwan
Mauzo ya pikipiki

Car and motorcycle seller

Est. 2020 📍 Charambe kwambiku
Ally Auto Garage spare part

Welcome for servicing and repairs original parts Auto electronics and diagnoss brakes repaint body worky full computers diagnoss a/c system.car 0717035247:0746667199

Est. 2010 📍 Auto Garage spare part
Real Estate

Upimaji wa Viwanja, kuuza Viwanja ,kununua nyumba na kuuza, kupangisha nyumba n.k

Est. 2010 📍 Kigamboni
Mzee baba store

We are dealing with phone & its accesories(Iphone & Samsung) Such as Original phone charger,phone cases,protector & other eletronics

Est. 2018 📍 Mwenge,Mpakan-mlalakua street
Jichen-store

Non and wireless earphones Smart phone ? Fashion ? Delivery ?

Est. 2018 📍 Mlalakua
vitenge

Nauza vitenge Original Aina tofaut tofaut

Est. 2020 📍 Online Business
EPIC BR

Tunatoa huduma za utumishi na ajira. Mafunzo kwa wafanyakazi. Kutengeneza sera za utumishi kulingana na sheria as kazi nchini. Tutembelee www.epicbr.co.tz

Est. 2008 📍 Mwenge Tower
Alhabib Bontel Tanzania

Biashara ya yangu inajihusisha na kuuza simu.

Est. 2015 📍 Aggrey
kids choice

Vitu vya watoto kuanzia 0_5 yrs

Est. 2018 📍 kibamba njia panda
Karasim timber

Tunauza mbao aina zote tupo buguruni chama karibu

Est. 2019 📍 Buguruni chama
Juniortwin digital ltd

Sisi tunashughulika na eletronics yaani home applience kama vile tvs, hometheater, fridge, majiko stand na yamezani, wall bracket, AC n.k. Tupo kariakoo mtaa wa uhuru na sikukuui, karibuni sana

Est. 2010 📍 Old Zenufa
Azzardmotorparts

We sell motorbike ? parts BM, TVS, GN AND CG

Est. 2015 📍 Donge & nyamwezi kariakoo
hilda_paperflowers_decor

Natengeneza paperflowers kwa ajili ya mapambo. Unaweza kupamba kwenye event mbalimbali Kama vile harusi, send-off, kitchen party, birthday, sitting room yako nk

Est. 2019 📍 Toangoma
Duka la Nguo

Hii ni biashara ya duka la nguo za watoto ni nguo Quality kutoka Uturukina na China.

Est. 2018 📍 Kitunda Matembere ya kwanza
Shedrack classic Beauty Salon

Tunausika na upambaji maharusi kutengeneza mitindo yote ya nywele pia yunaweka dawa kwenye nywele. pia tunauza Tait zakike kwabei poa kabisa. Tunasuka nywele mitindo yote

Est. 2015 📍 Biashara yangu inapatikana Tegeta Nyaishozi Machakani
sinta sona beauty soap

Hizi ni sabuni nzr sana kwa watu wenye chunusi,harara,wenye harufu kwapan inaondoa pia weusi kwapan na mapajan inaondoa weusi kwa walioungua na cream wenye mba pia hata watoto wenye vipele vya joto inawasaidia kwa akina kaka mapele ya ndevu pia inatoa

Est. 2020 📍 mbezi mwisho
health_weightconsultanttz

Health and beauty awareness #am strong#am health#am looking good#handsome/beautiful#

Est. 2007 📍 Victoria
Bryna_bridal

We sell:- Wedding dresses, send off dresses, flower girls dresses, formal and casual outfits, evening dresses, suits and from head to toe accessories.

Est. 2019 📍 Mwipopo road, Tegeta A
Barakoa / Mask

Tunauza Barakoa / Mask za vitambaa pure cotton, kwa bei ya Tsh. 2,500 - 3,000/= Tunapatikana Kinondoni biafra. Mawasiliano Simu/ Whatsup 0765599955

Est. 2020 📍 Kinondoni Biafra
FransTrendz jewelries collection

Urembo(jewelry) na VYOMBO vya ndani 0744577104.. kwa jumla na rejareja.. BEI NAFUU ZAIDI

Est. 2016 📍 kariakoo
Dagaa wa kukukaanga Toka mwanza

Pata Dagaa Safi waliokaangwa toka mwanza, ndoo kubwa 45000,ndogo 30000 na kisado 15000,,tupo buguruni Sheri,, no 0689595191

Est. 2017 📍 Buguruni Sheri
excellent beauty nails saloon

Tunatoa huduma ya usafi wa kucha na urembo kwa maharusi na watu mbali mbali pia unaweza kutupigia kupitia namba yetu kwaajili ya huduma ukiitaji popote ulipo ndani ya Dar tunakufikia

Est. 2019 📍 Mabibo Hostel
intown mavazi

We sell for cheapest price

Est. 2018 📍 kariakoo
Teacher MCHOME the Legend WAKALA

TIGO Pesa M-Pesa AIRTEL Money & HALO Pesa

Est. 2020 📍 Chanika-Mwisho Soko la Mihogo
Prince cleaning products

Wauzaji na wasambazaji wa vitakashio, kama sabuni za kufuria, chooni, jk, shampoo za nywele na sabuni za kusafishia mikono

Est. 2019 📍 Tuangoma
NASIA CONSULT LIMITED

Lets help you in -: Asset Codification, Inventory Control, Fixed Asset Valuation, Asset Register Updating, Audit, Reconciliation

Est. 2007 📍 Kinondoni, Dar es Salaam
Kim online supplier

dealing with delivery of bites such as ubuyu, peanut butter

Est. 2020 📍 tabata road ,near by skyhall
Bf Suma Health

Health Consultants specialized in Dietary/nutritional Supplements.. We provide the best supplements available on the market..#jaliafya_ya_familia_yako

Est. 2015 📍 mikocheni
24hrs travel company

Tunatoa huduma za tiketi za ndege ndani na nje ya nchi kwa bei nafuu,urahisi zaidi na haraka zaidi.masaa 24.

Est. 2015 📍 Swahili Street
Olyshoppingtz

Online Shopping ! Tuna deal na Uuzaji wa Smartphone za Ulaya. America na Asia ..Bidhaa za Kudumu na Bora zenye uwezo wa kipeke.

Est. 2019 📍 Kariakoo Gerezan Somali Kipande
Uniquewelderstz

Sisi ni Mafundi tunatengeneza samani aina zote za chuma na mchanganyiko wa chuma na mbao

Est. 2016 📍 Kimara
Furniture

Mabingwa wa kuuza na kutengeneza furniture aina zote zinapatikana kwa odda usiache kututafuta whatsap no.0627516751

Est. 2020 📍 Keko furniture
Technology company

Computer mantainance & repair sales laptop & all computer accessories

Est. 2020 📍 machinga complex
DAHAL FASHION

we sell all types of garments & cosmetics & shoes & handbags.

Est. 2003 📍 KARIAKOO (MTAA WA TANDAMTI)
Mdau stiker

stiker

Est. 2018 📍 mlandizi maeneo ya keni