Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
tunafanya makeup za aina zote tunatengeneza nywele style zote tunatengeneza kucha tunapatikana sinza
Tunauza Vibania na Mawigi yenye ubora wa hali ya juu karibun sana
Nauza Simulizi kwa njia ya mtandao pia Simulizi zinapatikana kwa vipande vipande au simulizi iliyo kamili
We are Japanese car sellers providing inspected , top quality , used vehicles for all types of consumers , at a competitive price
Mteja wetu analetewa bidhaa mpaka mlangoni kwake kwa gharama nafuu mfano mboga za majani kuanzia Tsh500+
TUNAUZA MABATI IMARA YA RANGI AINA ZOTE,MIGONGO MIPANA,MIDOGO,AINA YA VIGAE GAUGE 28,30
TUNATENGEZA NA KUANDAA VIPINDI VYA ONLINE TV /MATANGAZO YA BIASHARA KUSHOUT VIDEO MBALIMBALI KUPIGA PICHA MBALIMBALI LOGO ZA BIASHA KUTANGAZA BIASHARA KWA KUFANYIA VIDEO ZA COMEDI PIA MATAGAZO YA SAUTI N.A. HUDUMA NYINGINE NYINGII #HEREFORU
Offer offer offer Perfumes nzuri za kiume zenye harufu nzuri na zinakaa kwenye nguo mda mrefu ni og kabisa kwa Dar unaletewa ulipo mwenye kuhitaj check whtsapp no 0620456079
tuna tengeneza na kulipea furnitures za aina zote. sofa set,dining table, kabat, kitchen cabinets, TV showcase, coffee tables n.k
Offer offer kwa wakazi wa Dar tunatoa punguzo la asilimia 10 kwa kila package wasiliana nasi kwa namba : 0711426882 Nomal call Kwa picha kali na zenyeviwango
kuuza samaki wa mwanza Jumla na rejareja
Mkomoro kitchenware
Nguo za mtumba online shop delivers popote ulipo
Mapazia ya maofficen
For Camera and Video accessories
Electronics
Ninafanya biashara ya kuuza vitenge. Rejareja na kukopesha vitenge
Sisi ni watengenezaji wa sofa na vitanda makuabati Dressng table N.K tunapatikana kimara kona
nguo za kike
uaminifu ni kitu kikubwa kwenye kazi amelaaniwa mwenye kuaminiwa akafanya ghiyana natengeneza sofa design zote karibuni
Karibuni tunauza cake za aina mbali mbali Wedding cake,send off, kipaimara, komunyo, baby shower na kazalika. Karibuni sana 062 904 4730 au 0755835359
Tunauza kuku wa kienyeji kwa sh 15000/-, kama una una mgahawa au jiko bar basi wasiliana nasi kwa namba zetu 0758851175, au tembelea Na follow page yetu ya instagram @kuku_wa_kienyeji_mbezi , karibuni sana
Upakaji wa rangi nyumba na finishing za aina mbalimbali
Huduma ya manunuzi ya bidhaa yeyote jiji dar es salaam na mikoani
kalibuni ubuyu mtam na raini kutoka @chastyubuyu. ubuyu wetu unapatikana ktk radha tofaut tofaut kama 1 Strawberry 2 Vanilla 3 milk 4 chocolate 5 Vimto 6 Bg G (JoJo) 7fanta n.k tunafany delivery kote ndani ya Dar. tunauza pia JUMLA NA REJAREJA kalibuni sana @ChastyUbuyu & feel the test
WAKALA WAKUU wa UBUYU WA ZANZIBAR JUMLA NA REJAREJA SNACKS AINA ZOTE ZINAPATIKANA Tunapatikana MAGOMENI USALAMA KITUONI-DAR ES SALAAM
Frame za Picha za aina zote na ukubwa wowote
Get your dream phone from our store
mapazia mashuka net kapet mito duvet
Hoteli ambayo ipo chakula tofauti kama mandi na chicken fried ricer ipo Livingstone na udoe
Trucks seller & Transportation
Online web shop
Uuzaji na Usambazaji wa Samaki Wabichi kutoka Mwanza
Natengeneza feature za majumbani na maofficn
Watendenezaji wa Cake kwa matukio tafrija na kumbukumbu mbalimbali nzuri tamu kubwa na zenye ubora kwa bei nafuu. tunasafirisha cake kote dar kwa gharama ndogo ya usafiri utakayolipia mteja wetu bila kuumi. karibu tukuhudumie. 0622317358
@loywinebottle_decoration We design and sale Wine Bottle <~
Napatikana Instagram kwa jila biashara la @biaahara_tizee Nauza nguo aina zote vitenge saa viatu. Kila kitu yaan bidhaa zote na hii ni online ukiipenda kitu unaagiza kisha kama uko dar nakuletea kama uko nje ya dar nakutumia
Mashine za kusaga mahind kukoboa na n.k
-Wholesale of textiles, clothing and footware Main -Wholesale of food, beverages and tobacco Main -Retail sale of pharmaceuticals and medical goods, cosmetic and toilet articles in specialized stores Main -Other human health activities Main
AFYA YA UZAZI