Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 50 of 69
Heath Empowerment

Afya

Est. 2020 📍 Mikocheni
JOS PRODUCTS

SABUNI NA VIPODOZI

Est. 2018 📍 Serikali ya mtaa Gezaulole
Asset Valuation

Asset Valuation, Asset Physical Verification, Asset Coding, Inventory Taking, Asset Register Preparation, Aluminium Asset Tags, Barcode reader/scanner and Barcode labels

Est. 2017 📍 Kinondoni
Hamis health product

Inajihusisha na utoaji wa tiba ya magojwa mbaalimbali kwa kutumia virutubisho lishe vitokanavyo na mimea,matunda na mbogamboga

Est. 2020 📍 Mlimani city
Korin Soap

Watengenezaji wa sabuni aina zote.(Hand wash, Sanitizer, Tiles Cleaner, sabuni za magadi Kigoma, Toilet Detargents, Dish washing Paste e.t.c)

Est. 2017 📍 Bonyokwa
charityshop

tunauza Mchele super, Maharage,Unga wa sembee na Dona na vyakula vya matumizi ya nyumbani

Est. 2020 📍 barabara ya mawasiliano kuelekea sinza
GNN ELECTRONICS

Electronics: TV, FRIDGES, MICROWAVE, WASHING MACHINE AND BRANDER

Est. 2018 📍 Kinondoni TX
RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA

- Ushauri na kusimamia ujenzi - Kuchora ramani - Kuandaa makadirio ya ujenzi (BOQ)

Est. 2010 📍 MAGOMENI MAPIPA mtaa wa Tambaza
Fumao

vitu vya aina mbalimbali

Est. 2020 📍 babashadya1@gmail.com
Kedi property company ltd

Tunauza viwanja vilivyopimwa na vyenye hati,tunanunua maeneo na kuyaendeleza Tunanunua nyumba na kuziuza au kuziendeleza Tunashughulika na umilikishaji wa ardhi na upimaji Tunaandaa michoro na kujenga nyumba Pia tunatoa ushauri kuhusu masuala ya ardhi

Est. 2019 📍 Makumbusho
ELCONSULTANCY SOLUTIONS

1. Tunaandika research proposals, reports ( Research consultancy) 2. Data analysis and interpretation 3. Business plans and Ideas. 4. Blogs creation and computer software 5. Online EDUCATION ,LOANS and JOBS application solutions 6. Reports writing

Est. 2019 📍 NIT
NL Consultants

Research Consultancy Dissertation & Thesis Proposal & Reports Quantitative Research Qualitative Research Data Analysis Articles & Papers Professional Editing ICT Solutions Online Applications Education Consultancy Employment Services Documents

Est. 2016 📍 External Ubungo
The_bliss_perfumes

Wauzaji wa perfumes original kutoka Dubai na France Perfume zetu ni brand na generics pia zinazokaa muda mrefu hadi masaa 72

Est. 2020 📍 Kanisa la pinda
Suma

Perfume za sansiro zinapatikana kwa bei ya Tshs 15,000. Harufu yake inakaa muda mrefu sana. Karibuni napatikana kwa namba 0713 454638

Est. 2019 📍 Makumbusho
precious stores

nguo, pafyum na mikoba

Est. 2020 📍 msikiti wa chihota, tandika sokoni
Bm Decor Shopping Center

Kwa nahitaji Ya mashuka mazuri na Ya Cotton 100% fika dukani kwetu Kariakoo mtaa wa Nyamwezi & mchikichi Au waweza wasiliana Nasi Kwa Simu +255717245490 --0787077507

Est. 2017 📍 Kariakoo
Nana Health Care

Tunajihusisha na kutoa Elimu kuhusu maswala ya Afya,Uchumi na Biashara

Est. 2018 📍 Fedha
wamambelee ink

management inayohusika kusimamia maswala ya wasanii kwenye muziki wa kizazi kipya

Est. 2020 📍 capzid ayee
Chuma technology

Kutengeneza bidhaa za Chuma kama vitanda mageti fensi balkon stendi za maua shoe rok grill n.k

Est. 2014 📍 kawe kanisani
MUHASU DOMESTIC HELPERS AGENT COMPANY LIMITED

Kusambaza wasaidizi wa kazi zote za nyumbani (house boys and house girls) kama vile kulea watoto,kupika,usafi,kutunza bustani,kufua na nyingine zote Pia wafanya usafi Maofisini na katikaa majengo ya aina zote

Est. 2020 📍 magogoni pc
uchimbaji wa visima

1) kuchimba kisima kirefu/kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo 2) kusafisha na marekebisho ya kisima 3) kufunga na matengenezo ya pump

Est. 2017 📍 Majimatitu
MANGINTOSH INC

we sale laptops, best new and refurbished laptops at affordable prices.

