Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Fundi rangi wa nyumba napatikana mbezi ya kimara lnstgram napatikana reymond fundi rangi wa nyumba 1 au nicheki kwa namba 0765910241
Weneat_clothing wauzaji wa mashati makali ya mtumba grade1 high quality shirts for only 15k. Delivery inafanyika popote.
STC 30 ni dawa iliyotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ya STEM CELLS inayotibu magonjwa mbalimbali kama vile kisukari,pressure,magonjwa ya moyo,vidonda vya tumbo,na mengine mengi
RETECK STORE NI KAMPUNI INAYO JIHUSISHA NA KUUZA COMPUTER ZA APPLE MPYA NA USED PAMOJA NA SIMU KAMA IPHONE ORIGINAL SAMSUNG NA NOKIA
All events cakes Chocolates Cookies Shakes Hot drinks
Tunaagiza bidhaa za electronic nje hususa Vifaa kama Transistor, resistor, TIP, TDA, Kwa watu wa maduka na mafundi radio na TV.Karibuni tuwahudumie
Outfit Style
Outfits brands
Tunatengeneza nakuuza thamani za ndani yn vitanda,makabati ya jikoni na vyumbani meza za chakula milango masofa nk KARIBUNI JM FURNITURE KAWE BEACH
Tunauza samaki wa maji baridi kutoka ziwa victoria sato & sangara fresh (jumla & rejareja)
rahisi na haraka...
Biashara inahusika na kuuza vitenge, tshirts, mashati pamoja na perfume kwa wanaune na wanawake
Tigo Pesa, M-Pesa, NMB Agent, CRDB Agent, etc.
Dafus group Tunahusika na kuuza T-shirt plain T-shirt za vikundi## T-shirt za mashuleni## T-shirt za birthdays## T-shirt za couple## v neck t-shirt form six T-shirt pia tunahusika na kuuza chia seeds.
Miren Enterprises Dealer in all Phone Accessories
Tunauza bidhaa za kike viatu, mitandio, Abaya na handbag
We are dealing with houses roofing, Iron works(car parking shades, gates),clothing and packaging
Kwakipindi hichi cha corona Bado naendelea kupokea oda ya mitandio handbag ? vimono
Cleaning products Fertility kwa wanawake na wanaume Mbolea bora Virutubisho kwa watu wote na watoto
viatu vya kike kwa bei ya jumla na reja reja na mikoani tunatuma pia
Dealing with GPS Vehivle Tracking System(Vingamuzi vya magari)
CERENETTZ UKIJIUNGA NA CERENETTZ UNACHAGUA NA KOZI UITAKAYO SIDO 1--UTAPATA MAFUNZO YA BASHARA UJUZI WA KUTENGENEZA VITU MBALIMBALI BIMA YA AFYA PIKIPIKI MPYA NA GARI YOTE HAYO NA MENGINEYO UTAPATA KWA SH 25000 TU
REAM PAPERS, LEGAL PAPERS ALL OFFICE AND SCHOOL STATIONERIES
Sisi Tunajiusisha Na Uuzaji wa Unga Wa Majani ya mlonge na Mbegu zake,Chea Seeds,Asali zote Toka Tabora,Unga Wa Mucca
Tunajihusisha na upigaji Picha na Video za Habari, Harusi, Send-Off, Kitchen Party, Sherehe za Taasisi na Makampuni, Utengenezaji wa Filamu, Vipindi vya Televisheni, Documentary, Matangazo, Blogs, Graphics, Websites, Satellite Dish Installation!
Nauza shirts na tshirts za kiume size zote
I make occasional and non occasional cakes/ decorated and non decorated cakes. feel free to call or watsup for ordering at least 2days before. karibu.
Biashara ya ice cream juice milkshakes na refreshments nyingine
Our business is based on womens and mens shoes and sandals.
Tunafundisha kubadili taka kuwa bidhaa
House for rent and sell around ubungo sinza kimara na external
Bidhaa asili, lishe kwa kujenga mwili na afya njema. Epuka magonjwa yasiyoambukizana kwa kupata lishe bora.
Ni wauzaji wa simu za infinix kwa bei Rahisi . simu original na za kisasa Instagram @ infinix best price
We are selling stara wear including hijabs, shoes,scarfs and handbags
fa stara collection ni wauzaji wa hijab, viatu vya kike, handbags na mitandio
Nafanya biashara mbalimbali, nyumba za kupanga, wallpaper, taa nk.
Website Design. Content Creation, Stunning Graphics and Animations plus Hosting.
Karibu ujipatie bidhaa za usafi wa nyumbani, utapata bidhaa za kusafishia tiles, sofa za leza na zakitambaa, carpet, sink, friji, jiko, microwave , oven , sabuni inayofua nguo yenyewe nk.
Tunapika cake za sherehe mbali mbali kama birthday,kipaimra,ubatizo,kitchen party,harusi,babh and bridal shower etc karibu sana,cake zetu tamu na hutojutia.
Tunauza flat screen TV za kisasa, subwoofer, friji, pasi za umeme, meza za vioo, simu za samsung,iphone, feni, blender, kabati. Tunapatikana dar es salaam kkoo mtaa wa msimbazi Dar es salaam delivery bure Mkoani pia tunatuma Piga 0658613448