Dar es Salaam · Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

🔐 Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 46 of 69
Kariakooo kwa faza

njooo kariakoo ujipatie viatu vya kike bei poa kwa jumla tuu

Est. 2020 📍 tupo DDC _35
products

kilimo usafi na afy kwa ujumla

Est. 1956 📍 sinza
BFSUMA

Afya na kipato

Est. 2013 📍 Mlimani City
KOKI

Nauza KOKI kwa bei ya jumla Tsh 2700 Mzgo upo wa kutosha...mikoani natuma

Est. 2010 📍 Mnaz mmoja
Northern Breeze Hotel

Northern Breeze Hotel inayopatikana Tabata Madukani tunatoa huduma za vyakula vinywaji na malazi... vyumba vyetu vinaanzia 40,50 & 60 ni bed and breakfast pia ni free Wi-Fi Usalama ni mkubwa na pia tuna CCTV camera, huduma za kuoshewa magari (car wash) na parking zinapatikana nk....

Est. 2013 📍 Tabata Bima kituo Cha Dukani
Efraine fumigation

We are doing fumigation and pest control with affordable price. Visit us on instagram as efraine fumigation for more photo and video.

Est. 2016 📍 Mwenge road
dalali Francis kigamboni

viwanja mashamba nyumba

Est. 2020 📍 gezaulole kigamboni
Nguo

Nguo nzuri na zenye ubora

Est. 2019 📍 Da huuh
SIMU

Tunauza simu na vifaa vya simu kwa bei nafuu jumla na rejareja....mikoani tunatuma pia Karibuni sana bei zetu ni nafuu mno Pia simu na vifaa vyetu ni original

Est. 2010 📍 Jengo la Infinix
ELECTRICAL GOODS

vifaa vya umeme

Est. 2020 📍 NARUNGOMBE na GOGO street
sekamba_general.suppl

tunauza vitu mbali mbali vya majumbani.

Est. 2013 📍 agrey na siku kuu
ARAMARK ENTERPRISES

Fundi Wa Photocopy & printer na wauzaji wa machine za photocopy machine na printer pamoja na Spear parts zake

Est. 2020 📍 kijitonyama mabatini
Faharikisima_waterwelldrilling

Tunachimba visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani shambani nk water for life drill now

Est. 2016 📍 faharikisima_waterwelldrilling
Classyperfumes2020

Wauzaji wa perfumes ndogo na kubwa kuanzia ujazo wa miligramu 25. Kuanzia 15,000 na spray kwa bei nafuu zaidi. Kwa Dsm na nchi nzima tunatuma mizigo.

Est. 2020 📍 Mbezi beach
Furniture mbezi beach

Jipatie milango imara mbao mninga mkongo , kitchen cabinets, dinning table,tv showcase, coffee table.nk.tupo mbezi beach kwa komba mkabala na radi service.0652467412/0788954057..

Est. 2004 📍 Kwa komba.
G.L mangamila

Sabuni,shampoo,mafuta,jiki,hand wash,sanitizer,dish wash,martpapas

Est. 2020 📍 segerea bonyokwa
KingFighter Electronics

vifaa vya umeme. charger za simu. water meter .Bulb.extansion socket etc.

Est. 2019 📍 alliyothman07@gmail.com
Lucy_Organic_Juice

Lucy Organic Juice tunatengeneza Juice fresh za matunda asili kabisa kutoka shambani pasipo kuchanganya chemical ya aina yoyote kila kitu ni fresh kwani Juice zetu tunatengeneza kwa asali badala ya sukari. na pia swooths na milkshakes zinapatikana kwetu