Est. 2018 📍 mwananyamala A
Dalali DSM

Kuuza magari,vyumba,nyumba na viwanja

Est. 2020 📍 TEGETA
sunking solar planet limeted

sola

Est. 2017 📍 mwenge lifungila
Fashion & Beauty

Tunauza mikoba mizuri. Tunapatikana Sinza Kamanyola,mkono wa kushoto tokea Shekilango baada ya daraja kuna bango limeandikwa Fashion & Beauty

Est. 2017 📍 Sinza Kamanyola
Jolly Products

Sabuni za maji Sabuni za mikono Tiles and Sink cleaner Sanitizers

Est. 2018 📍 Kimara Suka
Ufugaji !!!

Mafunzo ya ufugaji wa kisasa asa kuku wa aina zote pia tunauza vifaranga na incubator za kutotoleshea popote ulipo tunakuletea karibuni sana.

Est. 2015 📍 Banana
kidoti hair saloon

Saloon nguo za ndan nguo

Est. 2020 📍 kidoti mimi
UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU

TUNASHUGHULIKA NA UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU. PIA NATUNAFANYIA SERVICE VISIMA VYA ZAMANI. POPOTE NCHINI KWA BEI NAFUU KABISA. KARIBU TUKUHUDUMIE.

Est. 2005 📍 Ilala
Paulo Matelephone

Tunauza simu za aina zote jumla na rejareja ,na Pia tunatengeneza simu pamoja na computer

Est. 2019 📍 Mtaa wa uhuru
Gypsumonetanzania

GYPSUM ZA KISASA KWA KUTUMIA MKONGE(KATANI) NA SUPA SINA Itakupa fursa ya kukufanyia finishing ya nyumba yako kwa muonekano wa kisasa kwa bei sawa na bure.GYPSUM hii haiharibiki na moto wala na maji inadumumudamrefusanakulikogypsumyeyoteile

Est. 2016 📍 Tegeta kwa ndevu
afya palace

kuuza virutubisho mbalimbali vya kupunguza uzito, kutoa tatizo la nguvu za kiume na MANYAMA uzembe

Est. 2020 📍 afya palace
FUNDI UMEME WA MAJUMBANI NA VIWANDANI

Wiring installation, motor installation, utengenezaji wa majiko ya umeme, pasi, blender, mixer, microwave, heater, water pump nk

Est. 2012 📍 manzese
QJ exquisite looks

Tunauza nguo za mtumba grade A. Tunapatika kinondoni studio

Est. 2015 📍 Studio
Mkopo ndani ya Masaa 48

KWA mkopo was haraka na NAFUU zaidi wasiliana nami 0718944115, unapata mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari kwa riba NAFUU kabisa

Est. 2006 📍 Platinum credit
Matunda Spesho

Ni wauzaji wa matunda ya Strawberry, Raspberry, Blackberry, Blueberry, Gooseberry na Zabibu kwa bei ya jumla na rejareja. Tunapatikana Tabata Posta

Est. 2019 📍 Liwiti
Palace Property Limited

PALACE PROPERTY LIMITED

Est. 2018 📍 Mawasiliano
Paints

Tunachanganya rangi za magari,ferniture greel e.t.c Pamoja na matirio zote za kufanyia finishing gari yako na pia tunauza milango ya kichina na kutengeneza milango hiyo karibun sana

Est. 2005 📍 K/koo gerezani mtaa wa swahili na mbaruku
Healthy Forever Living Product

Forever living has the highest quality aloe vera product is recognized as the world leading multi-level marketing

Est. 1994 📍 Victoria tani house
Abc properties

viwanja ofisi mashamba

Est. 2020 📍 makumbusho jengo la acess bank