Est. 2020 📍 Mwenge mpakani
saltino point of beauty

clothes Grade A

Est. 2020 📍 mabibo hostel
Best Best Fashionaire

Nguo za kike na kiume

Est. 2020 📍 Msimbazi
Allmac Tanzania Ltd

Ni wauzaji wa bidhaa mbalambali za kutengenezea gypsum cornice

Est. 2020 📍 Kariakoo
UREMBO

urembo kwaajili ya kinadada na kina mama

Est. 2017 📍 kavungwe
Aryan-apple-phone

Nauza iphone na sumsung used pamoja na mpya pia kwa bei raisi kabisa

Est. 2019 📍 Makumbusho
G-HAULE super Agent

uuzaji wa magari, pikipiki, Tv, Bajaj, fridges,viwanja,nyumba,e.t.c

Est. 2020 📍 Mbezi mwisho
Kitimoto

Tunatengeneza kitimoto saf yenyeutamu waaina yake kwaubor waahali ya juu,,Pia utapata Rost kavu nzur,,Makange n bila kusahau Rost mchicha...Karbun san

Est. 2019 📍 Tegeta Nyeshoz
angel stationary

Stationary service

Est. 2020 📍 nit
Fresh yogurt

ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH,,,,,* Natumai ni mzima wa afya Natangaza biashara yangu ya *YOGURT* *HAMIS YOGURT* ni product nzuri sana kwa binaadamu *YOGURT* ni product inayotokana na maziwa halisi ya ngombe. *FAIDA ZA YOGURT

Est. 2020 📍 Kwa mwinyi hamis
MUSIC EQUIPMENTS POINT

vifaa vya muziki Aina mbalimbali ie. gitaa,keyboards etc

Est. 2020 📍 MOMENT PARK
Shaniboutique_kids

Best kids store.. tunadili na nguo za watoto

Est. 2017 📍 Kinondoni Manyanya
mgalatia outfit

mtumba original shoes

Est. 2018 📍 Morocco
fredy decoration

Tunapamba kumbi za harusi,tuna tengeneza cake,tunakodisha mziki,,video shooting na still pictur

Est. 2010 📍 kwalulenge na captown mnarani
Young pvc

utengenezaji na ufungaji wa madirisha na milango ya Pvc na aluminium

Est. 2017 📍 Lulenge
fmcollection

nauza nguo za kike

Est. 2016 📍 magarisaba
Mr laptop tz

Huduma za computer :- Mauzo ya Laptop Mauzo ya Desktop Mauzo ya vifaa vya Laptop Mauzo ya vifaa vya Desktop Matengenezo ya Laptop Matengenezo ya Desktop kuweka software mbalimbali

Est. 2018 📍 ubungo njiapanda ya chuo kikuu
vitenge

Nguo aina zote

Est. 2020 📍 online
Magufuli Scholars Forum (MSF)

Tshirts zinazotengenezwa na MSF Kwa Nia ya Kutangaza jukwaa letu linalomuunga mkono Mh Rais.

Est. 2019 📍 CBE
Ramani na ujenzi wa nyumba

Uchoraji nyumba Vibali vya ujenzi Ushauri Ujenzi Designing ya ndani Finishing Mafundi na watalamu wapo

Est. 2020 📍 bunju
chupi_nzuri_center

Tunauza aina zote za chupi za kike/kiume/watoto brazia night dreva tait nk bei ya jumla na reja reja usafiri kwa watu wa dar ni bure mikoa pia tuna tuma mzigo

Est. 2018 📍 Msimbazi
Chupicotton_store

Tunauza Boxer, Body shaper, Pants Za Aina Zote Less, seamless, thongs, And Cotton, and lastic underwear..Kwa Bei ya jumla na Reja Reja , Mikoani Tunatuma Pia For more info Call us or Text Whatsap 0685 639009

Est. 2018 📍 Chupicotton_Store Tupo MAKUMBUSHO BUS STAND
@fantasy_beauty_parlour

Tunafanya makeup ,,tunafundisha wanafunzi wanao itaji kujifunza kufanya makeup,,, tunauza vifaa vya makeup,, tunauza mafuta ya LONGRI BODY CREAM ,,LONGRI SERUM NA LONGRI SABUNI

Est. 2020 📍 mabibo mwisho